Search This Blog

Friday, 30 December 2022

HEKAHEKA MSITUNI - 5

    Simulizi : Hekaheka Msituni Sehemu Ya Tano (5)“Sasa tunafanyaje hapa?” Inspekta Tom Green aliuliza.“Tunahitaji boti” Latoya aliongea.SASA ENDELEA“Tutaipata wapi maana muda unazidi kusonga mbele na nina imani wale jamaa kule kambini watakuwa wameligundua hili na watakuwa tayari wameanza kutusaka?” Inspekta Tom Green aliongea...

HEKAHEKA MSITUNI - 4

    Simulizi : Hekaheka Msituni Sehemu Ya Nne (4)      Simulizi : Hekaheka Msituni Sehemu Ya Nne (4)“Kuingia katika kikosi cha waasi halafu na kumchukua mwanajeshi mmoja miongoni mwao. Duh! Jambo hili kweli mtihani mzito sana!” afisa mwingine naye aliongezea kumuunga mkono yule wa mwanzo.“Kwa hiyo...

HEKAHEKA MSITUNI - 3

    Simulizi : Hekaheka Msituni Sehemu Ya Tatu (3)Simulizi : Hekaheka Msituni Sehemu Ya Tatu (3)Kumbe haikuwa imejulikana. Mheshimiwa Rais Ditric Mazimba alikuwa katika hatari kubwa sana. Walinzi hawa wawili ambao walikuwa wakilinda hapa mlangini walikuwa ni wanajeshi kutoka katika kikundi cha uasi cha Bantu Military Movement....

HEKAHEKA MSITUNI - 2

    Simulizi : Hekaheka Msituni Sehemu Ya Pili (2)Simulizi : Hekaheka Msituni Sehemu Ya Pili (2)“Sasa katika wiki hili nitafanya mchakato wa kuacha kazi. Kuacha kazi kwangu hakutakuwa katika mfumo wa kawaida. Kutakuwa ni kwa kutoweka tu kazini. Naamini jeshi litanisaka lakini halitanipata. Na pia ndani ya wiki hili litafanya...

HEKAHEKA MSITUNI - 1

   Simulizi : Hekaheka Msituni Sehemu Ya Kwanza (1)IMEANDIKWA NA : KALMAS KONZO ********************************************************************************Simulizi : Hekaheka Msituni Sehemu Ya Kwanza (1)Bantu Military Movemnt (BMM) killikuwa ni kikundi cha waasi ambacho kilikuwa kikiendesha harakati zake kusini mwa...

Blog