Simulizi : Siri Ya Miaka 20
Sehemu Ya Pili (2)
ok""sawa nimekupigia ili nikuulize hivyo tu"" alijibu mke wa jimy kisha akakata simu....Tom alianza kuwa na wasiwasi....
jimy alikuwa na mtoto mmoja wa kiume aitwae Edo.alikuwa anasoma huko south afrika darasa la tatu..katika shule ya bweni (bording)...
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Tom aliichukuwa ile FLASH DISC baada ya kuhakikisha kahamisha lile faili lote kutoka kwenye kompyuta..kisha akatoka nje ya ofisi akaelekea kunako ngazi ya umeme (lift)
aliingia ndani ya lift kisha akabofya kitufe kilichoandikwa GROUND...lift ile ilishuka mpaka chini...kisha akatoka nje ya lift na kuelekea alipopaki gari lake....alifungua mlango kisha akaingia ndani ya gari.....alifunga mlango kisha akachukua simu yake....akampigia BONY yule mtekati nyara"""" hallow yes Bony nahitaji tuonane majira ya saa moja usiku pale SIX PARK HOTEL... be there on time kisha akakata simu....
********
kule upande wa juu yule sekretari alipoona muda wa chakula cha mchana umefika aliamua kuingia ofisini kwa Tom kwa lengo la kupeleka chakula cha mchana......aliona kompyuta ya ofisini humo ikiwa imewashwa alipojaribu kuangalia aliona lile faili linaloonyesha nyaraka za mali za bosi jimy...hakujali wala hakufahamu chochote kilichokuwa kikiendelea..
baada ya tom kumaliza kuongea na Bony Mtekaji nyara alikumbuka kuwa alikuwa kaacha mlango wazi kule juu kwenye ofisi ambayo anaitumia kwa sasa" ailamua kurudi kule juu ili afunge mlango wa ofisi ile kisha aondoke zake....alipofika juu zilipokuwa ofisi za TNS alitoka nje ya lift kisha akaanza kuzipiga hatua kuelekea kunako ofisi ile amekaribia alikutana uso kwa uso na yule sekretari akitokea humo ofisini kwake....tom moyo ulimripuka puu....kisha akaingia ndani ya ofisi yake...alichanganyikiwa baada ya kuona kompyuta ikiwa bado inawaka..shit" inamaana sikuizima oh my god huyu mwanaharamu itakuwa kaona kila kitu........lakini sidhani kama anajua chochote kuhusu kinachoendelea Tom alitabasam kisha akazima kompyuta ile akatoka nje na kufunga ofisi ile...kisha akaelekea kunako lift.....alishuka mpa chini..akaingia kwenye gari lake aliliwasha na kuondoka zake...
alizipanga gia kuelekea kule SIX PARK HOTEL..
alipofika alipaki gari na kuingia ndani ya hoteli ile kisha akaagiza VODKA ndogo ya chupa..akaanza kunywa taratibu....ghafla simu yake ikaita alipoitazama kumbe ni bony myekaji nyara alikuwa anapiga....aliipokea simu ile kisha akasema ok" usichelewe mimi nimeshafika...""""""
baada ya dakika kadhaa Bony alifika kwenye hiyo hotel.....alimuona Tom kisha akazipiga hatua kuelekea kule alipokuwa amekaa Tom"""""
Bony aliagiza chakula baada ya muda chakula hicho kililetwa...wakati bony anakula...Tom alimwambia kuna kazi nataka uifanye...nataka uhakikishe unamuuwa yule mke wa yule bwege nauzichukue nyaraka zote zilizomo ndani kwa jimy...nitakulipa Milion Kumi...leo nitakupa milioni tano na baada ya kazi nitakulipa hiyo iliyobaki..Bony alikubali...
baada ya bony kumaliza kula....Tom alisimama na kuelekea kwenye gari yeye pamoja na bony.. waliingia ndani ya gari kisha tom alimkabidhi bony milion tano na kumuelekeza nyumba ya jimy ilipo ....kisha bony akashuka na kuondoka zake....
**********
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
ilipofika majira ya saa tano usiku.. bony alivaa kinyago ili kuficha sura yake kisha akaruka ukuta wa uzio wa nyumba ya jimy akaingia upande wa ndani...alinyata mpaka upande aliokuwepo mlinzi...wakati huo mlinzi alikuwa amelala bony alinyata mpaka akamkaribia mlinzi huyo kisha akachukua kitambaa kilichokuwa na dawa ya usingizi akamuwekea puani mlinzi huyo....alimbana kwa sekunde kadhaa huku kitambaa hicho kakiweka kunako pua ya mlinzi huyo...mlinzi alipoteza fahamu
kisha bony akafungua mlango kwa funguo bandia(master key )mlango ulifunguka akaingia ndani mara ghafla simu yake ikaita kwa sauti..
Mara ghafla simu ya bony ikaita kwa sauti....shit nani huyu tena anataka kuniharibia kazi..alibofya kitufe cha kukata simu kisha akaizima.....""" kumbe tom ndiye alikuwa anapiga simu ile ili apate taarifa juu ya kinachoendelea kwa muda huo hakufahamu kama Bony ameshaingia kunako ndani kabisa kwenye nyumba ya jimy tayari kwa kuianza kazi aliyopewa...
*********
kule nyumbani kwa tom alionekana kapaniki sana....huyu bony anataka kucheza na akili yangu mpaka sasa hivi hajanipa taarifa yoyote alafu nampigia simu anakata!!!alijisemea moyoni Tom"
kisha akapiga tena namba ya Bony wakati huu alihisi kuchanganyikiwa kabisa baada ya kuipiga simu ya bony haipatikani...aaah anamaanisha nini huyu mbwa?? ananizimia simu mimi....tom alipagawa sana aliona kama bony anamchelewesha yeye kupa nyaraka za mali zile...alikuwa na kiu ya kuwa bilionea kwa namna yoyote ile..
Tom aliamua kutoka chumbani kisha akaelekea sebuleni....kama kawaida yake alichukua chupa ya pombe kali aina ya VODKA...leo hii alichukua chupa kubwa....akamimina pombe ile kwenye glasi....kisha akaanza kuitandika karinya alikunywa lakini aliona pombe haipandi alizunguka zunguka pale sebuleni huku kichwa chake kikiwaza juu ya nyaraka zile hati miliki ya mali za jimy...aliona mule ndani hapakaliki alihisi anabanwa"" hivyo aliamua kuchukia glasi nyingine akachukuwa na ile glasi ambayo alikuwa ameshaiwekea pombe kisha akatoka nje alizipiga hatua kuelekea kule getini...alienda moja kwa moja mpaka alipokuwepo side ambaye ni mlinzi wa nyumbani kwake..
side alistahajabu kumuona bosi wake kashika chupa ya pombe..... alijiuliza inamaana anatska kutoka nje usiku huu!!!! side alishangaa sana kwani hata sikumoja hajawahi kuona bosi wake anatoka usiku...
Tom alipomkaribia side alimuuliza unatumia pombe? side alivunga alisita kukubali kwa kuhofia labda bosi wake anamtega ili abaini kama huwa anakunywa pombe.....endapo akibaini amsimamishe kazi...side akajibu japana situmii nilikuwa natumia miaka ya nyuma...alimpa chupa ya Vodka na glasi....kisha tom akasema kunywa tu usiogope leo nimejisikia tujumuike pamoja tunywe wote...kutokana side alikuwa na hamu ya pombe kwa muda mrefu aliipokea pombe ile na kuimimina kwenye glasi kisha akaanza kuinywa.
********
kule nyumbani kwa jimy....baada ya bony kuizima simu yake aliendelea kunyata mpaka kwenye korido ambapo vyumba vilikuwepo" kisha akatoa
chupa na kupuliza chumba kimoja baada ya kingine...kwa kupitia chini kabisa ya mlango...baada ya kuhakikisha amepuliza dawa ile kwenye vyumba vyote alisubiri kwa dakika tatu...aliamini tayari dawa ile ya usingizi ilakuwa imeshafanya kazi....kisha akachukua fungu zake za bandia ili afungue chumba kimoja baada ya kimoja....lakini baadhi ya vyumba havikufungwa kwa ndani...alipomaliza kuangalia ndani ya vyumba vile hakumuona mke wa jimy.. aliona tu mfanyakazi wa ndani akiwa amelala fofofo baada ya dawaile kumlevya....bony aligundua kuwa chumba kimoja hajakikagua alinyata mpaka kwenye mlango wa chumba hicho alipojaribu kufungua kitasa mlango ulikuwa umefungwa kwa ndani aliamua kuchukua funguo zake bandia kisha akauchomeka kwenye kitasa akasukuma ufunguo uliokuwemo ndani alifanya hivyo kwa sekunde kadhaa hatimae ufunguo ule ukadondoka...alifumgua mlango na kuingia ndani kwa tahadhali kubwa kisha akachomoa kisu chake kikubwa ambacho upande mmoja kilikuwa kama msumeni.....alipomgeuza mke wa jimy ili alalie mgongo amdunge kisu cha moyo alistahajabu sana kumuona!!!!
alimkumbuka mama yule alishawahi kumsaidia bony baada ya kupigwa na watu wasiojulikana...akiwa anaendesha gari alimkuta kalala kando ya barabara akiwa hana msaada wowote huku damu nyingi zikimtoka.....hivyo mke wa jimy aitwae SANDRA alimchukua bony na kumuwahisha hospital.....hivyo bony alinusurika kifo....
shit. bony aliingiwa na huruma lakini akawaza zile pesa atakazolipwa baada ya kumaliza kazi ni nyingi kwake....aliinua kisuchake kwaajili ya kudunga sandra. lakini dhamira ilimsunta huruma ikamuingia akaamua kuacha kisha akaanza kupekuapekua kwenye kabati chumbani mule""" yes i did alisema hivyo baada ya kufanikisha kuzipata nyaraka zile......bila kuchelewa alitoka nje....kisha akaruka ukuta na kutokomea kusikojulikana.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
********
kule nyumbani kwa Tom"""" side aliendelea kupiga karinya walikunywa wakalewa wakaanza kuimba huku wakicheka kwa sauti walicheka hata kwa jambo ambalo halichekeshi...(POMBE NI MBAYA)
mara ghafla tom alistuka aliingiwa na wazo shit kama akimuuwa nikachukua nyaraka hizo lazima nitabainika hivyo nitakuwa matatani....ohh my god naomba asiwe amemuuwa sandra alisema maneno hayo kwa sauti alijisahau kama yupo na side.....
side pombe zilimruka baada ya kusikia hicho alichokisema bosi wake.....Tom alinyanyuka haraka aliyumba kisha akaanza kuzipiga hatua za kilevi kuelekea ndani....aliingia moja kwa moja mpaka chumbani kwake kisha akachukua simu yake...na kumpigia bony wakati huu simu ya side ilikuwa inapatikana yes alisema tom...
kule nje side alinyata mpaka dirishani kwa tom.. alisikia mazungumzo yote aliyokuwa akiongea na simu ile.....side alistahajabu akaogopa sana mungu wangu kumbe bosi muuwaji!!!! alitoka dirishani hapo harakaharaka ghafla alizipiga hatua kutokana na ulevi aliyumba kisha akadondoka pale chini karibu na dirisha la tom....tom alisikia kishindo kile alipochungulia dirishani alimuona side anakimbia kutokea ule upande wa dirisha lake....shit huyu mwanaharamu kaishajua kila kitu hili ni tatizo...tom alichukua kisu kisha akatoka nje..
side alikimbia na kuelekea moja kwa moja kwenye sehemu yake ya kazi akajikausha kama sio yeye aliyekuwa akichungulia dirishani""",, tom alielekea mpaka pale getini kisha akamuuliza side"",, umesikia nini?? haaa....hapana bosi" side alijibu kwa kigugumizi....je ni nani alikuwa pale upande wa nje wa dirisha la chumbani kwangu.....side alikaa kimya kwa sekunde kadhaa....bila kujibu chochote. .. alifikiri kuwa akimwambia bosi wake kwamba sio yeye wakati kamuona...atajitafutia matatizo ilibidi amwambie kukweli..ni mimi bosi"" ok umesikia nini?? aliuliza tom"",, sijasikia kitu chochote...alijibu Side
Tom alikaa kimya kwa sekunde kadhaa kisha akaamua kurudi ndani akaingia moja kwa moja mpaka chumbani kwake...aliketi kisha akatafakari sana..yes dawa yake ni ndogo sana...alisema hivyo kwa sauti kisha akanyanyuka akafungua kabati la chumbani kwake..alitoa kichupa kidogo chenye rangi nyeusi...kichupa hicho kiliandikwa
SLOW POISON.. kisha akakirudisha ndani ya kabati."""akapanda kitandani kwake akaanza kuutafuta usingizi..Tom hakuweza kusinzia kwa sababu mawazo yake yalikuwa juu ya bony alijiuliza kama kamuuwa basi nitakuwa nimeharibu kila kitu.....aisee mbona mpango wangu nimeufanya kijinga!!!! shit alisema hivyo tom....
*******
Ule upande mwingine mteekaji nyara bony alionekana akiikata mitaa alizipiga hatua bila wasiwasi...huku akijisemea moyoni....hivi tom anampango gani juu ya hizk nyaraka??? ....kisha akaendelea kuzipiga hatua....punde alifika nyumbani kwake...aliamua kupitiapitia kuyasoma yale maandishi yaliyoandikwa kwenye karatasi hizo....mara ghafla alistuka shit yanj Tom ananipa kazi ya kuuwa kumbe lengo lake ni mabilioni ya pesa!!! "",, shit tutakula sahani moja lazima aniongezee dau Laa! si hivyo sitompatia hata kipande cha karatasi hizi....
**********CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
wakati ule tom aliendelea kuwaza sana...alitamani ampigie bony simu tena kwa mara nyingine....lakini aliona usiku umeenda sana....tom alipagawa sana aliona usiku huo nj mrefu sana alitamani hata pakuche muda huo huo....aliwaza sana lakini usingizi ni usingizi tu..hatimae alisinzia"" alilala masaa machache hatimae
palikucha...alipostuka kutoka usingizini kitu cha kwanza..alichukua simu yake. alipobonyeza kitufe cha kutolea loki alistuka kukuta SMS ya bony!!!!......ilisomeka hivi",, Sitokupatia nyaraka hizi bila bilioni mbili tom alihisi kuchanganyikiwa alifikicha macho yake alihisi labda bado yupo usingizi......kisha akampigia bony......simu haikupokelewa kwa sababu bony alikuwa bado kalala.....hivyo simu iliita tu bila kupokelewa....tom aliamua kunyanyuka kitandani kisha akaingia bafuni kwa ajili ya kuoga kisha ajiandae kwenda kazini...alioga harakaharaka kisha akaanza kujiandaa..alipomaliza kujiandaa alichukua kile kichupa kisha akaelekea moja kwa moja nikoni...alifungua friji na kutoa nusu kuku kisha akawasha jiko la umeme akaanza kukaanga nyama hiyo ya kuku...baada ya kumaliza kuikaanga nyama hiyo aliiweka kwenye sahani kisha akachukua kile kichupa kilichoandikwa SLOW POISON alikifungua na kunyunyizi vitone vitone kwa kila kipande..kisha alibeba nusu kuku hiyo na mkate akatoka nje alizipiga hatua kuelekea kule getini alipokuwepo side....alipofika tom alionesha sura ya tabasamu kisha akamwambia side chakula kimenishinda ninamawazo mengi sana...hivyo nimeona ni vyema nikuletee ule kuliko kutupa chakula.....""side alimezea mate nyama ile kutokana jana usiku alikunywa pombe kali hivyo aliamka ananjaa sana side hakukataa alipokea kisha akaanza kula papo hapo...toma alimuangalia kisha akajisemea moyoni kafe mbele kwa mbele umalizi wiki moja utakuwa chakula cha funza...kisha akazipiga hatua kuelekea kwenye gari lake....aliingia akaliwasha...side alifungua geti kisha tom akaondoka zake....kuwa na mabosi kama hawa burudani kabisa alisema maneno hayo side huku akiendelea kutafuna kuku yule.....
tom akiwa barabarani aliwaza kuwa akirudi nyumbani amsimamishe kazi side..ili aindoke zake kwa sababu ameshakula kile chakula chenye sumu hivyo baada ya wiki moja lazima apoteze uhai....kwa sababu sumu hiyo inauwa taratibu...hivyo atakuwa hausiki kwa ushahidi wowote..
*******
wakati tom akiendelea kuzipanga gia mara ghafla simu yake iliita alipoitazama alikuwa anapigiwa na mke wa bosi jimy...aliipokea haraka ili ahakikishe je ni sauti ya mke wa jimy??? alipoipokea alistuka kusikia sauti ya kiume ikisema...
Baada ya tom kuipokea simu yake alistuka kusikia sauti ya kiume ikisema.... Tamaa mbele mauti nyuma... kisha simu ile ikakatwa..... hallo.. hallo.. hallow... tom alisema hivyo lakini simu tayari ilikuwa imeshakatwa.... alijiuliza maswali mengi bilakupata jibu... lakini mbona kama sauti hii sio ngeni masikioni mwangu.... ni nani huyu?? alijisemea tom.
kumbe alikuwa ni yule bony mtekaji nyara aliamua kufanya hivyo baada kuzjsoma nyaraka zile na kugundua kumbe tom kampa kazi ya mauwaji kwa pesa ndogo lakini Tom alikuwa anataka nyaraka hizo ili amiliki mabilioni ya pesa pia yule mke wa bosi jimy alishawahi kuokoa uhai wake.. kumpa msaada na kumpeleka hospitali baada ya kupoteza damu nyingi kwa kupigwa na watu wasiojulikana kisha wakamtelekeza kando ya barabara....
***************
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Tum alichanganyikiwa alijiuliza maswali mbengi sana ''' TAMAA MBELE MAUTI NYUMA'' mtu huyu ni nani?? bila shaka kunamtu ananizunguka na nikimjua hana maisha tena... alijisemea hivyo tom kisha akatoka ofisini kwake aliufunga mlango na kuanza kuzipiga hatua kuelekea kunako ngazi ya umeme (lift) mbona maisha yangu yanaanza kuwa na mashaka!!! hata sioni raha ya kukaa ofisini...
alishuka mpa chini kabisa akatoka ndani ya lift na kuanza kuzipiga hatua kuelekea upande aliokuwa amepaki gari lake... alifungua mlango akaingia na kuliwasha gari lake..
***********
nyumbani kwa bosi jimy... alionekana mke wa jimy akilia kwa uchungu ni baada ya kuambiwa kila kitu kuhusu kifo cha mumewe na muuwaji ni rafiki wa karibu aliyeaminiwa kwa asilimia mia na bosi jimy...
mke wa jimy alijawa na hasira za hali ya juu.. ''' kisha akapanga mipango ya kuisimamisha kampuni ya marehemu mumewe hakutaka kushirikisha vyombo vya dola.... alitamani alipize kisasi cha kifo cha mumewe kwa mikono yake mwenyewe...
upande wa pili tom akiwa barabarani akiliendesha gari lake alikuwa ndani ya dimbwi zito la mawazo
ghafla wazo lilimuingia kuwa ampigie simu bony wakubaliane kwamba ampe bilioni moja badala ya bilioni mbili ili tom apewe nyaraka zile... alipiga simu ya bony lakini haikupokelewa alipiga mfululizo pia bado haikupokelewa.... shit mbona haya mambo sielewi yanavyokwenda!!!!! bony sio mtu wa kutopokea simu yangu inamaana atakuwa sehemu gani mpaka ashindww kupokea simu!!!!! alijisemea hivyo tom
**********
kule nyumbani kwa jimy alionekana bony akimbembeleza mke wa jimy huku akisema laiti kama ningelijua kuwa jimy ni mumeo nisingethubutu kumteka na kumpeleka mikononi mwa tom.. na kuanzia leo naiacha hii kazi ya utekaji nyara...wakati bony akiongea maneni hayo simu nyingi zilipigwa'''simu yake iliita mfululizo na si mwingine aliekuwa anapiga ni tom....mbona upokei simu yako aliuliza mke wa jimy""
ni tom anapiga simu alijibu bony.. kisha mke wa jimy akamsihi sana bony kua yeye apokee aongee na tom.... mara ghafla simu ikaita tena aliipokea mke wa jimy... tom alistuka sana baada ya simu ya bony kupokelewa na mwanamke sauti ile aliitambua kuwa ni sauti ya mke wa jimy.... tom alikata sim haraka... ..huyu mwanaharamu kanizunguka mbona amekuwa mjinga kiasi hicho!!!! nisipokuwa makini naozea jela alijisemea tom......tom aliendelea kuzipanga gia vila kujua ni wapi anaelekea'''mambo yameharibika cha msingi nikatoe pesa zangu zote benki... nihame mji nikajifiche mbali na hapa.....
kule nyumbani kwa jimy....bony alimwambia mke wa jimy kuwa asiwe na wasiwasi yeye atamsaidia kumkabili tom......
Tom aliamua kwenda dodoma siku hiyo asilale nyumbani kwake....
ilipofika majira ya saa nne usiku side alistahajabu sana mpaka muda huo bosi wake hajarudi na sio kawaida yake'''''aliamua kumpigia simu bosi wake.... simu ya tom ilipoita aliitazama na kugundua ni mlinzi wa nyumbani kwake side.... tom hakupokea simu hiyo alihofia huenda ni mapolisi wameenda kumtafuta nyumbani kwake... alianza kuingiwa na wasi wasi na uwoga ulitawala juu yake.. lilimuingia wazo kwa kuwa ninapesa nyingi benki nitaanzzisha kikosi cha majasusi nitakuwa nikiwalipa wanitumikie katika hili jambo....
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Mke wa jimy hakuweza kupata usingizi usiku huo alikuwa akijiuliza maswali yasiyokuwa na majibu... ama kweli (BINADAMU WOTE SI WEMA) hivi kweli tom huyuhuyu ninae mjua au ni mwingine.... au anatumia dawa za kulevya???? alijisemea mke wa jimy.... aliamua kuamka akafungua droo iliyopo upande wa kulia mwa kitanda alitoa bastola ingawa sijawahi kutumia wala sijui kutumia bastola lakini leo nitajua kuitumia kwenye paji la uso wa tom.... aliamka kisha akaingia kwenye gari lake na kuliwasha kuelekea nyumbani kwa tom""" kwa lengo la kulipiza kisasi.... wakati huo ilikuwa kama majira ya usiku saa nane kasoro....
alizipanga gia na hatimae alifika nyumbani kwa tom..... alipolikaribia geti alipiga honi... side alinyanyuka haraka akafungua geti akidhani ni bosi wake karudi....
baada ya geti kufunguliwa mke wa jimy aliliongoza gari kwa kuliendesha mpaka ndani..
side alisyahajabu sana kuona gari nyingine"" inamaana bosi kanunua gari mpya? kutokana ilikuwa usiku hivyo side hakuweza kutambua kwa haraka mtu aliyekuwemo ndani.....
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment