Search This Blog

Thursday, 29 December 2022

KIAPO (AGANO LA DAMU) - 3

   

Simulizi : Kiapo (Agano La Damu) 

Sehemu Ya Tatu (3)





"Ok Dada asnt sana ngoja sasa nikuache badae bas ntakuchek!"




Zidu akaaga akipania muda wa jioni kuhutumia akiwa na mlimbwende yule,akaelekea mahala alipopaki gari yake akaingia na kuiondoa gari kwa mwendo wa taratibu




Alikatisha mitaa kadhaa katikati ya lile jiji na sasa alipaki gari lake nje ya nyumba kubwa yenye ghorofa tano,jengo lile ambalo ilikuwa ni hoteli kubwa yenye nyota tatu 'mwanaume wa kazi' akashuka akaelekea ndani ya hoteli ile akianzia mapokezi




"Naweza kuonana na mmiliki wa hoteli hii?!"




Alimuuliza mdada alomkuta pale mapokezi




"Unataka kuonana na meneja?!" Dada yule wa mapokezi akauliza huku macho yake yakiwa katika laptop pasina hata kufikir alichoulizwa na alichojibu ni tofauti!




"Meneja ndo mmiliki wa hii hoteli?!"




zidu akauliza kwa hasira!,Dada yule akashtuka kwa haraka akayatoa macho yake katika kioo cha laptop yake na kumwangalia alokuwa mbele yake!




Alishtuka kwa sura aliyoiona!




Sura ya kibabe,kijana mwenye mwili ulojengeka kimazoezi mwili ulovishwa tishart nyeupe ilombana na kumchora misuli yake vyema pamoja na kifua ungeweza kudhani ni walinzi wa makasino au ma klabu,Dada yule akabaki kapigwa na butwaa




Zidu akarudia swali lake




"Naweza kuonana na Mr Alex mmiliki wa hoteli hii?!"




"Ndi...o...ngoja kwanza!....kwanza unamihadi naye?!"




Dada yule alibabaika na kuzidi kumkera kidume kile




'Sijui nimuulie hapa kwa kupoteza muda wangu!?'




Zidu akawaza muda ule ule na kupitisha uamuz ammalize Dada yule pale




Ndio! Alishamkera naye kuua ni chap na hapakuwa na wa kumgusa!,akaingiza mkono wake mfukoni na kuikamata bastola yake ile anataka kuichomoa ghafla mlango wa mbele ukafunguliwa




Zidu akasita kuchomoa bastola!




Bosi Mzee Alex akatoka,alishtuka kumkuta Zidu hapo mapokezi




"Haaaaaa Zidu mkuu karibu mbona hapa tena we Anelia hata umkaribishi mgeni na kasema anataka kuonana na Mimi?!"




Mzee Alex akakoroma pasina kujua kutoka kwake ofisini kumemuokoa yule binti Zidu asingemcheleweshea




"Sijui unawatolea wap hawa walugaluga Bwashee na kama ungechelewa kidogo huyu usingemkuta ninge usambaratisha ubongo wake kwa kula muda Wang kiseng*..."




"Hapana Bwashee we karibu ndani ndo watoto wetu hawa wamezubaa tuwasamehe tu!"




Zidu akamkata jicho Kali Dada yule na kuachana naye akaingia zake ofisini!




"Ushanikera Bwashee nieleze ulichoniitia tu mi nisepe zangu huyo Malaya wako kashakula muda wangu si unajua Mimi huwa sina muda wa kupoteza?!"




Zidu k' aliongea kwa kukereka Mzee Alex akaachia tabasamu na kufungua kabati lake




Shabaash!!!...




lilijaa noti,akahesabu nyekundu tano na kumkabidhi kidume kijana wa Kazi Zidu katili




"Hiyo ya huyo binti kukupotezea muda kaka utakunywa kahawa!"




Zidu katili akatabasamu!....




"Haya weka kazi mezani!" Zidu aliongea kwa furaha!




Mzee Alex akatabasamu na kuingiza mkono katika mfuko wake wa koti la suti akatoa paspoti akamkabidhi Zidu




Zidu akaicheki kwa sekunde kadhaa




"haka katoto nikafanyaje?!"




"Naitaji kafe kwa gharama yoyote ile"




Zidu akatabasamu




"Haka utanipa laki tano"




"Ntakuongezea tano I mean nakupa million moja afe huyo mtoto!"




"Waooooh panapo pesa Zidu ashindwi kitu anapatikana wapi?!"




Zidu akauliza kwa shahuku na furaha tele




"Kapo pale nyumbani kwangu we njoo ukachukue nisione hata mfupa wake"




"Ha ha ha ha kazi rahis sana kwangu ntaja kukachukua usiku we nitumie hiyo ela yangu kabisa"




Mzee Alex akuwa mbishi akashika simu yake na kumtumia million moja Zidu toka katika akaunt yake kwenda kwenye akaunt ya Zidu kisha akamuonesha mesej ya muamala




"Kazi kwako kijana"




Zidu akamtoa khof na kuaga hakuwa mtu wa kupoteza muda wala mtu wa kuharibu kazi




*maisha ya Isack yapo hatarini ataupona mkono wa Zidu katili!,ambaye tayari kashalipwa ela?!*










Zidu katili kijana hatari muuaji wa kukodiwa asiye na huruma na uhai wa mtu pindi anapo tanguliziwa hela,anapewa kazi na Mzee Alex ya kumwangamiza kijana Isack huku Mzee yule akimlipa ela Mara mbili badala ya laki tano anamlipa million




Zidu anahaidi kuifanya kazi vizuri




je huu ndo mwisho wa mtoto Isack twende pamoja




*NA HII NI SEHEMU YA 14*




Japo alikuwa na chembechembe za kujiamini pengine kwa kuwa yeye yu mwanaume ila hiyo aikufanya kutomfanya asiwe muoga na kutokutetemeka pengine ni kutokana na kujua kuwa yule anaye enda kukutana naye ni Mke wa mtu!,tena Mke wa diwani wao mzee mwenye pesa nyingi mjini pale!




Kila muda macho yake aliyatupia getini na kumwangalia kila Mwenye gari alokuwa akiingia huku bado akionekana wazi kuwa na wasiwasi!




Mwalimu Gibson aliendelea kuagiza kinywaji na kukikata akimsubiria mwanamke yule bi Neema ambaye alikwisha kumuonesha dalili zote za kumtaka!,kadri alivyozidi kukikata kinywaji na kumkaa vizuri ndivyo alivyozidi kuchangamka na woga kumtoka




Baada ya kama dakika thelathin kukata kinywaji kikiwa kimemkolea vyema macho yake yakanata getini akiishangaa gari ya kifahari verosa iloingia,na kwenda maeneo ya maegesho




Baadaye mlango wa upande wa dereva ukafunguliwa na kushuka mlimbwende alofanya watu wageuke kumtazama na kummezea mate




Akujali macho ya walokuwa wakimwangalia,akaangalia simu yake na kuiweka masikioni




Mwalimu Gibson pale alipo simu iliita akaipokea akamwelekeza mahali alipo na mlimbwende yule akakaza mwendo kumfuata!




"Mmmmh beby hapa pako wazi sana si tungeenda chumbani kabisa"




Bi Neema aliongea kwa sauti nyembamba iloamsha hisia za mahaba za mwalimu yule akajihisi tayari yupo kwenye sayari nyingine wakiwa wawo peke yao!




Wakakokotana na kuchukua chumba ilikuwa ni kama wapenzi walozoeana muda mrefu!,ndani ya chumba kila mmoja alimkamia mwenzake na kuonekana kama alikuwa na hamu ya muda mrefu wakarizishana na kuifurahisha mioyo yao!




"Beby kuna kitu nataka unsaidie"




Bi Neema akaongea kwa sauti yake ile ile ya kimtego akiwa anakipapasa kifua cha rijali Yule,ambaye alionekana kushtuka kwa ombi lile!




"Kitu gani icho my love"




Kisha Kwa sauti nzito akauliza akimwangalia mwanamke yule kwa macho yake Yale ya tamaa ni kama bado akuridhika na penzi lile alilokwisha pewa!




"Yani beby mmmmh yule mtoto mi simpendi...."




Mwalimu Gibson akachanua mdomo wake na kumzawadia Mwanamke yule tabasamu




"Nani huyo au huyo mwanao Isack"




"Mi naweza kuwa na mtoto kama yule?!,namchukia sana na nyumbani huwa ana kipata pata naomba bas na huko shuleni usimchekee mpaka ajute kuja kwenye hii dunia!"




Mwalimu Gibson akapigwa na butwaa akumuelewa kabisa Dada yule ni kipi alimaanisha akabaki kaganda kama sanamu!




"Jamani mpenziii mbona ivyo lakini?!"




Akajidai kudeka akiupeleka mkono wake katika mtarimbo wa mwanaume Yule,mtarimbo ukasimama!,mwili ukamsisimka




"Unielew beby nambie basi utafanya hivyoooo aaaah"




Bi Neema akazidi kusihi jicho likiwa limemlegea akiupapasa mtarimbo ulovimba na mishipa kutuna mwalimu Gibson akazidi kugugumia kwa raha




"Shit ooooh aaaaah...." Mwalimu alibaki akigugumia akauchotoa mkono wake na kuupeleka maeneo yalipo hazina takatifu ya mwanadada yule tofauti na mategemeo yake akakutana na ukinzani!,




Mwalimu Gibson akashtuka akamwangalia Neema usoni mwanamke yule alionekana kulegea aswaaa!,lakini kwanini sasa amzuie?!,swali hilo likakosa jibu katika kichwa chake!




"Aaaah beby iiiih oooh niaid kwanzaaa utamtesa Isack!"




Kwa kuwa mwalimu Gibson alikuwa hoi ikabidi akubali kusudi alitafune tena tunda kwa Mara nyingine!




Wakaingia dhambini!!!....




****




Ni katika lile lile jumba ambalo masaa kadhaa nyuma alimuadabisha binadamu mwenzake mwenye asili ya kihindi




Alikaa katika kochi kubwa macho yake yakiwa katika tv kubwa ilokwepo pale sebuleni lakini mawazo yake hayakuwa hapo




Akaichukua picha ya paspoti ilokwepo katika meza yake na kuishia kutabasamu!




Ilikuwa ni picha ya Isack alopewa na Mzee Alex nia ni kumwangamiza aliona muda auendi kwani jioni ndo ilipaswa akamchukue nyumbani




'Sijui nikaue kifo gani haka katoto sijui nikanyonge tu mpaka kafe then nikatupie katika kisima cha gesi!,au nikapige bastola au nikachome kisu dah!....'




Zidu katili alizidi kuwaza akiitazama ile picha katu akukaonea huruma pesa ilishaingia kwake hamu ya kuua ndo ilomtawala muda huo




***




Dhambi moja uzaa nyingine,kwa dhambi ile ukawa ndo ufunguo wa kulifungua rasmi penzi lao!,




Baada ya kurizishana wakaagana wakihaidiana kukutana pale kila watakapoitajiana!




Bi Neema alimwomba sana mwalimu Gibson amtese mtoto yule,Gibson aliwaza sana kwa nini mwanamke yule aamue kumtesa mtoto asiye na hatia mpaka kuamua kuisaliti ndoa yake kusudi tu mtoto yule anyanyasike?!....




Akaishia kucheka! Akiwadharau sana wanawake pasina kujua kuwa si wanawake wote wenye roho mbaya kama bi Neema




Ila kwa kuwa mapenzi ni upofu na akisemacho mpz lazima ukitimize


Na kwa kuwa alikuwa ni mtu mwenye roho mbaya akaona poa tu lazima amrizishe mpz wake kwa kumtesa mtoto yule!




Na ili Isack ayachukie maisha ya shule ilikuwa lazima awagombanishe yeye na yule ambaye lilikuwa ndo tegemeo pekee




Madam Jane!




Ndio ilikuwa ni lazima madam Jane na Isack aufute ukaribu ulokuwa baina yao kivipi sasa?!....




Hapo ndipo alipoamua kuianzia vita!!!....




****




SAA KUMI NA MBILI JIONI




Gari la kifahari lilipaki katika jumba lile la Mzee Alex akashuka kijana mdogo si juu ya miaka 25




Alikuwa ndani ya suti ilomkaa vyema maridadi akiwa mwenye uso wa tabasamu akapiga hatua fupi fupi utasema akutaka kuua hata sisimizi ardhini kwa utembeaji wake!,




Akalifikia geti na kuligonga kama Mara mbili hivi....




Wakati mtu huyo akiendelea kuligonga geti Isack alikuwa kashaingia katika mtaa ule akielekea nyumbani




.....geti likafunguliwa na walinzi maalumu walolinda jumba lile mtu yule akajitambulishamlinzi akapiga simu ndani....




Akapewa ruksa ampeleke mtu yule ambaye hakuwa mwingine zaidi ya mwanaume wa kazi ZIDU KATILI




Zidu akakaribishwa vizuri! Mtu pekee alomjua ni Mzee Alex ila hata bi Neema akumjua mtu yule!




"Kwa jina mi naitwa Zidu Alfonce nadhani mi ni mgeni kwenu ni muda mrefu sana sikuwa ndani ya nchii hii juz ndo nimeingia nikitoka swizland ni mdogo wake wa mwisho wa marehemu Mzee John yani babake Isack"




Wakati Zidu katili akiongea maneno Yale ndo kwanza Isack alikuwa akiingia pale sebuleni akitoka shule hivyo aliyasikia maneno Yale vizuri sana!




Akaganda!




Akabaki kamtumbulia macho Zidu pasina kuamini kile akisikiacho!.....




"Haaaaaaaaaaa baba mdogooooooooooo"




Ghafla fahamu kama zimemrudia akapayuka na kwenda kumkumbatia Zidu kwa furaha pasina kujua kuwa yule si binadamu ni mnyama maskini....








Jinamiz la umauti bado linamuandama kijana Isack na sasa yupo mkononi mwa kijana wa kazi 'ezrael wa kibinadamu' Zidu katili lengo likiwa ni moja tu kumwangamiza




Je atafanikiwa songa tupate uondo




*SURA YA TANO*




Ni binti alojaliwa uzuri wa asili,si ule wa kutafuta kwa kujikwatua au kiswahili kizuri kujipodoa,pia tofaut na uzuri ule alojaliwa kuna kitu kingine cha ziada alichojaliwa binti yule!




Tamaa ya hela!




Udhaifu wake tu ndo ulikuwa pale,pale alipo oneshwa pesa alikuwa radhi kufanya chochote,kutoa chochote ili mradi apate zile ela!




Anita au Anny kama alivyopenda kuitwa mwenyewe ndo jina lake binti wa kimbulu mwenye kila sifa ya kuitwa Mrembo,toka Zidu katili awasili pale ofisini kwao na kumuoneshea cheki yenye ela sekretari yule mwili ukutulia kabisa!




Mapigo ya moyo yalimwenda mbio kila Mara akikumbuka maneno ya kaka yule...




"Najua unaogopa hii ila Mimi si mtu mbaya hii ni ya kujilindia si unajua tena sisi wana apolo nimeleta madini hapa nimeuza kitita cha maana mshua kaniandikia hundi hii ivyo badae ningependa niwe na mtoto mzuri kama wewe nijipongeze"




Anny akatabasamu na kuung'ata mdomo kwa pozi flani la kike,ghafla tabasamu lile likayeyuka wivu mkali ukauchoma moyo wake akikumbuka kuwa yeye hakuwa na namba za mtu yule 'Zidu katili' ila yeye ndo alimpa!




Sasa je kama asingemtafuta na pesa zile kutumia na Malaya mwingine?!,akajikuta binti yule akianza kujilaumu kwa kutochukua no za Jamaa yule na kujiona kama kapiga teke gunia la hela wakati akiwa katika mawazo yale ghafla ofisi ya bosi wake "mr Dairekta" ikafunguliwa na muhindi yule akatoka




"Iko taka toka Mimi wewe angalia ofis vizur fika kumi nambili funga tu sawa?!"




"Sawa bosi!"




Muhindi yule akatoka,ghafla binti yule akapata wazo namba na anwani za wateja wa kampuni ile ubakigi ofisini kwa bosi ,Anita akatabasamu pasina kupoteza muda akajinyanyua na kuelekea ofisini kwa bosi wake




Akaliparamia daftar kubwa na kulifungua akaenda mpaka kwenye jina la mwisho kulipwa mzigo aloleta




Nelson mmari




Kiasi alicholipwa million kumi




"Mmmmmmh!"




Akaachia mguno macho yake yakatua kwenye muda mtu yule alipoenda pale ofisini ilikuwa ni saa tano asb Dada yule akazidi kushangaa!




Mbona kijana yule alomtambua kwa jina la Zidu jina lake alikwepo kwenye daftari lile?!




Au 'Mr Dairekta' alisahau kumuandika?!




Hapana akapingana na wazo hilo akikumbuka fika hundi ile aloonesha ya milion 20 vp asahau kumuandika?!




Anny akazidi kupatwa na shaka akihis kuzidi kuipoteza bahati ile ilokuwa imekuja mbele yake




Ghafla macho yake yakatua katika file lililokuwa chini ya daftari lile kwa juu liliandikwa 'secret file' Anny akashtuka!




'Kalabrasha la siri?!'....




Akawaza kiherehere kikimsukuma kufungua file lile,akapeleka mkono wake kulifungua




Shaabash alichokiona kilimfanya atoe macho mapigo ya moyo yaanze kumwenda kasi




Lile file ilikuwa ni kama kitabu kidogo cha kumbukumbu (diary) cha Mr Dairekta taratibu akaanza kusoma!




Vijay sulkhan....




Jina hili alilijua fika ni kati ya mfanya biashara mwenzao ambaye walifanya kazi pamoja




*Vijay sulkhan*....


Mzigo ni madini ya almas thamani yake million miatatu


Ajarejesha hukumu yake ni kifo




Baada ya Mandishi Yale pakawekwa sahii na tiki kubwa,tiki ile Mr Dairekta aliiweka baada ya Ragiv kufanikisha kazi ile




Chini ya maandishi Yale palirukwa kama mistari mitano pakaandikwa jina lingine




Zidu k....




Anita akatoa macho kumbukumbu zake zikarudi nyuma jina lile alilikumbuka




Alikumbuka mchana ule,walipotembelewa na kijana ambaye alihitaji kuonana na bosi




"Nimwambie nani?!" Akakumbuka swali alilomuhoji




"Zidu kite"




Alikumbuka Jamaa yule alijitambulisha kwa jina hilo,hilo hilo lililoandikwa kwenye daftar hilo




'Inamaana naye aliitajika kufa?!'




'Hapana'




Hakuwa tayari akazidi kusoma




*zidu k*


Mahali anapoishi masati nyumba no 4


Simu no 0759427653




Mwili ulimsisimuka pasina kujua Yale ni mawasiliano tu na ni mtu ambaye bosi wake Mr Dairekta umtumia katika mipango yake akajua naye bosi alihitaji kumwangamiza ndo maana kamwandika pale!




Kiherehere kikazifi kumkamata!




Akalishika lile file na kuliingiza kwenye begi lake,haraka haraka akatoka akiwa kama kachanganyikiwa




'Lazima nimuokoe yule mtu siwez kumuacha afe yani bosi ananunua madini kwa watu kisha anarudi nyuma kuwaua maskini Mwana apolo wangu'




Anita aliwaza akiingia ndani ya daladala kuelekea masati mahali alipoishi Zidu alipopasoma kwenye lile faili




****




Huku nyuma 'Mr Dairekta' akiwa ndani ya gari lake ghafla akalikumbuka kalabrasha lile alilolisahau mezani lililojaa siri zake




Kimuyemuye kilichochanganyikana na woga kikamkamata akakata kona upande wa pili na kurudi kule alikotoka kwa mwendo wa kasi!




Dakika kumi zilimfikisha ofisini kwake kwanza alishtuka kutomkuta 'secretary' wake kuingia ofisini macho yake yakatua mezani




Faili alikwepo!




'Nimekwisha' akawaza akikaa Kwenye kiti chake




Hakuwa na shaka Anita atakuwa aliliona na alikwenda kumripoti polisi,Au usikute ni mpelelez alikuja hapa Kwa mwamvuli wa kuomba kaz kumbe lengo lake anipeleleze




Maswali kibao yakarindima katika kichwa chake wasiwasi na woga vikionekana waziwazi kwenye uso wake




Namba za Anita alikuwa nazo ila aliogopa kuzipiga akihofia angekuja kukamatwa palepale mbaya zaidi no za Zidu hakuwa nazo si ndo zilikuwa katika faili lile alipopiga katika simu yake alizifuta kufuta ushahid sasa angempigiaje kumpa taharifa ikiwezekana na ampe kazi amwangize huyo binti kabla akijanuka?!....




Akabaki katika hatihati!




'Bora nikajifiche kesho iko panda ndege iko enda India kimya kimya tanzania iko kua mbaya sasa!'




Akawaza akinyanyuka kwenye kiti chake akafunga ofisi yake na kutoweka akijua kimenuka!




***




Anita alishuka kwenye daladala zitokazo mwamkoko afanyapo kazi ziendazo Masati




Sasa je ni masati mtaa gani?!




Akawaza akiwa bado pale kituoni ila ghafla akapata wazo akaenda pembeni akafungua begi na kutoa lile faili akafungua na kuchukua simu yake akanakili namba zile za Zidu katili na kuzipiga zikaita.....




****




Zidu akiwa kanyanyua shoka tayari kumkama Isack mguu na kuutupia kwenye kisima cha mamba wake akaanza kuhesabu




Moja....mbili.....tat




Kabla ajamalizia tatu akashtuliwa na muungurumisho wa simu,si simu yake ya kawaida ni simu ya kazi




Akasita




Akaweka shoka pembeni akaitoa simu mfukoni alipotazama ni namba geni akapokea




"Zidu mimi Anita upo hatarini Zidu Dairekta anataka kukuua nipo hapa stend njoo nichukue haraka"




Zidu akashtuka!!!!.....




'Dairekta anataka kumuua?!,Kwa kosa gani hasa kwanza kapataje namba zake za simu'




Bado alibaki na maswali mengi yaso na majibu je ampigie Dairekta na kumuuliza kulikoni?!,hapana akapingana na wazo lile jibu sahii akaonane kwanza na binti yule ajue nini alimaanisha!




Akaisweka bastola yake kibindoni




Pasina kumsemesha kitu yule mtoto akamfungia kwenye kile chumba kumuwahi Anita




Akajue kulikoni maisha yake yawe hatarini




Kwa muda ule maisha yake Yalikuwa na thamani kuliko kifo cha yule mtoto ,akaingia ndani ya gari lake na kulitoa kwa spidi kali kumuwai Anita stendi!




*je nini kitaendelea?!,vp maisha ya Isack ndani ya chumba kile chenye kisima cha mamba alichofungiwa ndani yake?!*




Vipi kuhusu Anita ,zidu k, na yule muhindi










Kuna Watu Maisha Yao Yanapitia Changamoto Ambazo Hata Ukisimuliwa Unaweza Usiamini!




Ndio! Unaweza Ukahisi Unaongopewa,ila Sivyo Pengine Ndiyo Maisha MUNGU Alompangia Aishi




Kijana Isack John Anapitia Maisha Magumu Yalojaa Visa Mateso,na Hata Kuatarisha Maisha Yake,je Nin Kisa Cha Mateso,na Nin Hatma Ya Maisha Ya Kijana Huyu?!




Twende Pamoja!,tuburudike Na Kujifunza Pamoja!




NA HII NI SEHEMU YA 17




Barabarani Alikimbiza Gari Kwa Mwendo Kasi Alitaman Hata Alipaishe Kusudi Hata Muda Ule Ule Amfikie Anita Pale Stend Swali Kubwa Lililogonga Kichwa Chake Ni Vipi Mr Dairekta Amsalit Na Kutaman Kumuua Kwa Kosa Gani?!,bado akuamin moja kwa moja kwani Zidu k'akujifunza kumuamin mtu moja kwa moja hiyo aikuwa hulka yake!




ndani ya dakika tano tu aliwasili katika kituo kile wakawasiliana Anita Akamuelekeza Mahali Ambapo Yupo Wakaonana Zidu Akampandisha Kwenye Gari Yake Akaliondoa Kwa Mwendo Wa Wastani!.




"umentisha Sana Mrembo!,haya Nipe Mkanda Wa Kilichotokea Mpaka Bos Wako Ataman Kuniua Mimi Binadam Nisiye Na Hatia,unajua Umentisha Sana Wewe?"




Zidu Aliongea Huku Akiendelea Kukanyaga Mafuta,bado Hakuwa Na Jibu Muda Huo Wanaelekea Wapi




"kwanza Pole Kwa Kukutisha Zidu Wang Ni Katika Kukuokoa Maisha Yako,maisha Yako




ayo yapo hatarin!,"




Anita Alipofik Hapo Akafungua Begi Lake Na Kutoa Lile Kalabrasha Zidu Bado Alimchek Kwa Pembe Ya Macho Yake!




"huu Ndo Ushahidi Wa Bosi Kuhitaji Kukuua Wewe"




Akamkabidhi Faili Lile Zidu,Zidu akapak gari pembeni na kuliangalia vizuri lile faili




kwanza alianza kulichunguza nje liliponakshiwa maneno "secrete file" ikiwa na maana kalabrasha la siri!,iweje binti yule awe nalo?!,ina maana Siri Zote Za Bosi Wake Anazo?




Na Je Anatambua Kama Yeye Ni Muuaji Hatari Tena Wa Kukodiwa Kwa Thaman Kubwa?!




Hapana!,akakataa Akijua Fika Awez Tambua Ilo Ila Kunaswal Akataman Kumpachika Kabla Ajalifungua,




"umelipata wapi hili?"




"ofisin kwake i think alilisahau"




Zidu Akuuliza Swali Lingine Akalifungua Faili Lile Taratibu!




"VIJEY KUMAR"...




Ni jina la kwanza alilokutana nalo,ni jina la mtu alilolijua fika akasoma maelezo yake pale chini kwamba alimtapel 'mr dairekta' milion mia tatu na adhabu yake ni kifo,adhabu aloitimiza yeye mwenyewe kwa mikono yake miwil kumwangamiza muhindi yule Na Alipompelekea Habar Ya Kufanikisha Swala Lile Ndipo Alipo Weka Tiki Pale,kwake Zidu Hilo Alikumshangaza,chini Yake Kulikuwa Na Jina Lake Namba Zake Na Mahali Anapoishi,akafungua Ukurasa Wa Pili Apakuwa Na Maandishi Yoyote,je ni upi ushahidi wa yeye kutaka kuuwawa?!,ikabidi avunje ukimya amuulize!




"ni wap palipokufanya ukaamin bosi wako anataka kuniua?"




anita akashtuka kwa swali hilo ambalo akulitegemea kabisa!




"huyo VIJEY kwa sasa ayupo hai ndo maana kuna tik hapo anayefatia ni wewe si umeona jina lako lipo chini Zidu? Bos Si Mtu Mzur Anaua Wateja Wake Baada Ya Kununua Madin Yao Na Wewe Katika Daftar La Kawaida La Wateja Aupo? Nakpenda Ndo Maana Nakwambia Haya Zidu!"




Zidu Akashtuka!




Ananipenda?!,akavuta Picha Ile Siku Anatoka Pale Ofisini Alipomuonesha Yule Binti Ile Hundi Na Kuitaji Kuonana Naye Akachukua Namba zake ila mpaka muda ule alipotaka kumuua yule dogo akumtafuta!




akaachia tabasamu moyon mwake,lile tayar lilikuwa ni dili lingine kwa vyovyote ilitakiwa awasiliane na mr dairekta ampe taharifa ile binti yule akupaswa kuishi,akazid kufrah jiwe moja liliua ndege wawil,kwanza angemtumia kwa usiku ule mpaka asubuh kisha angemuunganisha na Isack wawe chakula cha mamba huku akizidi kutengeneza mkwanja




maskin! anita akujua lililokuwa kichwan kwa ZIDU KITE




Laiti angejua?!,yule akuwa na roho ya kibinadamu alikuwa zaid ya mnyama na roho yake tayar alishaiwazia kuinunua alishaigeuza dili,akajidai Kumchekea Kinafki




"nashkur Kwa Kuokoa Maisha Yangu Mpz!,naapa Kukupenda Daima,huyu Muhindi Ntajua Cha Kufanya Kwa Sasa We Twende Kwang"




"hapana Zidu atatuma watu watuue tutafute sehemu ingine nzur tu"




"awez kwangu pana ulinz mkal akuna jambaz awezaye ingia"




"kwel mpz?!"




"aswaaaa,twende ukajionee".




Zidu akaingiza gari barabarani safar ikaendelea dakika tatu tu alikuwa nje ya jumba lake lile la siri ambalo hata mkewe bi mery Akujua Juu Ya Uwepo Wake




Akapiga Honi Geti Likafunguliwa Akaingiza Gari Ndani!




"dah Kwel Hakuna Mtu Awezaye Ingia Unaish Mwenyewe Hapa?!"


Anita Alioj Akionekana Wazi Kupagawa Na Jumba Lile




"yah Naishi Mwenyewe Ila Now Ntakuwa Naish Na Wewe Malkia Wangu"




Zidu Akajibu Kwa Kumsanifu,akapaki Gari Wakashuka Wakiwa Wameshikana Mkono Mpaka Ndani Bado Anita Alizid Kuonesha Ushamba Wake,akakaribishwa Sebuleni Zidu Akaenda Kabatin Akatoka Na Hotpot Ilojaa Ndiz Nyama Alopika Mchana Wakala Wakashiba Anita Akizidi Kumsifia Kwa Upishi Mzur Hatimaye Wakaingia Chumbani! Na Kujifungia,




Zidu Wala Akurudi Katika Chumba Kile Alichomfungia Isack Kwa Muda Ule Alichofikiria Ni Mapenz Tu!.




Akufikiria Mtoto Yule Akula?!,ule Ulikuwa Ni Usiku Wake Na Anita,pasina Kujal Anamsalit Mkewe Alompigania Katika Riwaya Ya Morose Mpaka Kufunga Ndoa,vyote Alisahau Wakazidi Kubanjuka,waliporidhika Wakaenda Kuogeshana Wakapanda Kitandani Tayar Kuusaka Usingizi




Ndani Ya Dakika Tano Anita Alilala Zidu Akashuka Na Kuelekea Sebulen Akachukua Simu Yake Na Kumtafuta Mr Dairekta Simu Ikaita! Mara Ikapokelewa!...








Lengo lake kubwa ni kumuokoa


Kijana Yule Pasina Kujua Kwa Kufanya Vile Anajiingiza Katika Hatari Ya Kupoteza Maisha!,je Nini Kiliendelea?! Songa Twende Pamoja




NA HII NI SEHEMU YA KUMI NA NANE




*SURA YA SITA*




Hali Ya Hewa Ilikuwa Ni Ya Kiubaridi Baridi Iliyozalishwa Na Wingu Zito Lililomeza Nyota Zote Angani Na Atimaye Likasababisha Giza,pia Manyunyu Manyunyu Ya Mvua Au Rasharasha Zilipiga Kwa Mbali Sambamba Na Miale Na Milio Ya Radi Ilopiga Kwa Sekunde Kadhaa Na Kuzima




Watu Majumbani Mwao Wengi Waliifurahia Hali Ile,walijifunika Mashuka Baridi Huku Bado Wakiendelea Kutetemeka,wengine Wale Walolala Na Wapenzi Wao Waliufurahia Usiku ule ambao kwao ulikuwa ni maalumu wakipeana majoto ya asili,asili ya miili yao




ila hali ilikuwa ni tofauti katika hotel moja ilokuwa nje kidogo ya mji ule!




katika chumba kimoja feni iliskika ikiwaka,alolala juu ya kitanda aliweka shuka pembeni kwani lililoa jasho...




alokuwa juu ya kitanda icho kajilaza kifua kikiwa wazi na kumuonesha kitambi chake usingizi ulimpaa jamaa yule!,mawazo yalimvaa muhindi yule aloacha nyumba yake nzur na kukimbilia pale na begi lake akipania asubuh kupanda ndege kurejea kwao india




'tanzania iko taifa janja sana iko tuma pelelez fanya kaz kwangu muda mrefu kumbe ipo chungu


Za Mimi Dah'




Muhindi Yule Mr Dairekta Aliwaza Akijuta Kwa Kumuamin Anita!




Toka Anatua Bongo Sifa Kubwa Ya Tanzania Uwezo Wao Wa Kipelelez Aliujua,kitendo Cha Kusahau Faili Lake La Siri Na Aliporejea Akulikuta Wala Kumkuta Anita Akajua Tayar




Wakati Akiendelea Kutafakar Ghafla Simu Yake Ikaita!




Aliogopa!,akajikaza Akaichukua Na Kuchek Namba




Namba Ilikuwa Geni Kwani Namba Za Zidu Akuzisevu!




Mapigo Ya Moyo Yakaongezaj Kasi Ya Upigaji Wazo Lililokuwa Kichwan Kwake Ni Kwamba Akipokea Tu Anakamatwa!




Sasa Afanyaje?! Mkono Ukawa Ukitetemeka Mtetemeko Ule Bila Ridhaa Yake Akajikuta Akibonyeza Batani Ya Blu




"aloo Mr Dairekta"




Akuamin Alichosikia,alihis Yupo Ndotoni Na Muda Wowote Angezinduka,akabaki Kimya Pasina Kujibu Kitu




Zidu K! Akarudiaj Tena Safar Hii Akawa Kama Kamzindua!




"iko Wapi Zidu Tupo Hatarini Kesho Nategemea Ondoka Iko Rudi Kwetu India Ile Sichana Kumbe Iko Pelelez"




Zidu Akaachia Kicheko,mr Dairekta Akashtuka Kuchekwa Ikabidi Zidu Aanze Msimulia Toka Amuoneshe Ile Hundi,jins Mtoto Alivyo Oza Kwake Alipotoka Tu Ofisin Naye Binti Kuingia Kutafuta Mawasiliano Yake Mpaka Kulikuta Faili Lile La Siri Na Kuamua Kumpelekea




"kwa Hiyo Ile Binti Si Pelelez Ya Polis"




"hakuna Pelelez Pale We Tangaza


Dau nimalize kazi muda huu!"




furaha sasa ikarejea! kwa mr dairekta




"milion 15 sasa iko ingiza katika akaunti yako kesho asb mida ya satano iko taka nikashughudie akiliwa na simba katika msitu gonja iko sababisha masasa matano ishi kwa mashaka mimi"




"ha ha ha ha usijal bos kesho ntakupitia kazin tukafanye hiyo kaz usiwe na shaka kabisa tena nami na kondoo wangu tutawajumuisha pamoja!" Zidu Akaongea Akimjumlisha Na Mtoto Isack




"ha ha ha sawa sawa jemedar wangu iko rudisha amani yangu sasa!"




Muhindi Daireka Aliongea Kwa Furaha! Woga Wote Ulitoweka! Usiku Ule Ule Akaenda Kuoga Jasho Aliporejea Kulala Ak




ukaa sana akapitiwa na usingizi




Zidu Yeye Akaingia Stoo Akatoka Na Kamba Akaelekea Nayo Chumbani Ambapo Anita Alikuwa Bado Usingizini Akiota Ndoto Za Mafanikio




Akamfunga Kudu Mikono Na Miguu Kisha Akalala Akiwa Kamkumbatia!!.




*****




Taratibu Anita Alifumbua Macho Yake Alipatwa Na Mshtuko Kwa Kile Alichokiona!




Mikono Yake Na Miguu Yake Aikuwa Huru,je Ni Nan Sasa Kamfunga?!




Au Mr Dairekta Kashawatuma Watu Wake Wawateke!




Wazo Hilo Likajipiga Tiki Ndani Ya Ubongo Wake!, Je Zidu Wake Atakuwa Wapi Sasa?! Naye Kashakamatwa? Akajikuta Akiita Kwa Nguvu Zidu Zidu Zidu Mume Wangu!




'zidu Mume Wake?!' Anita ALijidanganya Sana,wakati Akiendelea Kuaha Pale Kitandani Ghafla Mlango Ukafunguliwa!




Akuamin Kile Alichokiona!




Zidu Katili Alikuwa Mbele Yake Kwa Uso Wenye Tabasamu,ila Pengine akahisi Ni Utani




"mpz Kwa Nin Umenifunga Lakin Embu Nifungulie Bwana"




Akaomba Kwa Sauti Ya Kudeka,sauti Ya Kulalamika,




"ulifanya Kosa Sana Kunipenda Sasa Unaenda Kufa Bila Hatia Tena Kifo Kibaya Cha Kuliwa Na Simba Mrembo"




Zidu Aliongea Pasina Mzaha,bado Anita Akuelewa Kipi Zidu Alimaanisha Na Zidu hakuwa Na Muda Wa Kumuaminisha Kipi Alichomaanisha Kwani Aliamin Angeamin Pale Ambapo Angeshughudia Kwa Macho Yake




Zidu Alitaka Kumuhaminisha Kwa Vitendo!




Anita Alipo Ona Afunguliw Akaanza Kulia Zidu Akamfunga Kitambaa Mdomon Kumzuia Sauti Kutoka Akambeba Na Kumtupia Ndani Ya Gari




Akamrejea Na Mtoto Isack Kule Ndan Ya Chumba Cha Kisima Cha Mamba Akamfungua Pale Alipomfungia Na Kumpeleka Ndani Ya Gari Ile Akamtupia Nyuma Ya Siti




Isack Akulia Tena Maskin Alishajikatia Tamaa Ya Kuishi Kwake Kwa Sasa Lolote Sawa Tu Kufa Au Kuishi Yote Sawa Tu!




Zidu Akapandisha Juu Vioo Vya Nyuma Vyenye Tinted Na Kuliondoa Gari Kwa Kasi!




Dakika Kumi Alikuwa Nje Ya Kampuni Ile Ya Mr Dairekta Akamshtua Kwa Simu Mr D Akatoka Akaingia Ndani Ya Gar Wakaendel


ea na safar!




Anita Alipo Muona Bos Wake Hapo Ndipo Alipoelewa Kosa Alilofanya Ambalo Hata Ivyo Hakuwa Na Muda Wa Kulisahihisha!




Akajuta Kwa Kile Alichofanya Kumpenda Shetani,akajilaumu Kumuamin Mtu Mara Moja Ila Alimshangaa Pia Mtoto Yule!




Akulia,wala Kunung'unika Kwa Nin?!




Alijiuliza Pasina Kupata Jibu Sahihi Safari Ikaendelea Na Sasa Waliukaribia Msitu Ule Ulosifika Kwa Kuwa Na Wanyama Wakali!,




Muhindi Mr D Alizid Kumsakama Kwa Maneno Anita Aliomboleza Akiomba Msamaha Lakin Ombi Lake Alikusikika Kutokana Na Kitambaa Alichofungwa Mdomoni!,safar Ikaendelea Na Hatimaye Wakaingia msituni,wakazidi Kuchanja mbuga mpaka katikati ya pori




maskin na kwa bahati mbaya lile lile eneo walilopanga kuwatupia walipofika wakasimamisha gari zidu akafungua mlango wa nyuma na kuwashusha!




ile wanarudi katika gari yao tu kabla awajaliondoa waliskia milio ya simba kuangalia mbele yao simba wawili walikuwa wakienda kwa kasi kuifata miili ile!




"ha ha ha ha its fantastic work"




Zidu akaongea kwa furaha uku akiwatazama simba wale walobakiza hatua kadhaa kuifikia miili ile




Zidu Na Mr D! Wakavutika Kuangalia Jinsi Itakavyoraruliwa!










Msolomwingo Wa Mateso Bado Unamuandama Kijana Isack Mpaka Kufikia Hatua Ya Kukata Tamaa Ya Maisha




Ananusurika Mara Kadhaa Kuuwawa Ila Awamu Hii Inaonekana Ni Vigumu Kwake Kupona!...




Kwani Anatupwa Katika Msitu Wenye Wanyama Wakali Yeye Na Mwanadada Anita,simba Wanawafata Kwa Kasi Wakionekana Na Uchu Kijana Wakaz Zidu K Na Mr Dairekta Wapo Kushughudia Tukio Lile Je Nin Kitaendelea Songa Nayo




NA HII NI SEHEMU YA 19




Uwezo wake na maajabu yake ya kucheza na wanyama uliwashangaza hata walinz wa msitu ule,alipendwa na wanyama wa kila aina wakali na wapole,si nyoka,simba,chui faru.bweha sungura wote walikuwa Rafiki Zake,kwa Maajabu Yale Wakampachika Jina La Tazani




Jina La Mcheza Sinema Maharufu Wa India Alocheza Sinema Ya Wanyama Na Kuonesha Mapenzi Kama Yeye Alokuwa Nayo Kwa Wanyama!.




Alikuwa Ni Mzee Wa Makamo,aliyeishi Nje Kidogo Ya Msitu Ule Kazi Yake Kuu Ikiwa Ni Ulindaji Wa Wanyama Na Uhai Wake Akishirikiana Na Walinzi Wa Tanapa!




Getini Mwanzo Kabisa Wa Msitu Ule Walikaa Walinzi Wawili Ghafla Simu Yao Ya Mezani Ikaita Mmoja Akaenda Akapokea Na Kuongea Nayo Kwa Sekunde Kadhaa Akarejea...




"mr Dairekta Kapiga Simu Kasema Kuna Wafu Chakula Cha Wanyama Analeta"




"mmmh Zinja Inatosha Sasa Unajua Damu Zile zitaturudia!?"




"zitaturudia? kivipi Au We Utaki Pesa"




"sina Maana Hiyo zinja Ila Awamu Hii Tuwasaidie Bhana"




"tuwasaidie?! Kivipi Sasa Alwatan"




"swadakta Tumtumie Tazan! Me Ntakusomesha Mchongo Ela Tutakula Na Atudhuru Kitu Na Ndivyo Tutakavyokuw Tunafanya"




"nakuelewa Sana Kamanda Wangu Ukukosewa Kuletwa Huku"




Wakacheka!,na Kugongeshana Mikono Makota Wale Wa Msituni,Alwatan Sasa Akaanza Kumpanga Mwenzake




"kwanza Mshtue Tarzan Porin Akae Sawa Na Simba Wawili! Katikat Ya Pori Akiwaona Anakuja Na Gari Lao Awafate Kwa Nyuma Kwa Kuwa Awatakuwa Kwenye Mwendo Wa Kas Mpaka Watakapotelekeza Miili Ile Awaruhusu Simba Wale Hapo Sis Tukiwa Mbali Nao Kidogo Tutawapigia Simu Kuwaambia Askar wa Wanyama Pori Walioko Nje Ya Mpango Wanakuja Hivyo Wakisikia Muungurumo Wa Gari Lazima Watakimbia Wakishakimbia Tu Tazan Atawastopisha Wale Simba Kazi Itakuwa Imeisha"




"yah Fantastic Plan"




Zinja Akaitika Na Kabla Ajaongea Chochote Wakaliona Gari La Kina Zidu Likija Kwa Kasi Wakafungua Geti Wakapita Huku Mr D Akiwarushia Begi Lililojaa Noti Wakalidaka!




"haya Sasa Zinja Ingia Kwenye Gari Wafate Kwa Nyuma Mi Nawasiliana Na Tazan"




Alwatan Aliongea Zinja Hakuwa Mbish Akalifata Gari Na Kuingia Akaanza Kupita 'Shotcat' Kusudi Awatokee KwA Mbele...




Tayar Alwatan Alshampanga Tazan Alokwepo Katikat Ya Msitu Kama Kawaida Yake Akicheza Na Wanyama




Zidu Katili Alizidi Kukanyaga Mafuta Pasina Kujua Zinya Anamfata Kwa Nyuma Mbele Kidogo Akampita Tazan Alojificha Katika Kichaka Kimoja Simba Wakiwa Pemben Yake Akujal


Baada Ya Gar Lile Kumpita Akainuka Na Kupiga Mluzi Akiwasiliana Na Simba Wale Wakaelewana Akaongoza Simba Wale Wakimfata Kimyakimya




Zidu Alipofika Katikati Ya Pori,wakasimamisha Gari Na Kuwatupa Anita Na Isack,tazan Akawaachia Simba Wale Akiwapa Ishara Asiwadhuru Zaid Ya Kuwang'ata Yan Kama Kucheza Nao




Simba Wale Wakazidi Kwenda


Kwa Kasi Na Walipowafikia Wakaanza Kuwaparua


Zidu Na Mr d walizid kuangalia huku wakicheka wakitegemea muda wowote kuona nyama ziking'ofolewa ila ghafla simu ya mr d ikaita akapokea kwa kujiamin baada ya kuona ni mlinz anampigia




"kuna walinz wa tanapa wanakuja hapo kimbien haraka."




kwa kuwa aliweka loud spekar zidu akusubir alopokea simu amwambie tuondoke akawasha gari na kulitoa kwa kasi mbele yao tayar walishaskia muungurumo wa gar wakarud nyuma na kurud walipotokea.




Tazan akatoa mlio wake kuwazuia simba wale kuendelea na zoez simba wakatii walimheshimu sana mzee yule tazan akajitoa pale katika kichak


Na Kuwakimbilia Anita Na Isach Ambao Walikuwa Wameshaparuliwa Mikonon Michubuko Michubuko,tazan Akaanza Kuwafungulia Zile Kamba Walizofungwa,akionekana Wazi Kuwaonea Huruma!




Isack Na Anita Wao Waliona Matukio Yale Ni Ndoto Na Muda Wowote Wangezinduka!,walibaki Wakiwa Angalia Simba Wale Walolala Pemben Ilikuwa Ni Kama Mbwa Anapoamrishwa Na Bosi Wake Aache!




Mara Wakaiona Gari Ambayo Kwanzia Muda Mrefu Tu Walisikia muungurumo wake kwa mbali


Ikawasil Pale Akashuka Zinja Na Gobole Lake Akawapa Pole Akawasaidia Kunyanyuka Wote Wa Nne Wakaingia Garini Zinja Akaliondoa Gari Kurudi Langoni!


Anita Na Isack Awakuacha Kumshukuru!..




Mioyon Mwao Bado Kulitawaliwa Na Furaha,walijua Wale Askar Wa Tanapa Wakifik Eneo Lile Awawez Kukuta Watu Wale Ni Wazima Kwani Walishughudia Kabisa Simba Wale Wawil Wakianza Kuwararua!




Wakafika Langon Alwatan Akafungua Get Zidu Na Mwenzake Wakatoka! Kabla Awajaondok Wakasimamisha Gar Nje Alwatan Akawafata Kuskiliza




"kwa Bahat Nzur Ile Tunaitupa Ile Mizoga Simba Nao Hao Ivyo Hao Jamaa Awatakuta Kitu Ila Kitakachotokea Tofaut Utamjulisha Mzee Hapa Tutajua Jins Ya Kurekebisha"




"sawa Mkuu"




Zidu Sasa Akiwa Na Matumain Ya Kumaliza Kazi Akaliondoa Gari Kwa Furaha Alwatan Akafunga Get Na Kurud Zake Ndan Kuwasubiri


ITAENDELEA


Simulizi : Kiapo (Agano La Damu) 


Sehemu Ya Nne (4)




Wajaye.




Punde Kwel Zinja Akawasil Akashuka Katika Gar Akisaidiana Na Tazan Wakawashusha Majeruh Chini Wakawapa Huduma Ya Kwanza Kwa Kuwa Hawakuwa Na Majeraha Makubwa Wakapewa Chakula Sasa Wakawa Fiti




"haya Sasa Tuelezee Kilichotokea Mpaka Wale Wanataka Kuwaua?!"




Zinja Akaoji Akiwa Na Hamu Ya Kujua Kulikon,isack Na Anita Wakatazamana Kila Mmoja Akimtegea Mwenzake Aanze




"anza Sasa!" Isack Kwa Tabasamu Akamwambia Anita




"aku! Anza Wewee"




Anita Naye Akakataa Akiongea Kwa Poz Akamtupia Mpira Isack Aanze!...




Wote Wakamtolea Macho Isack Wakimaanisha Kwel Aanze Isack Akaufungua Mdomo Wake...




Kwa Uchungu Sana Akaanza Kuzungumza




No 20




Maisha Yamejaa Changamoto Hasa Kwa Kizaz Kile Kinachotokea Katika Ufukara




Kijana Isack Anapitia Magumu Mengi Yanayopelekea Hata Kuhatarisha Maisha Yake!


Baba Yake Mlezi Mzee Alex anaamua kumtumia mzee wa kazi Zidu Katil Amuuwe.Zidu Katili Anampeleka Katikat Ya Msitu Ila Anaokolewa Na Watu Watatu Ambao Ni Walinz Wa Msitu Ule!


Wanaomba Wasimuliwe Chanzo Mpaka Kutaka Kuuwawa Tena Kikatili Namna Ile


Zidu Kwa Majonzi Sana Anaanza Kuwasimulia...




HII NI SEHEMU YA ISHIRINI




"maisha Yangu Yamezungukwa Na Tanuri La Mateso Na Mim Kuwekwa Katikati Nisijue Nitaokokaje Katika Tanuri Hili,kila Siku Mimi Ni Wa Kutoa Ma




chozi hapana siku ambayo nimefrah! eti dada Anita Ntafrah Vipi hali Ya Kuwa Kila Siku Roho Yangu Inasakwa Inyofolewe Nimewakosea Nini Mimi...




Isack Maskin Akashindwa Kuendelea kitu kikamkaa kohoni akaanza kulia,tena kulia ile ya kwikwi alikuwa na uchungu usiovumilika...




Zinja Na Tazan Wakapata Kazi Ya Kuanza Kumbembeleza Isack Akanyamaza Na Kuendelea




...Japo Hatukuwa Na Kitu Ila Tuliishi Maisha Ya Furaha Mimi Na Wazaz Wangu Nikiwa Mtoto Pekee Kwao,nilipenda Kusoma Nikiwa Na Lengo La Kuwatoa Wazazi Wangu Katika Wimbi Lile La Ufukara Nyumba Yetu Ilikuwa Ya Udongo Ila Tulijaliwa Viwanja Vingi Kutokana Na Shida,tabu,mateso Baba Akataka Kuuza Eneo Kusudi Apate Hela Mama Alimpinga Ila Baba Akauza Kwa Nguvu Jirani Na Sis Tulipojenga,bab Alipewa Ela Kidogo Ambayo Alinlipia Ada,kununulia Sare Za Shule 'uniform' Na Nyingine Alinunua Mbegu Ambayo Hata Ivyo Akuambulia Kitu,pesa Nyingine Akarushwa Ila Mzee Yule Alijenga Bonge La Nyumba Akawa Jirani Yetu Siku Zikasonga Manen Ya Chin Kwa Chin Yakaendelea...




Ghafla Isack Akanyamaza Macho Yake Akayakaza Kuangalia Juu Ya Bati Ni Kama Alikuwa Akishangaa Kitu!


Ila Siyo Ivyo!,isack Hakuwa Akishangaa Ghafla Machoz Yakaanza Kumtiririka Tena Kijana Yule Ila Akaendelea,wasikiLizaji Wake Wala Awakuangaika Awamu Hii Kumbembeleza Ndio!,kwani Walitambua Kulia Kwake Kule Kulipunguza Machungu Yaloteketeza Moyo Wake




....Siku Hiyo Nilikuwa Najishangaa Kutokuwa Na Raha Sikujua Kisa!,mpaka Tunaruhusiwa Saa Kumi Na Moja Kutoka Shuleni Hali Ile Aikuntoka,uchangamfu Wote Ulintoweka,ila Nilikuja Kujua Sababu Baada Ya Kufika Nyumbani Nyumba Yetu Ilikuwa Ikiteketea Kwa Moto Na Wazaz Wangu Wakiwa Ndani Wanaomba Msaada Ni Nan Ambaye Angekuwa Na Moyo Wa Kwenda Kuwasaidia Zaidi Yangu Ila Sasa Nilipotaka Kwenda Kuwasaidia Nikazuiwa Punde Si Punde Nikapoteza Fahamu..,.




...Nilipokuja Kuzinduka!!!


niliishughudia miili ya wazaz wangu ikiwa imelazwa huku imebadilika rangi,aikuwa na uhai tena ivyo ndivyo nilivyo wapoteza wazazi wangu"




"pote Sana Mdogo Wangu Kwa Ulopitia Ila Ujatwambia Imekuaje Mpaka Wale Watu Wakataka Kukuua?!"




Zinja Akauliza Ila Alwatan Akadakia




"sindo Anaelekea Uko Swaiba Mbona Una Haraka"




"hata Mie Namshangaa Endelea Dogo Bhana"




Tazan Naye Akadakia,basi,Isack akaendelea




"baada ya wazazi wangu kufariki huo ndo ukawa ufunguo ulofungua mateso yanayoelekea kuyanyakua maisha yangu...




"haaa kivipi tena?!"




wote watatu yani anita,zinja na alwatan wakadakia Isack Akaendelea




...Baada Ya Wazazi Wangu Kufarik Kijiji Ndicho Kilichosimamia Mazishi Yao Na Mwisho Katika Kikao Cha Kijiji Diwan Ambae Ndo Yule Jiran Yetu Akachukua Dhumun La Kuish Na Mimi Akihaidi Kunsomesha Na Kunlea Kama Mwanae"




"waoooh Una Bahati Nzur Sana Kuishi Nyumbani Kwa Diwani!?"




Zinja Akaropoka Alwatan Akadakia




"aaaah Nawe Kisebusebu Na Kiroho Papo Si Usikilize Wai Wadandia Gari Kwa Mbele Utagongwa Ati!"




Zinja Akagwaya,isack Akaendelea




"mwanzon Familia Ile Ilionekana Kunijal,lakin Kunijal Kule Akukudumu Mateso,manyanyaso Visa Vikaanza Kuchapwa Ikawa Sehemu Ya Maisha Yangu Shulen Nachapwa Kaz Zote Nyumban Wananiachia mimi nafanya,sikuwa na jinsi nikawa nafanya chakula awanipi japo mim ndo nawaandalia faraja pekee ikawa ndo mwalimu wangu wa shuleni madam jane Mungu Amkuze Ampe Roho Ile Ile Madam Yule,yeye Alijua Matatizo Yang Yeye Ndo Alonipa Faraja Nikapata Nguvu Ya Kuendelea Kusoma!....




"sasa Ikawaje Ukaletwa Kule Porini?!"




Zinja Kama Kawaida Yake Akadakia Tena




"we Naweee Hiko Sasa Si Kiherehere Si Uvunge"




Alwatan Akamshushua Tena




...Ndo Naelekea Huko Kaka....




Isack Akaongea Wote Wakakaa Kimya Isach Akaendelea




...Siku Hiyo Nilitoka Shulen Kufika Nyumban Nkakuta Gari Tena La Kifahari Nje,nikajua Kuna Mgeni ile kuingia nikaskia mgen yule akijitambulisha yamkini ndo alikuwa amekuja mda ule!...




"ehe alijitambulishaje?!"




kama kawaida akuwa mwingine zaidi ya Zinja,alwatan Akamkata Jicho Kali Pasina Kusema Kitu Zinja Akanywea,Isack akaendelea




...alisema kwamba yeye ni mdogo wake na mzee John Ambaye Ndo Baba Yangu...




"waoooh Kwa Hiyo Yule Alikuwa Ba Mdogo Wako?"




Zinja Alishindwa Vumilia Kuoji Maswali




"unatukata Stimu Bhana Si Uache Asimulie Dah Mnyama Unazingua Kinoma"




Alwatan Ikabidi Aanze Lalamika Ila Ghafla Tazan Alokuwa Kimya Muda Wote Naye Akainua Mdomo Wake Kuchangia




"kah Hata Wanyama Awapo Ivyo




huyu zinja kazidi kudakiadakia,mwanangu embu endelea!"




ni wazi hata Tarzan Alishachukia! Basi Mtoto Yule Akaendelea




"baada Ya Mtu Yule Kujitambulisha Kwamba Yu Ba Mdogo Wangu Nilifrah Kumuona Nkamuelez Jinsi Ninavyonyanyasika Bas Akanchukua Alianza Kunibadilikia Kwenye Gari Akuongea Na Mimi Na Tulipofika Katika Jumba Lake Alinibadilikia Kabisa Akanambia Ye Si Bamdogo Wake Na Ni Sali Sala Zangu Za Mwisho Lazima Aniue"




"duh!,kwa Nini Sasa Akufanyie Ivyo"




Anita Akaoji!




"sijui Dada Anita!,akanifungia Ndani Na Jana Alitaka Anikate Kate Na Kunitupia Katika Kisima Cha Mamba Ila Kabla Ajafanya Ivyo Simu Yake


ikaita,ghafla akaacha zoezi lile Na Kutoka Zake Akiwa Amenifungia Kule Chumbani,akurudi Mpaka Asubuh Alipokuja Kunichukua Na Kuniingiza Katika Gari Ambapo Ndipo Nlipomkuta Dada Anita...




"haaaa Ina Maana Mtu Mwenyewe Unayemzungumzia Ba Mdogo Wako Ni Zidu"




Anita Alioji Kwa Mshangao Pasina Kuamin Kile Akisikiacho




"ndo Huyo Nimzungumziaye Si Mtu Mzuri Yule Ni Katili Na Sijui Kwa Nin Alitaka Kuniua Mimi"




"ahaaaa,nshapata Picha Sasa!"




"picha?!..Picha Gani?"




Wote Kwa Pamoja Wakaoji!




"yule Si Ba Mdogo Wako Yule Ni Muuaji Wa Kukodiwa Ivyo Ile Ilikuwa Ni Kaz Kuna Mtu Alimpa Kaz Ya Kukuua Wewe!"




Isack Alisht


uka,mtu alimtuma amuuwe?!,mtu gani na kwa nin amuuwe kamkosea nini yeye




bado Isack Hakuwa Na Jibu La Moja Kwa Moja Hata Wale Walokuwa Pemben Yao Awakuweza Kumfumbulia Fumbo Ilo!




"maisha Yako Yapo Hatarin Isack Sijui Utaishi Wapi Na Mbaya Zaidi Umjui adui Yako"




Alwatan Aliongea Kwa Masikitiko!




"nnachoitaji Nirudi Mjini Nitamsaka Aduh Yangu Na Ntapambana Naye Pasina Kujali Udogo Nlonao,pasina Kujal Pesa Alizonazo,pasina Kujali Silaha Atakazotumia Kuniangamizia Ntapambana Kuilinda Damu Yangu Icho Ni Kiapo Naweka Mbele Yenu"




Isack Aliongea Kwa Uchungu Na Kwa Ghafla Akajirusha Na Kukikamata Kisu KilichokwePo Mezani Akajikata Mkononi Damu Zikaanza Kuvuja Akailamba Damu Ile




"nala KIAPO KWA AGANO LA DAMU kwa hili"




akalamba tena ile damu wote walibaki kumshangaa pasina kujua ni nin mtoto yule alimaanisha




alikuwa kama kachanganyikiwa,alionekana kujiamini kupita maelezo....








"Ninachohitaji Nirudi Mjini Nitamsaka adui Yangu Na Ntapambana Naye Pasina Kujali Udogo nilonao,pasina Kujal Pesa Alizonazo,pasina Kujali Silaha Atakazotumia Kuniangamizia Ntapambana Kuilinda Damu Yangu Icho Ni Kiapo Naweka Mbele Yenu"




Isack Aliongea Kwa Uchungu Na Kwa Ghafla Akajirusha Na Kukikamata Kisu Kilichokwepo mezani Akajikata mkonon Damu Zilipoanza Kuvuja Akailamba




"naweka Agano Na Damu Hii,kufanikisha Ilo"




Akailamba Tena Ile Damu Wote Wakabaki Wakimshangaa Pasina Kujua Mtoto Yule Nin Alikuwa Anamaanisha




Alikuwa Kama Kachanganyikiwa Maneno Yale Yale Kwamba Anatakiwa Auwawe Na Watu Asowajua KuliMfanya Ajiamin Na Sasa Alijua Ni Lazima Awe Fiti Kutokubali Tena Kuonewa!




NA HII NI SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA




"Unafanya nini tena Isack? umekuaje lakin wewe"




anita alioji huku akishangaa lile jeraha mkononi bado damu zilimchuruzika,zinja akajinyanyua na kuchukua nguo ilokuwa aivaliwi akaichana na kumfunga katika jeraha lile!




"usiwe na jazba mtoto jua lazima uwe makin lasivyo utateketea ukifikiria kulipiza mavisasi saiv utofanikiwa katu!"




zinja alimsihi maneno yale yakamwingia Isack anita akadakia




"tena ungesubiri uwe mkubwa ndo ulipize hilo kwa sasa soma kwa bidii uje uwe polisi uwakamate wote wan


aotaka kukuua au soma uwe hakimu uwahukumu kifo sawa mtoto mzuri?"




"sawa dada"




"sasa ukitoka hapa utaenda kuishi wapi?!"




zinja akaoji




"ntaenda kuishi kwa mwalimu wangu kule kwa baba Mery Sitorudi Kwa Namna Moja Au Nyingine Lazima Watakuwa Wanausika Kwa Wale Wanaoitamani Roho Yang"




"sawa Kesho Tutakupeleka Na Kukukabidhi Kwake!,nawe Dada Kipi Kilichofanya Mpaka Nawe Utake Kuuwawa Kikatili Kiasi Kile"




Alwatan Aliuliza! Anita Naye Akaanza Kusimulia...




"pale Nlipomuona Kwa Mara Ya Kwanza Nilimtilia Shaka Baada Ya Kuja Kazini Kwangu!...




"nani Huyo Na Unafanya Kazi Gani Na Wapi?"




Kama Kawaida Yake Zinja akampachika maswal Anita Ikabid Aanze Kujielezea




"mimi Ni Mfanyakazi Wa Kampuni Ya Ununuzi Na Usafirishaji Madini Iliyopo Katikat Ya Mji! Imilikiwayo Na Mr D"




"waoooh Umeula! Mr D Bosi Wako Dah!"




Kama Kawaida Yake Zinja Akaropoka,anita Akatabasamu Na Kumuoji




"nyie Mnamjua Mr Dairekta?!"




"mmmh Kuna Mtu Asiyemjua Huyo Muhindi Hapa Kijanjani?,"




Zinja Akazidi Kujieleza




"yah! Huyo Ndo Bosi Wangu!"




"kwa Nin Sasa Atake Kukuua Wewe Mfanyakazi Wake?!"




"kosa Ni Langu Kaka Zinja!,juzi Alikuja Mteja Ambaye Ni Yule Zidu Alokuwa Naye Kwenye Gar Akaitaji Kuonana Na Bosi Mi Nikampigia Bosi Akanruhus Nimwambie


Aingie Zidu Akaufata Mlango Ile Anafungua Mlango Si Nkaiona Bastola Niliogopa Kwa Kwel Akaingia Alpotoka Alinifata Nilionesha Wasiwas Kwa Bahat Akagundua Nilicho Ogopa Ni Ile Silaha Yake Akaitoa Na Kunambia Nisijal Wana Apolo Lazima Wawe Nazo Kujilinda Akanambia Waz Ameuza Mzigo Akanionesha Na Hundi Milion 20 Ntumie Naye Akachukua Namb Zangu Akihaidi Jion Angentafuta Akaondoka Zake...




...Kuondoka Kwake Tu Kukanzalisha Maumivu Nkajikuta Nimempenda,na Nkataman Hata Angeniachia Namba Zake Au Hata Angenpigia Muda Ule!




Mmmh Mapenz Bhana Ni Ya Ajabu Kadri Muda Ulivyozidi Kwenda Ndivyo Alivyozidi Nkaa Kichwani


Nkajikuta Nakaa Pasina Raha!,siyo Ivyo Tu Uwivu Ukanivaa Nikahis Atapata Mzur Zaid Yangu Akatumia Naye Zile Pesa Nkajikuta Nakosa Sasa Amani Wakat Nikiwa Katika Mawaz Yale Ghafla Bos Akatoka...




Kwa Kuwa Nilijua Kila Mteja Auzaye Madini Pale Lazima Namb Zake Uacha Pale Zidu Kwa Kuwa Alikuwa Mtu Wa Mwisho Nlijua Lazima Ntapata Namba Zake Katika Fail Lile La Wateja Nkaingia Nlipochek Sikukuta Jina Lake Nkashtuka Kwa Ilo!!!




Ila Wakat Nikiwa Nimekata tamaa chini nkakuta faili lingine lililoandikwa secrate fale yani kalabrasha la siri si nkataman kujua ndani kuna nin!




kosa




ndani nikakuta jina la mteja wetu


Mmoja Ambaye Alimtapel Bos Naye Kaandika Lazima Afe Na Chin Tiki Tena Ya Wino Mwekundu,




Alaf Chin Kabisa Kukawa Na Jina La Zidu Namba Zake Na Mahal Anapoishi Kwa Uelewa Wang Nkajua Naye Bos Alitaka Amuue Nami Nkawa Tayar Kumsaidia Nkakimbia Na Faili Lile Mpaka Katika Aisi Nkaelekea Hukv Zidu Anapoish Nilipofik Stendi Nilishuka Nkampigia Simu Ambapo Dakika Tano Baadaye Alikuja Tukaenda Kwake Alionesha Kunielewa Na Kuapa Kupambana Na Mr D Kumbe Ni Mtu Wake Usiku Ule Akantumia Alivyotaka Yeye Akinipa Ahadi Nyingi Usiku Ule Tukalala Nikiakikisha Nimemridhisha




Ila Asubuh Kuamka Nikajikuta Nimefungwa Zidu Hakuwa Yule Hapo Nlimuona Zidu Mwingine Zidu Katili Mwenye Roho Mbaya Asiye Na Huruma




Hakiwa Kanifunga Vilevile Akanibeba Na Kwenda Kunkalisha Siti Ya Nyuma Sikuweza Ku Furukuta Mimi,akatoka Na Kurudi Ndani Aliporejea Alikuwa Kambeba Isack Akamtupia Garini Safar Ya Kuelekea Ofisin Ikafatia Ambapo Bosi Alipanda Alifrah Kuniona Akansema Sana Japo Niliwaomba Msamaha Aikusaidia Wakaja Ntupa Huku Kabla Ya Nyinyi Kutuokoa Asanteni Sana"




"pole Sana Dada Anita" Isack Akampa Pole




"pole Sana Dada" Kabla Ajaitika Watatu Wale Nao Wakatoa Pole Zao




"ahsanten Sana"




"sasa Wewe Now Waenda Wapi Na Unajua Maisha Yako Yapo


Hatarini! Kwa Nini Tusiishi Wote Sina Mke Hati!"




Zinja Akajaribu Kuchombeza




"akaa! Uishi Na Mimi Wewe?,mi Narud Zangu Kijijini Nimejenga Nikasimamie Mashamba Yangu Mdogo Wangu Si Tutaenda?!"




Anita Aliongea Kwa Upole Akigeuza Kichwa Kumwangalia Isack




"hapana Siwez Kwenda Kuish Kijijini Mi Nataka Nikaishi Na Madam Jane Nisome Niwe Polisi Niwakamate Wanaotaka Kuniua"




Isack Alikataa,wote Walibaki Wakimshangaa Kwa Msimamamo Alokuwa Nao




Waliendelea Kupiga Stori Mpaka Usiku Walipowasha Moto Na Kuota Tarzan Alileta Matunda Walikula,tarzan Akupenda Kuua Eti Nyama Ilo Alipinga Vikali Usiku Ule Ulikuwa Mzur Kwao,asubuh kulipopambazuka wakaja kupokewa Na Wenzao Wao Wakaingia Katika Gari Akiwemo Zinja,na Alwatan,gari Ile Ya Porin Ilikuwa Ndogo Aikutosha Ivyo Tazarn Akabaki




"tuanzie Wapi?!"




"kijiji Cha Mwaseka Kipo Njian Tu Wakat Waelekea Town Ndo Nyumbani"




Zinja Akawasha Gari!




Masaa Mawili Walikuwa Ndani Ya Kijiji Hiko Kilichokuwa Nje Kidogo Ya Mji Anita Akashuka Akishukuru Safari Ikaendelea


ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog