Simulizi : Bonde La Mauti
Sehemu Ya Tano (5)
INTEMISION
Wana NAVY wakiwa na imani ya kwamba wamewamaliza mapailot hawa wa kukodi na wakiwa wameshapanga mbinu za kuweza kutoa kwenye kambi ya BONDE LA MAUTI ndipo wanajeshi hawa wakiongozwa na N1DR Erick wanaibuka kwenye bahari baada ya kuwa wamepiga mbizi kwa nusu saa.”Nafikili mmejione jinsi watu hawa walivyo wanaitaji msaada lakini ni wauaji wakubwa na wasio na shukrani sasa wametaka kuficha siri yao isijulikane ila sasa huu ni wasaha kwa ulimwengu kuweza kiugundua maovu yao moja baada ya mwingine”DR Erick aliwaweka wazi wenzake baada ya kuwa wametoka salama kwenye shambulio llilo kuwa limetokea muda mfupi uliopita.
NDANI YA MSITU WA AMAZONI
“Kwa hakika lazima kwenye box lazima kutakuwamo na hazina maana ukikuta box kama lile limeifadhiwa lazima upate hazina za kale ambazo zinaweza kukuweka kwenye hali nzuri kiamaisha “Akiwa kwenye lindi hilo la mawazo hapo kwa ghafla ndipo aliweza kuwashuhudia wanajeshi wakiwa kwenye doria karibu na eneo ambalo box lile alikuwa ameliacha…
CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/
*Askari hao walionekana kama kuna kitu wana kichunguza katika mazingira yale ambacho kilioneka kimewatia wasi wasi mwingi mno maana katika eneo lao hilo haikuwaa rahisi kwa kiumbe kutoka salama maana kulikuwa kumetegeshwa mabomu ya arithini.Kilicho washangaza hata zaidi ni kukuta begi katika eneo lenye bomu lakini bom hilo halikulipuka kabisa.Hivyo iliwabidi wachunguze chanzo cha kuzuia bomu hilo lisilipuke ni nini?. Baada ya kuona wamekosa jibu la uchunguzi wao ili wabidi waondoke eneo hilo haraka lakini hawakuliacha begi hilo waliondoka nalo ili kwenda kutoa ushaidi wa kile kilicho tokea kwenye doria yao. Baada ya askari wale kuondoka wote na kuona hawaonekani katika upeo wa macho yake .Mwindaji Yule mwenye uchu wa kupata mali alijisogeza taratibu mno hadi pale kwenye chaka alilo liona lina box jeusi na kulivuta toka mahali lilipo. “linaonekana box hili ni jepesi kweli nitakupata kile ninacho kihitaji? Maana kama vile ni sufi kwa wepesi uliopo humu” Alijiwazia mwenyewe wakati huu akianza kuondoka na box hilo taratibu kueleke mashariki mwa msitu wa Amazoni mahali alikopo muacha mwenzake maana aliona eneo hilo si salama tena kwao baada ya kugundua kwamba kuna jeshi eneo hilo. *******URUSI******** Baada ya DR ERICK na wenzake kuwa wametoka salama kwenye ndege zile zilizo dunguliwa na Wamarekani waliweza kuogelea hadi kwenye ufukwe wa bahari ulio karibu na mji wa Murmasink kilomita 200 hivi jirani na mji Mkuu wa Mosco. “Hakikisheni hamuachi ushaidi wowote eneo hili maana kama wakigundua hatujafa basi watatupandikizia kesi ya ugaidi na watutafute dunia nzima .Na mkumbuke hii ni urusi si marekan kwa hiyo ukitiliwa shaka kidogo risasi ni zawadi yako.” Aliwafafanulia hali halisi ya nchi ya urus DR ERICK . Baada ya kuwa wamesonga kwa mwendo wa kukimbia kando kando ya fukwe hizo za Murmansk wakiwa na mabegi yao ya mgongoni yenye vifaa ya kazi na vya kujihami waliweza kutokea kwenye beach ambapo waliwakuta watu wakiendelea kula bata na kufurahia maisha kama kawaida . “Itabidi tutengane maana kama tukiendelea kuandama hivi sote huenda tukakamatwa wote na usiwepo musahada kwa hiyo kila mtu achukue njia yake mwenyewe ili baadae tukutane kwenye kiwanja cha ndege kikubwa kilichopo Mji wa Mosko saa mbili usiku akakaye fika achukue tiketi ya kuelekea Dubai na ukiona mwenzako ajafika we tangulia na mwingine achukue uelekeo wa Iran na mimi nitaelekea kwingine lakini hakikisheni hampotezi mawasiliano popote pale mtakapo kuwa maana ina tupasa kuanza kazi nyingine kabisa ili tukamilishe mpango wetu mapema zaidi na kurudi kambini kwetu mapema.Nafikili mmenielewa nyote maelezo mengine juu ya kipi cha kufanya mtayakuta kwenye computer zenu nah ii ni amri tekelezeni haraka” “Ndiyo mkuu tutafanya kama ulivyo tuelekeza” walijibu wote kwa pamoja baada ya DR Erick kuwapatia amri ya kutawanyika nchi mbali mbali maana waliona kama wakiendelea kuandamana huenda yakawakuta makubwa mno maana maadui wao walikuwa ni hatari katika suala zima la upelelezi na ukizingatia pia kwenye nchi ya Urusi kuna wana K.G.B ambao wakikutilia shaka lazima waangalie nyendo zako zikoje na wakikuweka mikononi mwao lazima uonje joto la jiwe. Baada ya kuwa wameondoka katika eneo hilo la ufukwe no 003 yeye ndiye alikuwa wa kwanza kufika kwenye mji wa Mosko maana aliweza kupata lift ya gari kutoka kwa familia iliyo kuwa inaelekea mjini kwa hiyo baada ya kulisimamisha gari hilo haikuwa siku mbaya kwake alibebwa hadi mjini hapo aliweza kuchukua usafiri wa tax hadi Uwanja wa ndege na baada ya kukamilisha taratibu zote hususa alichukua tiketi yake na kuelekea kwenye ndege ambayo ilikuwa ina elekea katika falme za kiarabu Dubai na kuhusu maswala ya pesa kwake halikuwa tatizo maana walipewa mapema kkwa ajiri ya kutekeleza mishioni hizo na kadi yake ya benk ilikuwa imejaa ppesa kama manyoya hivyo hakuwa na wasiwasi wowote ule baada ya kupanda ndege.
CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Askari hao walionekana kama kuna kitu wana kichunguza katika mazingira yale ambacho kilioneka kimewatia wasi wasi mwingi mno maana katika eneo lao hilo haikuwaa lahisi kwa kiumbe kutoka salama maana kulikuwa kumetegeshwa mabomu ya arithini.Kilicho washangaza hata zaidi ni kukuta begi katika eneo lenye bomu lakini bom hilo halikulipuka kabisa.Hivyo iliwabidi wachunguze chanzo cha kuzuia bomu hilo lisilipuke ni nini?. Baada ya kuona wamekosa jibu la uchunguzi wao ili wabidi waondoke eneo hilo haraka lakini hawakuliacha begi hilo waliondoka nalo ili kwenda kutoaushaidi wa kile kilicho tokea kwenye doria yao. Baada ya askari wale kuondoka wote na kuona hawaonekani katika upeo wa macho yake .Mwindaji Yule mwenye uchu wa kupata mali alijisogeza taratibu mno hadi pale kwenye chaka alilo liona lina box jeusi na kulivuta toka mahali lilipo. “linaonekana box hili ni jepesi kweli nitakupata kile ninacho kihitaji? Maana kama vile ni sufi kwa wepesi uliopo humu” Alijiwazia mwenyewe wakati huu akianza kuondoka na box hilo taratibu kueleke mashariki mwa msitu wa Amazoni mahali aliko muacha mwenzake maana aliona eneo hilo si salama tena kwao baada ya kugundua kwamba kuna jeshi eneo hilo.
URUSI
Baada ya DR ERICK na wenzake kuwa wametoka salama kwenye ndege zile zilizo dunguliwa na Wamarekani waliweza kuogelea hadi kwenye ufukwe wa bahari ulio karibu na mji wa Murmasink kilomita 200 hivi jirani na mji Mkuu wa Mosco. “Hakikisheni hamuachi ushaidi wowote eneo hili maana kama wakigundua hatujafa basi watatupandikizia kesi ya ugaidi na watutafute dunia nzima .Na mkumbuke hii ni urusi si marekan kwa hiyo ukitiliwa shaka kidogo risasi ni zawadi yako.” Aliwafafanulia hali halisi ya nchi ya urus DR ERICK . Baada ya kuwa wamesonga kwa mwendo wa kukimbia kando kando ya fukwe hizo za Murmansk wakiwa na mabegi yao ya mgongoni yenye vifaa ya kazi na vya kujihami waliweza kutokea kwenye beach ambapo waliwakuta watu wakiendelea kula bata na kufurahia maisha kama kawaida . “Itabidi tutengane maana kama tukiendelea kuandama hivi sote huenda tukakamatwa wote na usiwepo musahada kwa hiyo kila mtu achukue njia yake mwenyewe ili baadae tukutane kwenye kiwanja cha ndege kikubwa kilichopo Mji wa Mosko saa mbili usiku akakaye fika achukue tiketi ya kuelekea Dubai na ukiona mwenzako ajafika we tangulia na mwingine achukue uelekeo wa Iran na mimi nitaelekea kwingine lakini hakikisheni hampotezi mawasiliano popote pale mtakapo kuwa maana ina tupasa kuanza kazi nyingine kabisa ili tukamilishe mpango wetu mapema zaidi na kurudi kambini kwetu mapema.Nafikili mmenielewa nyote maelezo mengine juu ya kipi cha kufanya mtayakuta kwenye computer zenu nahii ni amri tekelezeni haraka” “Ndiyo mkuu tutafanya kama ulivyo tuelekeza” walijibu wote kwa pamoja baada ya DR Erick kuwapatia amri ya kutawanyika nchi mbali mbali maana waliona kama wakiendelea kuandamana huenda yakawakuta makubwa mno maana maadui wao walikuwa ni hatari katika suala zima la upelelezi na ukizingatia pia kwenye nchi ya Urusi kuna wana K.G.B ambao wakikutilia shaka lazima waangalie nyendo zako zikoje na wakikuweka mikononi mwao lazima uonje joto la jiwe. Baada ya kuwa wameondoka katika eneo hilo la ufukwe no 003 yeye ndiye alikuwa wa kwanza kufika kwenye mji wa Mosko maana aliweza kupata lift ya gari kutoka kwa familia iliyo kuwa inaelekea mjini kwa hiyo baada ya kulisimamisha gari hilo haikuwa siku mbaya kwake alibebwa hadi mjini hapo aliweza kuchukua usafiri wa tax hadi Uwanja wa ndege na baada ya kukamilisha taratibu zote hususa alichukua tiketi yake na kuelekea kwenye ndege ambayo ilikuwa ina elekea katika falme za kiarabu Dubai na kuhusu maswala ya pesa kwake halikuwa tatizo maana walipewa mapema kkwa ajiri ya kutekeleza mishioni hizo na kadi yake ya benk ilikuwa imejaa pesa kama manyoya hivyo hakuwa na wasiwasi wowote ule baada ya kupanda ndege.
AMAZONI
Mwindaji Yule baada ya kuwa amesoge kama hatua sitini 60 toka kwenye kichaka kile ulitokea mlipuko mzito mno katika eneo la kichaka ambao ulisababisha hata arithi kutikisika maana ulikuuwa msito mno naye alijikuta anakwenda chini kwa msukumo wa mlipuko huo mkubwa ulio tokea.Box alilo kuwa amelibeba lililuka mbali naye na kupasuka pasuka baada ya kujigonga kwenye mti. Mlipuko huo uliweza kusikiwa hadi kweye kambi ya Siri iliyo kuwa kwenye kambi hiyo na kuwafanya wakae tayari maana walikwisha pata taarifa juu ya bomu lile kuto lipuka baada ya kiumbe aliye likanyaga kutopata madhara .Walifikili kwamba huenda mtego wao tayari umenasa . Hapo ndipo waliamua kurudi kuangalia ni kitu gani kimetokea mahali hapo. Askari hawa wakiwa wanakuja katika eneo la tukio mwindaji huyo alianza kujikokota na kuamka ili aweze kukimbia maana aliona tayari kumekwisha halibika hivyo alipaswa kuondoka mara moja asije akakutwa yakawa mengine. Alipo sogea mahali ambapo begi limedondokea aliweza kukiona kikalatasi kigumu na mbele ya kikalatasi hicho kulionekana kibokis kingine kidogo cha chuma .Kwa haraka alivichukua vitu hivyo vyote na kuanza kukimbia kuelekea aliko muacha mwenzake maana aliona ni bora amwambie hali iliyo mkuta ili wajisaidie wenyewe . Askari wale baada ya kufika kwenye eneo la mlipuko hapo ndipo walipo weza kukuta maajabu mengine maana walikuta kumetokea shimo kubwa mno eneo hilo tena walipo sogea karibu na shimo hilo hapo wote walibaki vinywa wazi maana waliweza kujione kitu ambacho walikitafuta muda mrefu mno wasikipate………………
CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/
NEW WORK
Katikati ya jiji hili lenye kila raha ya dunia hii ambapo hakuna toauti kati ya usiku na mchana ,kiangazi wala masika kwenye kila kitu kizuri ukijua wewe . Katika magahawa maridadi ulio kuwa karibu kabisa na ukumbi mkubwa wa casino wa New York high club .Katika mgahawa huu wa kisasa kabisa ulio kuwa na pilika pilika nyingi za hapa na pale watu walikuwa waki hingia na kutoka jambo la kupendeza katika mgahawa huu lilikuwa ni wahudumu wake wenye urafiki ambao waliwakarimu wageni wao kwa uchangamfu.Bila shaka katika giza hakukosi wakala wake wa giza .Katika mgahawa huu wenye kuvutia kulikuwamo na mambo ya chini kwa chini pia na hakuna ambaye angelifikilia kama mgahawa huu ni ofisi nyeti ya shirika habari la K.G.B Shirika la Kipelelezi la Urusi ambalo kama si mwandishi wa riwaya hii ukweli ungebaki ni siri hadi milele.Lakini hapa ndipo palipo kuwa na chimbuko la balaha jingine kabisa amabalo litakuja kuleta tafurani hapo mbele. Mwanamme mrefu mwenye nywele zenye rangi ya kahawia na macho ya paka kifua kilicho jengeka kama daraja la chuma alikuwa ameketi upande wa mashari mwa mgahawa huo akipata sharubati yake ya machugwa.Katika mapaja yake alikuwa ameipakaka tarakilishi yake mpakato akiperuzi katika mtandao huku na huku.Baada ya kuwa pale kwa masaa matatu hivu hapo ndipo aliweza kuagiza tena chakula cha mchana na kuendelea kutumia kitu ambayo roho yake ilikuwa inahitaji.Pale usikiapo kwamba chakula hiki ni kitam uwezi kukiacha hapo ndipo kulikuja kuibuka kasheshe ya karne. "Nyote laleni chini haraka kama bado mnapenda uhai wenu"(Kwa lugha ya kirusi) Wanajeshi wa kirusi waliingia ghahafula kwenye mgahawa huo na kuanza kuhitisha sabuni ya roho yaani pesa. "Inueni mikono yenu juu nyote na mlale chini mpige usingizi tuendelee na shughuli yetu iliyo tuleta"waliamrisha kwa tambo tena askari wale walio kuwa wameshika siraha za moto ."Hakukuwapo aliye kataa kutii amri yao wote walio kuwa kwenye mgahawa huo walilala tuli kama walivyo hamriwa na askri wale walikwenda hadi kaunta wakachukua pesa waliyo kuwa wanaitaji na kisha kuondoka eneo hilo bila kuaga. Baada ya nusu saa hivi tangu tukio hilo kutokea.yulemtu mwenye tarakilishi mpakato alinyanyuka toka kwenye mgahawa ule na kutoka nje ya jengo hilo akiwa na mkoba wake mkubwa ulio kuwa na kila kitu muhimu.
MTAFUTANO
"Natumaini salamu zangu kazipata maana ameingia mwenyewe choo cha kike."Aliongea Chief Kamanda Wa K.G.B baada ya kumchimba mkwara wa nguvu mwanaume huyo tuliye muona kwenye mgahawa na tarakishi mpakato(LAPTOP). "Hakikisheni mnamfuatilia hadi mwisho wake tuujue ni nini maana anaonekana ana mzigo wetu ingawa haitaji kutupatia." Chief aliwahimiza vijana wake wafanye kazi kama kawaida. Baada ya kutoka katika mgahawa. BWM ilikuwa ikisugua barabara kwa kasi.ikihitafuta casino ya new York bing.. Baada ya kufika katika casino hiyo hakuingia ndani moja kwa moja alipita hadi mtaa wa pili.na hapo ndipo aliweza kuliegesha gari lake bila wasiwasi wowote.Mwanaume huyo alipita mlango wa nyuma ya casino hiyo na aliweza kugonga mlango huo kwa ngumi take jiwe Mara tatu mlango ulifunguliwa na akaingia ndani kabisa ya ukumbi huo. "Kuna taharifa mbaya kwa wenzako walio kwenda Urusi unatakiwa kuwachomoa kwa uharaka maana tayari wamo hatarini na wewe pekee ndiye utakamilisha mpango huo halafu" "Nimekuelewa kamanda ila hii ni nje ya mpango wetu Wa kwanza maana bado Warusi wanaendelea kuleta ubabe kwangu na nimewaachia ujumbe ofisini kwao."
CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/
MASAA MNNE NYUMA
Mwanaume huyo mwenye macho ya paka baada ya kutoka nje ya mgahawa huo wenye ofisi za K.G.B akichukua gari take aina ya BWM na kukifukuzi kikosi cha askari wale wa kirusi kwa kilomita kumi tu lakini kwa tukio lisilo tarajiwa ndipo alipo ichukua tarakilishi take na kubofya namba kadha hapo ndipo gari ile ilipo nyanyuka na kuwa bonge la chopa hakuna aliye tegemea kama lile ni gari hatari maana lilipo geuka ndege liliishambulia gari la Warusi kwa sekunde tatu tu.Huyu ndiye Doct mwislaer aliye na ushirika Wa karibu na doct Erick. "mission yako ni moja tu dicta awe salama na afikishwe kwenye mikono yetu maana mzigo wetu anao kwa sasa." Alama hii ya ndege anaijua usisite kumuonyesha maana huu ndo utambulisho wetu kwake.Mengine yanatimizwa akifika." "Sawa mkuu natekeleza bila kizuizi chochote amri hii." ******URUSI****** Doct Erick alikwea katika ndege ya kivita ya baada ya kufuatwa na rafiki yake mwisirael."Kwa sasa kambi ya BONDE LA MAUTI imefichuliwa na kijana wako ameiteketeza yote." Aliongea huku akicheka mwisirael huyu kana kwamba ni habari ndogo kwake .Hatimaye ndege yao ya kivita ilihishishia katika mawingu na kutoweka kabisa. Bonde la mauti lilipote katika msitu wa Amazon baada ya mlipuko hule kutokea. Na wawindaji wale wawili ndio waliweza kuifichua siri yote baada ya kukipata kifaa kidogo mithili ya black box na hapo ndipo Jeshi la Wamarekani lilipata nguvu ya kuiangusha ngome hii katili. MAFUMBO YOTE MWANGA UTAUPATA KATIKA RIWAYA IFUATAYO DHIKI KUU. UTAWAJUA WAWINDAJI HAWA NI NANI HASA NA WALIFIKAJE KATIKA BONDE LA MAUTI.
MWISHO
0 comments:
Post a Comment