Simulizi : Kiapo (Agano La Damu) (3)
Sehemu Ya Pili (2)
Kilikuwa Ni Kikao Cha Siri Ambacho Mwenyekiti Wa Kikao Kile Mh Alfonso alikuwa akipitia habari alizoziandika kwenye laptop yake mpakato! akaanza kuwatambulisha wale walokuwepo pale kwa mh rais!
'huyu anaitwa dk Silvestar Loyes,ni Mmoja Wapo Wa Madaktar Tulokuwa Nao Katika Opereshen Yangu Kwanzia Mwanzo Mpaka Mwisho Atatupa Ripoti Yake
ITAENDELEA
mulizi : Kiapo (Agano La Damu) (3)
Sehemu Ya Pili (2)
Wapili Yake Anaitwa Pig Huyu Ni Mchina Na Mpelelez Nlomtumia Kupeleleza Ukwel Kuhusu Kifo Cha Mwanangu Naye Atatueleza Ripoti Yake
Watatu Yake Anaitwa Gaspar Au G Huyu Ndo Zidu Dunia Inayojua Ni Marehemu Kuona Ivyo Alivyobadilika Hii Ni Kazi Ya Dokta Silvestar Loyes
Wamwisho Huko Huyo Handsome Boy Kwajina Anaitwa Richad Mombi Utokosea Pia ukimuita Isack Mtoto Aloteseka Kwa Muda Mrefu Sito Ongea Mengi Nimkaribishe Pig Atoe Ripoti Yake Juu Ya Mauaji Ya Mpelelez Mwenzetu Macdonald Na Ikasemekana Zidu Ndo Muhusika,pia Juu Ya Mauaji Ya Mwanangu Kipenz Alice Nlompenda Zaid Ya Kitu Chochote,pig Karibu!....
Pig Akainuka Na Kutoa Salut Kwa Muheshimiwa Rais Akarud Kuket Naye Akachukua Laptop Yake Na Kuanza Kusoma Ripoti Yake!...
"Baada Ya Mh Wazir Kutoridhika Na Majibu Ya Mpelelezi Mwenzetu Kiso Kuwa Zidu Ndo Muuaji Akanipa Kaz Ya Mimi Kupeleleza Nilipoanza Kuichunguza Akaunti Ya Mlinz Alosema Kuwa Alimruhusu Zidu Kutoka Nlimkuta Ana Kiasi Kukubwa Sana cha fedha ivyo kwa kuwa alikuwa gerezan nilimtia nguvun nikamtesa nikimpa mapigo ya tayach khong dyao na mengine hatar yaliyoko china tu,utoyapata sehemu engine....
watu wote pale wakacheka pig alikuwa na utan mwingi,baada ya vicheko kukoma akaendelea
....ndipo alipo nieleza ukwel kuwa yule tulomwamin mpelelez mwenzetu kiso alikuwa akitumiwa na wazir wake mh Alex"
"na hilo mi nililihisi tu wote si wa Tanzania!"
Mh Alfonsor Akaongezea,Pig akaendelea...
"na kumbe huyo waziri aitwaye Alex alikuwa na bifu sana na huyu kijana ivyo kila aloishi na huyu mtoto alimuua ushahid anao bwana Gaspar Au Zidu Kwa Jina Lake La Zaman Uongo?!"
"kwel!" Yule kijana alokaa pemben ya pig akaitika!,
"Na hata kuja huku Nchin Inasemekana Alijua Tayari Ameshamwangamiza Ivyo Alimuuza, Isack Kuja Huku Mwil Wake Ulikuwa Umebebewa Madawa Ikiwa Mali Ya mtu ambaye mpaka sasa ajatambulika ila daktar alotumika kupasua ile mihili ni dokta Horace"
"Kwa Hiyo Kumbe ndo wanavyofanyaga ivyo?"
Rais John Kenny akahoji kwa mshangao pigg akadakia
"Ndio mh miili ilokufa upandikizwa madawa ya kulevya kisha Usafirishwa Kuletwa Huku Kupitia ambapo kabla ya kwenda kuzikwa ufikishwa katika hospital ya dokta Horace Upasuliwa Na Kutolewa Madawa Ndipo Uzikwa! Ivyo Horace Alikuwa Akijuana Na Marehemu Mac Ambapo Mac Baada Ya Kugundua Isack Ni Mzima Na Si Maiti Aliamua Kumchukua Na Kuish Naye Horace akamjulisha Partnar Wake Alomtuma Zidu Aje Huku Kwa Bahat Mbaya Ndo Zidu Akakamatwa!
Hakika Pig Alielezea Kwa Ufasaha!
Na Akaendelea Kuelezea Jins Kifo cha Alice kilivyotokea!
kuhusu kifo cha alice msababishaji ni Bray Mtoto Wa Mh Max Maliwale Rais Wa Tanzania!
Na Lengo La Kumuua Ni Ili Kumchomekea Isack Na Dogo Huyu Kufia Gerezani! Pig Akaendelea Kueleza Uchunguz Aliyoenda Kufanya Kule Shuleni Na Akaeleza kuwa Bray mwenyewe ndo aliyemweleza kila kitu
Mambo yalikuwa Hivi...
St Lucy Collage!
Wakati vipaji vikiendelea kutawala na kushika hatamu pale chuoni ghafla akaingia Mwanafunz Mpya Mwenye Asili Ya Kichina,ni kama aliamia
Hakuna Alohis Wala Kudhani Kuwa Yule Ni Mpelelez,(pig) na kuja kwake pale ni kwa kazi maalumu
alikuwa Ni Mchangamfu Ndani ya wiki moja alianzisha club yake Kutokana Na Kuanzisha Club Yake Ya Judo Kongf Akatokea Kuwa Maharuf Pale Chuon
Kina Bray Walojiona Ndo Wababe Wa Chuo Wakajivuta Kwak
kuwa karibu na Bray Kama Rafiki Yake Mkubwa Kukamuwezesha Hata Kugundua Kuwa Yeye Ndo Msababishaji Wa Mauaji Yale ya Alice mtoto Wa waziri wake mh Alfonsor
Pia Ukwel Ule Alikuja Kuugundua Kupitia Kwa Spack Aloambiwa Na Mpz Wake Egy , baada Ya Kugundua Kila Kitu Ndipo Alipopotea Katika Mazingira Ya Kutatanisha Pale Chuoni
Akamfikishia Habari Ile Mkuu Wake Mh Alfonsor Ambaye Baada Ya Kuugundua Ukwel Ule mh Alfonsor Akaenda Kuongea Na Mh Raisi Kenny
Rais Alishtuka!,mwisho Akatoa Wazo
"hii Ishu Ni Ngumu Na Tukicheza Nayo Itasababisha Vita Katika Mataifa Haya Mawili Marekan Na Tanzania,na Nchi Ile Ni Nchi Ya Aman Tusiharibu Amani Yao Chanzo Kikiwa Watu Wachache Tena Viongozi wa juu wa taifa,kikubwa wazo langu tucheze dili ambalo alitakuwa na madhara kwet tuandae uongo kuwa hawa watu wawili Zidu na mwenzake Isack Wamekutwa Na Hatia Na Tumewanyonga Waliyoko Kwenye List Ya Kunyongwa Tar 9 Ni Kina Nan!...
Wazir Yule Wa Ulinz Kabla Ajajibu Akashika Simu Yake Akamtafta Mkuu Wa Gereza Akamuuliza Waliyoko Ktk List Ya Kunyongwa Siku 5 Zijazo Ni Kinanan
Mkuu Wa Gereza Akamtajia Majina Naye Yale Majina Akamtajia Rais
"hawa Ndio Watakaonyongwa Kama Zidu Na Isack!"
"kivipi Mkuu!"
"ndo Naelekea Huko Sasa...
Ntakukutanisha Na Daktar Wangu Dokta Silvestar Loyes Huyo Ndiyo Atakayeifanya Hiyo Kazi atawabandika sura watu hao zinazofanana na sura ya Isack Na Zidu Na Wao Isack Na Zidu Tutawabandika Sura Zingine,kisha Hawa Ndo Watakaolipa Kisas Kwa Wabaya Wetu Wote Tena Wakiwa Kama Watanzania Wenzao
Mh Alfonso Akaachia Tabasamu
"duh Mkuu Wazo Zur Ila Je Watu Hao Watakubal Kubadilishwa Sura Zao?!"
"hakuna Kitu Kinachoshinda Pesa Kijana Wangu,pesa Ndo Kila Kitu,jua Hao Wapo Gerezan Muda Mrefu Na Washajikatia Tamaa Familia Zao Zinaish Kwa Shida Ikiwa Tutawahaidi Fungu Flan Familia Zao Ziishi Vizur Sijui Kama Watakataa!"
"kweli!"
Na Ndivyo Ilivyofanyika,watu Wale Wakabadilishwa Sura Na Kunyongwa huku BBC ikichukua tukio lile na kulitangaza duniani!
Baada Ya Wiki Moja Ndipo Kikao Kile Kikawekwa!
Zidu ambaye kwa sasa ataitwa Gasper Au G Na Isack Ambaye Kwa Sasa Akapewa Jina La Richard Mombi Wakakabidhiwa Kazi Rasmi Kuwaua Wote Wabaya Wao,akiwemo BRAYSON,MH ALEX,KISO,NA Rais Max waliwale ambaye ndo baba yake Bray!
G Na Mombi wakaangaliana wakaachia matabasamu mioyo yao ikaingia ubaridi
"ni kazi ngumu ila na uhakika mtaifanya vizur tu sijui mtajipangaje ila kwa msaada wowote mtakaotaka tupo nyuma yenu usiri mkubwa waitajika"
mh Alfonsor akazidi kuwapa wosia!...
Naye mh Rais Akawabariki!...
wakaaga na kutoka wakiwa
Mambo Yanaenda Kugeuka Zidu Katili Na Isack John Wanaenda Kuungana Na Kuwa Kitu Kimoja,lengo Ni Kulipiza Kisasi Je Unahisi Watafanikiwa Na Watapata Ugumu Gani Katika Kazi Yao?!
Twende Pamoja!
NA HII NI SEHEMU YA SITINI NA TANO
Afande kiso alishuka kwenye gari yake,
taratibu akaufata mlango wa kuelekea ndani ya nyumba yake akaingia chumbani! moja kwa moja!
katu akujua kama sebuleni kaketi mtu alokuwa akimsubiria muda mrefu mdomoni akiwa na sigara kubwa mezani pakiwa na chezo alomwagia makapi ya sigara lake lile!
akiwa kakunja nne,kakaa bila wasiwas aikujulikana ameingiaje wakati milango yote ilikuwa imefungwa na yeye mwenyewe Kiso Ndo Alofungua Mlango Ule! Wa Kuingilia Ndani Ya Nyumba yake Ile!
Mtu Yule Akashusha Mguu Wake Mmoja Alokuwa Ameupandisha Juu Ya Mwingine Kwa Nne Baada Ya Kusikia Sauti Ya Maji Yakimwagika!...
Akaichukua Bastola Yake Pale Mezani,akawa Akiiangalia,aliridhika Na Risas Alizoziweka!
'najua Una Kosa,upo Kazini,ila Nami Pia Sina Kosa Nipo Kazini Utansamehe Swaiba'
Jamaa Yule Akawaza Huku Tabasamu Likipendezesha Mdomo Wake!
Kule Bafuni Kiso Alimaliza Kuoga Akajifuta Maji,akatoka Bafuni Akajipaka Mafuta Akachana Nywele Zake Vizuri!...
Sasa Akaufata Mlango Na Kuufungua Akaanza Kuelekea upande wa sebuleni,lengo akaangalie angalie tv muda uende!
ile anatokezea eneo la sebule macho yake yakatazamana na pistol...
akainua kidogo macho yake kumtazama aloishika pistol ile usoni akakutana na sura yenye tabasamu kejelia,tabasamu baya!
"nitakuwa dhaifu nikikuuwa kwa hii pistol mwanamke ndo ingepaswa kukuua kwa pistol,ntakupa nafas moja ukinishinda utaendelea kuishi!..."
mtu yule akaisweka pistol kibindoni!
akaanza sasa kumsogelea kiso alokuwa kakaza macho kumshangaa mtu yule alojiamini kupita maelezo!
"wewe ni nani?!..."
Akajikuta Akimuhoji Pasina Kuweka Tahadhari Na Kujiandaa Kwa Ajil ya pambano,jamaa akamfkia akamzindua kwa ngumi nzito ilo mfanya apepesuke!
harufu ya damu ika ambaa katika pua zake!...
Mapigo Alopewa Akuwa Na Uwezo Wa Kuyazuia Yote,akawa Akivunjwa Vunjwa Viungo Mwisho Akauwawa!
Baada Ya Jamaa Yule Kufanikisha Kumwangamiza Kiso Kwa Kupitia Simu Yake,aikujulikana Alizijuwaje No Za Siri Akaupiga Picha Ule Mwili Akatuma Ktk No Zilizoseviwa Mh Alex Na Chin Akatuma Ujumbe Kifo Hiki Ni Kama Kisasi!...
Mwanaume Akatoweka!
Alipoingia Tu Ndani Ya Gari Yake Na Kuanza Kuondoka Nyuma Yake Kukasikika Kishindo!
Kupitia Said Mirrow Aliona Jinsi Nyumba Ile Ilivyokuwa Ikiteketea Kwa moto!
Habari Zikatapakaa Mtahani Shambulio Lile Ni La Magaidi,pia Vyombo Vya Habari Ndivyo Vilivyotangaza!
Ila Habari Ile Aikumwingia Akilini Mh Alex,alihis Kuna Kitu,kwa Nin Mtu Yule Amtumie Meseji Anamaana Gani Na Ni Nan Mtu Huyo?
Ni Wazi Sasa Mh Alex Alikuwa Anaenda Kuchanganyikiwa,hofu Kuwa Zidu Au Isack Ndo Walipiz Katu Hata Kulifikiria Akufikiria Alijua Wale Wameshakufa Tayari!...
Akaachana Na Jambo Lile!
Ndani Ya Jumba La Kifahari,
Zidu (g) Na Isack (Mombi) waliketi sebuleni wakicheza game ngumi wakipigana!
"mi uwez kuntwanga bro,labda live live lakin katik gemu ebwana eeeh! labda ukanlloge ufipani!
Zidu Akacheka! Pasina Kujibu Au Kuongea Swala Lile Zidu Akaja Na Jambo Lingine...
"kama Nilivyokwambia Nishaianza Kazi Na Jana Nimemteketeza Yule Mchaga Boya Kiso Nimemvunja Vunja Viungo Kwa Sasa Bado Bray Kisha Turudi Nchini Kwetu Kukamilisha Wale Wawili Walobakia,vipi Ombi Langu!..."
Ghafla Isack Akakunja Sura!
"nimekwambia Aiwezekani Mzee! Mbona Unielewi Kwanin Baba Mim Siwez Kutakid Swala Hilo Kuteseka Kwangu Inatosha!"
Zidu Akakunja Sura! Alionekana Wazi Kuchukia Dogo Yule Kumpandishia Sauti!
Zidu Akashindwa Zizuia Hasira Zake Ghafla Akachomoa Pistol Na Kumuelekezea!
"hata Mara Moja Dogo
Sitaki sauti yako iwe juu ya sauti yangu we ni mtoto tu na utabaki kuwa mtoto"
Isack Akacheka Kwa Kiburi!
"usinitishe Mzee Na Hiyo! Mara Ngapi Umeninyooshea Na Umeshindwa kuitumia...
Zidu Akajifyatua Teke Likamponyoka Likamvaa Isack Isack Chini...
Akamfata Pale Na Kumkanyaga Kwa Soli Ngumu Ya Kiatu Chake!
"kwa Mara Nyingine Tena Dogo
Usije Ukanpandishia Sauti Atutokaa Kwa Aman Apa Ndani Utake Utafanya Nnachotaka Mimi Ustake Utafanya,kwa Heri!"
Baada Ya Maneno Yale Zidu Akautoa Mguu Wake Katika Mwili Wa Isack Akaifata Tshart Yake Ya Kijeshi Na Kuivaa
"fikiria Juu Ya Swala Hilo"
Akamalizia Na Kuondoka Zake
"mpumbavu sana huyu jamaa na ntamkomesha,leo lazima nimuue aiwezekani annyanyase kias hiki,ananpeleka kijesh kwan mim mwanajesh mpumbav huyu na leo namuua akyanan ngoja...
Isack Aliwaza Akiwa Amedhamiria Kumuwekea Sumu Katika Chakula Usiku!
Wakati Mawazo Hayo Ya Kuua Yakikitafuna Kichwa Chake,kwa Upande Wa Zidu Naye Alikuwa Na Mawazo Yake!
Akasimamisha Gari Lake Maeneo Ya Wahuni Mwanaume Akashuka!...
Wauni Wale Kumuona Tu Mtu Akiwa Ndani Ya Gwanda Wakakimbia,ila Watatu Wakawa Chini Yake!
"kuna Dili Kuna Chalii Simpendi Kinyama Nataka Mumvamie Nyumbani Mumpige Ikiwezekana Mumuue Kabisa! Ila Msitumie Silaha tumieni mikono sawa?"
"sawa mkuu"
"twendeni!"
Wakaingia Kwenye Gari njiani Zidu Akawa Akiwapanga,kwa Usiri Sana!
Alipofika Mtaa Mmoja Kabla Ya Kufika Nyumbani Ili Isigundulike Kama Amekuja Nao Wakashuka Na Kutangulia!
Zidu Akakaa Kaa Kidogo Kupoteza Muda Ili Akienda Nyumbani Akute Kaz Tayari
Kwa Upande Wa Isack Alimaliza Kutenga Chakula Akakiweka Sumu Na Kutenga,chuki Juu Ya Zidu Kumlazimisha Asichokipenda Na Kumkataza Alichokipenda Ilirudi Kama Awali
Ghafla Akahisi Kengele Kugongwa,kwa Tabasamu Akijua Ni Zidu Akatoka Kwenda Kufungua Geti!
Ile Anafungua Wanaume Watatu Wenye Visu Wakazama!
Palepale wakaanza mchapa,bila huruma,walimchangia kama mpira,akienda huku teke,akirudi kule teke,kule teke huku teke!
akawa nyang'anyang'a, wakamtengua mikono na miguu sasa akawa analia huku kusimama akiwa awezi!
"ninja maliza kazi tusepe!"
mmoja akasema,jamaa mmoja akawa akimfata Isack Kwa Spidi Kisu Kakiweka Tayari Kwa Lengo La Kumchoma!...
*dah Mbona Wanauwana Wenyewe Tena Kipi Wanachobishana Mpaka Kufikia Hatua Ya Kuuana Kip Zidu Anachomlazimisha Isack Afanye Ambacho Dogo Huyo Ataki Na Dogo Huyo Yeye Binafs Anataka Nin?!
Dah,bifu Kali Kati Ya Zidu Na Isack Linazaliwa Upya,wakiwa wanaishi nyumba moja Isack Anakosa Adabu Na Kumjia Juu Zidu Jambo Hilo Linamkasirisha Zidu Na Kuamua Kumpiga!
Kitendo Cha Kupigwa Isack Kinamkasirisha Na Kupanga Kumuua Tena Anamuwekea Sumu Katika Chakula!
Wauni Wanafika Nyumbani Wanampa Kipondo Isack Na Mwisho Kijana Mmoja Akiwa Na Nia Ya Kumuua Sasa Anamfata Akiwa Kakishika Vizur Sana Kisu Lengo Amchome...
Je Atafanikiwa?!
TWENDE PAMOJA KATIKA SEHEMU HII YA SITINI NA SITA
Kabla mtu yule ajamfikia Isack Ghafla Geti Likafunguliwa,mwanaume Wa Kazi Zidu Katili Akaingia!
Akapiga Hatua Ya Kwanza
hatua ya pili akamkamata mtu yule kwa nyuma na kumvuta ila wenzao watatu Wakiwa Na Visu Vyao Mikonon wakamzunguka Zidu Naye Akiwa Bado Kamshikilia Yule Alokuwa Akimwendea Isack Kwa Lengo La Kumuua Akaruka Mateke Dabo Dabo Wote Wakaenda Chini!
Akamvaa Yule Alomshika Na Kumpiga Kiunoni Kwa Goti Lake,jamaa Akaachia Yowe Naye Kwenda Chini!
Kivipi Sasa Zidu Atume Watu Na Yeye Yeye Ndo Aje Kuokoa,mwanaume Alikuwa Na Maana Yake...
"Hii Ndo Faida Ya Kuwa Mwanajeshi Waweza Jilinda Wakati Wowote Unaona Sasa Mpaka Wauni Wa Mtahani Wasiyo Na Ujuz Wa Kupigana Wanakupiga Vipi Hao Wanausalama Tunaopaswa Kupambana Nao Utawaweza ikiwa tu awa mateja wanakupiga!
ITAENDELEA
imulizi : Kiapo (Agano La Damu) (3)
Sehemu Ya Tatu (3)
maneno yale kwel yakaanza kumwingia Isack,
"nimekubali Mzee Kwenda Jeshini!"
Hatimaye Isack Mwenyewe Akakubali,huu Ulikuwa Ndo Ubishano Wao Zidu Akimlazimisha Isack Kwenda Jeshini Miaka Mitatu
Huku Isack Akikataa Kwa Kuhofia Mateso Ya Jeshini Ye Akawa Akitaka Kurudi St Lucy Hali Ya Kuwa Ubavu Hata Wa Kupigana Na Bray Akuwa Nao
"haya Nyie Poteeni"
Zidu Akawafokea Mateja Wale,
"mzee Mbona Unawafukuza Pasina Kuwauliza Hata Wametumwa Na Nani?!"
"ha ha ha ha mi ndo nimewatuma kukudhibitishia umuhimu wa kuwa mjeda!"
Isack Akashangaa!!!
'dah Hili Jitu Lina Roho Mbaya Aisee Mpaka linankodishia watu duh ila anacho ongea ni kwel yapaswa niende mafunzon coz kulipiza kisasi kwa wazir kabla ujamfikia lazima upambane na wanajesh polis na kaz yetu yamuhus mpaka rais dah huyu mzee yuko sawa aseee!'
Isack Akawaza Wakat Huo Zidu Akamnyanyua Mpaka Sebulen Akambwaga Sofani,
"kabla Sijakutibu Ngoja Kwanza Nipate Msosi!"
Zidu Aliongea Akikiangalia Chakula Kilichokuwa Mezani
"hapana Bro Kaweke Kingine Kwenye Hot Pot Hapo Kabatin Hiko Nilikuwekea Sumu Kwa Hasira Nlizokuwa Nazo Baada Ya Kunipiga"
Isack Akitegemea Zidu Angeshtuka Matokeo Yake Jitu Eti Likacheka
"very Gud Hayo Ndo Maamuz Ya
kijeshi,mwanajesh atakiwi kuwa na huruma poa bas ngoja nije nkutibie babaa eeh"
akaenda kabatini akachota chakula na kuanza kula! alipomaliza akamtibia madonda!
Hatimaye Isack Akawasili Kambini,huku Zidu Nako Akiwasili Kambini Kuongeza Mafunzo Ya Ukomandoo Isack Mwanajesh Wa Kawaida Wote Ikiwa Ni Kozi Ya Miaka Mitatu!
MIAKA MIWILI BAADAYE
ST LUCY COLLAGE
Yalikuwa ni mahafali ya mwisho kwa wanafunzi walomaliza,ni kina Bray,Mery na hata Egy!
Wakati Mahafali Hayo Yakiendelea Usiku Kulitegemewa Kuwe Na Disko La Kufa Mtu!,
KAMBINI ISOGA
Wanafunzi watatu walokuwa mwaka wa pili wakiongozwa na isack walikuwa wamepania jioni kutoroka mpaka mjini kuudhuria sherehe ya mahafali!
Japo walijua ni hatari na adhabu yao ni kali kifo ikiwa wangegundulika ila isack alifanikiwa kuwashawish wenzao jion safar ikaanza!
kwa bahati mbaya ishu ile ikashtukiwa na viongozi wakatumwa wanafunzi watatu wa mwaka wa tatu kuwafatilia wakiwakamata ni kipigo ikiwezekana hata kifo!
wote wakawa wameficha nyuso zao kutoruhusu kuonekana kwa sura zao!
wanajeshi wakiwa na mabegi yao yenye nguo za kiraia mbele,huku nyuma yao wakifukuziwa na wajeda wenye mbwa na hasira kwa kusumbuliawa
"wallah tukiwakamata twawatafuna wazima wazima!"
Wakat Kina Isack Wakiendelea Kukimbia Ghafla Wakasikia Milio Ya Mbwa!
Milio Ya mbwa Wa Kambini Kwao Waliijua Kuisikia Vile Kengele Ya Hatari Ikagonga Katika Vichwa Vyao!
'hii Ni Hatari Sasa Kufa Au Kupona'
Wazo Hili Likapita Kichwani Kwa Kila Mwanajeshi Bila Kuambiana Kila Mmoja Akachomoa Silaha Yake!
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment