Simulizi : Kiapo (Mtetezi Wa Kinte) (6)
Sehemu Ya Nne (4)
Gambi akaoji!...
"Naomba mniamini jamani!"
Fatma akazidi kuwasisitizia,
"Basi kama vipi tuelekeeni huko kabla jamaa ajatua akaharibu mambo!"
"Swadakta"
***
Isack akaachia kicheko pembeni yake alikwepo Black sqopion alomzimisha Zidu kwa style ya kipekee
Style itambulikayo na makomandoo wachache hasa watokao katika taifa la Izrael
Styil ambayo komandoo mwingine ukiiona macho lazima yakudanganye ni kaua ila siyo ivyo!
Kwa kuwa Isack alijua Zidu na Katarina wangewachunguza aliitaji awazimishe kukwepa uchunguzi wao akawatupe na ndivyo alivyofanya!
Akawazimisha na kumpigia simu rais Laizar Nyoshi na kumpa taharifa rais yule akatuma ndege eneo lile lile miili ile ilopotupwa
****
Wakwanza kufumbua macho yake alikua ni "kz" akajinyanyua na kukaa kitako
Shingo ilimuuma,akajikaza
Macho yake aliyakaza kwa mkewe Katarina alolala chini bila ufahamu,
akajikongoja kumsogelea na kusikiliza mapigo yake ya moyo yalipiga kwa mbali sana
Pia aliona uvimbe ulomtokea Katarina kichwani kwa vyovyote alijua kapigwa na kitu kizito kichwani pale!
Akayatoa macho yake na kutazama mazingira aliyokuwepo
Bado akugundua yupo eneo gani!,wala ukanda upi, ghafla akashtushwa na mlio alipo tazama juu akaiona ndege ambayo kwa uwezo wake alijua ipo katika kutafuta kitu!!!
Rundo la maswali yakakishambulia kichwa chake
'Je ile ndege ni salama kwa uhai wao au ni wale wale?!'
Kumbukumbu zake Mara ya mwisho ni wakati alipokuwa mbele ya gaidi hatari Black sqopion na ghafla akujua kilichoendelea
'Je walimtekaje na walikuwa na Nia gani juu yao na kwa nini wawa achie au walijua wamewaua?!'
Bado hakuwa na majibu ya maswali yale,aka amua iwavyo na iwe!,asubiri ndege ile ifike ajue nini kingeendelea!
Tayari ndege ile ilishatua,ghafla "Zidu" akashtuka baada ya kugundua ni ndege ya nchini kwake Kinte
Ndege ya kijeshi!
Amani ikamtawala,ni wazi ilikuja kwa ajili ya uwokozi!,
Wakashuka wanajeshi chap na machela,baada ya kutoa heshima wakampakia Katarina na komandoo Zidu katika ndege
Na hatimaye ndege ikapaa na kuiacha ardhi ya kisiwa cha
Belgium
€€€€
Ndege ile ilombeba Zidu na mpz wake Katarina ilitua ndani ya uwanja wa Kia
Nje kulikuwa na ambulance baada ya kushushwa katika ndege wakapakiwa katika ambulance kuwaishwa hospitalini
Zidu alishangazwa na wingi wa watu wana Kinte walimpenda!
Shujaa! Shujaa! Shujaaa! Shujaaaa
Kila walipopita toka uwanja wa ndege kuelekea Hospitalini watu walijazana kumshangilia ilo lilimtia moyo ,mkewe bado alilala pasina ufahamu ni wazi chuma kile alichopigwa Kilipiga maeneo nyeti ya ubongo
Kama ilivyokuwa kwa Mernel ii kutofurahia mapokezi ya Zidu na mkewe Katarina,na kupanga kumuua japo alimsaidia
Hata kwa Laizar Nyoshi ilikuwa vivyo hivyo
'Baada ya kuniulia Gambi,MwM awatokuacha mzima na hata wasingekuua ningekuua Mimi Zidu haya mapokezi ni hatari kwa utawala wangu nawashukuru sana MwM'
Nyoshi aliwaza,akimtazama Gambi usoni alokuwa katika tabasamu huku akiwatazama raia walokuwa wakimshangalia!
"Maisha yangu yapo hatarini Zidu"
Laizar akaongea kwa sauti ndogo,japo Zidu alilijua ilo ila alishtuka na kumkazia macho Rais wake yule!
"Kivipi mh rais"
"Siku yoyote naweza nikauwawa"
Laizar akazidi kuongea kwa uchungu
"Sikuelew rais"
"Mwache kwanza apone muheshimiwa"
Mshauri wa Rais aka mshauri na rais Laizar akanyamaza!
"Hapana nambie tatizo!"
Zidu akiwa na wasiwasi akaoji
Ila rais Laizar akuwa tayari kuongea chochote kwa wakati ule
Ila ile ilikuwa ni kama target kwake kwa Zidu nayo alifanikiwa
Rais Laizar akuwa tayari kuongea chochote kwa wakati ule
Ila ile ilikuwa ni kama target kwake kwa Zidu nayo alifanikiwa
***
Wakiwa ndani ya gari yao walizidi kukata mitaa mitaa ile na kuzidi kukifikia kijiji kile ambacho Fatma aliwatanabaisha Ndumbwe ndumbwele alikuwa akiishi huko
Lilikuwa ni jambo gumu kuliamini katika mioyo yao!
Olomy akazidi kukanyaga mafuta,barabara ilikuwa ni mbaya lakini wala awakujali!,
Japo walikuwa na sura bandia ila waliutambua ujio wa Zidu ungefumua hizo sura hivyo iliitajika wawe na kinga za ziada!
Jioni jioni sana baada ya kuuliza uliza sana!,wakafanikiwa kukifikia kijiji huko binyalia
Tatizo likabaki kugundua anapoishi ndumbwe ikabidi pia waulize
Mtu waliye muuliza alikodoa macho
"Ni katikati ya msitu pande,msitu hatari,msitu ambao kwa saivi serikali imepiga marufuku mtu yoyote kuingia kutokana na kuwepo viumbe wabaya majini,mashetani na wanyama wakali!
Wote wakaangaliana baada ya kisikia maneno Yale!, kwa pamoja wakaoji
" msitu pande?! " kwa mshangao kwani walishausoma msitu huo katika riwaya za kufikirika za mtunzi Zuber
Msitu pande ndo msitu ambao Abrah alikuwa akiupita wakati ukienda shule (katika riwaya ya tozani!)
Pia katikati ya msitu huo ndipo ilipo himaya ya mfalme Zuber aloishi kinguvu na Zena Kureysh katika riwaya hiyo ya Tozani!
Wote walishangaa kuambiwa msitu huo upo kivipi sasa msitu ule waliousoma tu katika hadith uwepo?!
"mh! Inamaana ni kweli msitu Pande upo?!"
Fatma akamuoji yule mtu ambaye alikuwa ni mwenyeji wa kijiji kile akionesha mshangao waziwazi
"Khaaaa we Dada vipi kwani Mimi ninavyokwambia ina maana unielewi au?!"
Kijana yule akajibu akionekana kukasirika,
Fatma aka angalia chini kwa aibu!
"Basi Kama msitu pande upo hiyo ina maana hata huyo mzee Ndumbwe ndumbwele ni kweli yupo na kwa maana hiyo zile riwaya za mtunzi Zuber Maruma ni za kweli sitaki kuamin ili!"
Gambi akaongea na kuvuta pumzi kusudi lile alilo ongea liwaingie kisha akaendelea...
"Sasa kaka unaweza kutupeleka katika msitu huo?!"
Yule kaka akayatoa macho yake kwa mshangao
"Aka! Nani?! Nyinyi vipi lakini nimewa ambia serikali hairuhusu mtu kwenda katika msitu huo kivipi ni wapeleke?!
Na inasemekana tu huyo mganga yupo katika msitu huo ila hakuna alodhibitisha"
Kijana yule aliongea na kutaka kuondoka ila Fatma akamzuhia
"Samahani kaka tunaomba hata utuelekeze tu!"
Kijana yule akawaelekeza wakaliwasha gari na kuondoka kuelekea katika msitu huo
****
Walifata njia waliyoelekezwa na hatimaye wakafika katika lango la kuingilia msitu ule!
Walikutana na kibao kikubwa kilicho watahadharisha kuingia katika msitu huo!
Wakapingana na tahadhari ile wakaingia na gari yao,
Kitendo cha kuingiza gari tu ndani ya msitu ghafla gari lile likazima,
Tena mwanzo mwanzo mwa safari!
Ikawalazimu washuke, kuangalia tatizo nini!,lakini wakati wakilisogelea boneti ghafla gari ile ikatoweka,na kuwa acha katika mshangao!
Bila kuambiwa na mtu!,ghafla wote wakaanza kukimbia kutoka nje ya pori lile,wakipiga kelele
Lakini ghafla tetemeko lilitokea lililowarusha vibaya kila mtu upande wake!...
Walipokuja kunyanyuka walishtuka baada ya kujikuta katikati ya pori,
Lilikuwa ni pori lililotawaliwa na kigiza giza kutokana na miti kufungamana,tena miti mirefu!
Sasa wenyewe pasina kujua uelekeo wanaoelekea kama wanatoka au wanaenda ikabidi wafatane Gambi akiwa mbele yao ,Fatma anafatia Odovy na Olomy akiwa wa mwisho!
Wakati wakiendelea kutembea ghafla Olomy nyuma alikabwa! Kwa nyuma!
Akaachia kelele na kuwashtua waliyoko mbele yake wote wakageuka!,
Olomy alikuwa akitoa macho kama anakata roho!,wakati wenzake wakishangazwa na jambo hilo ghafla aliachia Shingo yake na kumrukia Odovy na kumshika shingo yake akawa akimnyonga
Wote wakapigwa na butwaa!
Ebwana eeeh!
Walikuja kuzinduka Baada ya Olomy kuuachia mwili wa Odovy ukaporomoka chini!
Hakukua na haja ya vipimo kuwa julisha kuwa Odovy tayari ni marehemu!
Ni nini kilichomkumba Olomy?!
Wawili wale walobakia Fatma na Gambi kila mmoja kwa upande wake akawaza!
Macho ya Olomy na Gambi yakagongana!
Gambi akashtuka baada ya kuyaona macho Yale makali mbaya zaidi kiini kilibadilika rangi na kuwa chekundu!...
Ni wazi Olomy aliingiliwa na roho chafu!,sasa kichwani kwake alikuwa na lengo moja tu!
Amvae na kummaliza gambi!
"Huwa anaye ingia katika msitu huu uwa atoki salama!"
Kwa sauti Nene akamwambia Gambi sambamba na kuruka akikunjua mikono tayari kumvaa Gambi ambaye wakati huo yeye na Fatma bado walikuwa katika mshangao, butwaa
Pasina kuamini kitokeacho
MAMBO HAYOOOO NDANI YA MSITU PANDE JE NINI KITAENDELEA
Olomy aliyekuwa katikati ya Fatma Na Gambi Macho Yake Yalimwangalia Gambi Kwa dharau,
Wakati huo akili ya Fatma Ilifanya Kazi Kwa Spidi Kuliko Kawaida alijua ilipaswa afanye kitu haraka sana lasi ivyo wangekwisha,
Kwa haraka akageuka na kuanza kukimbia,Olomy Kuona hivyo akaachana na Gambi Na Kuanza Kumfukuzia Fatma Kwa Nyuma hapo hapo naye Gambi akuwa mjinga naye akakimbia upande wake,
Japo moyon mwake alikuwa akiyawaza maisha ya Fatma Kule anapokimbizwa na Olomy ambaye akuwa na shaka kuna kiumbe kimemwingia...
Gambi alikimbia mpaka akachoka,msitu ulipoa si sauti ya ndege wala mnyama aliyepishana naye,sasa alichoka na kuitaji kupumzika,dalili za huyo mganga akuziona ndani ya msitu ule...
Akakaa chini ya mti mmoja mkubwa kutokana na uchovu ghafla akapata wazo aupande ule mti akakae juu kwani pamoja na kutokutana na wanyama akupaswa kuuamin msitu ule moja kwa moja...
Akaupanda ule mti,cha ajabu alipofika juu tu,na kutulia katika moja ya tawi la mti ule,mti ulianza kwenda huku vicheko vya sauti ya ajabu vikisikika kwa haraka akauachia ule mti na kwenda chini,ajabu lingine chini akawa sasa afiki,ni kama aliruka toka mbali sana...
Alipotua chini moja Kwa moja akapoteza fahamu...
***
Fatma alizidi kukimbia huku Olomy akiwa nyuma yake,ghafla akajikwaa na kwenda chini...
Akaachia mguno Wa maumivu, mguno Ulotafsiriwa Vibaya Na Yule Kiumbe,na Kumtega,ile Fatma anataka kuamka Olomy akamdaka na kumrudisha chini,akamziba mdomo na kuanza kumpapasa,Olomy alikuwa na nguvu za ajabu,pale chini Fatma akuweza kujitetea,
Olomy akamvua kale ka suruale mbano alicho vaa na kuanza kumbaka
Alionekana alikuwa na uchu usio wa kawaida,na wakati akimwingilia alikuwa akitoa sauti nene tofauti na sauti ya Olomy,
Aliendelea Vile Vile Mpaka alipopizi mwili wote ulimlegea na alipo maliza alijiangusha pembeni akawa akiga lagala maumivu,
Ghafla damu zikaanza kumtoka mdomoni na puani damu nyeusi na ghafla akatulia yamkin ni kama kakata roho,
Fatma alibaki na butwaa alipopeleka mkono wake sehemu za siri alishangaa kukuta majimaji yalonatanata alipoyagusa na kuyacheki yalikuwa meusi kama mkaa yalotoa harufu mbaya ilompa kichefu chefu na kujikuta akitapika alipomaliza kutapika...
akamfata Olomy na kuanza kumwita,Olomy alikuwa kimya,aliposikiliza mapigo yake ya moyo aligundua yamesimama,alipo mgusa alikuwa wa baridi,bado ule unyevu nyevu mweusi ulizidi kumtoka puani na katika kingo za mdomo...
Alimvua tisheti alokuwa ameivaa
akajifuta sehemu zake za siri!
Akaanza kuondoka kurejea kule alikotoka kumtafuta Gambi,moyo Wake Ulikuwa Na Maumivu tele kuwapoteza ndugu zake wawili,Olomy Na Odovy Katika Mazingira Yale ya Kutatanisha,
Walikuwa Pamoja Kwenye Vita Vya Kumpigania Gambi Lengo Ni Kushinda Pamoja Na Kurejea Kongo Wakiwa Pamoja Lakin Sasa Ile aikwepo,
Alizidi Kwenda Mpaka Pale Walipoachana hapo awali,akaelekea ile njia gambi alokimbilia...
Baada Ya Masaa Kadhaa Alifika Lile Eneo Gambi Alipopumzika Kwenye Mti,akapita Pasina Kujua Gambi Ndo alipotelea pale...
Cha ajabu sasa ule mti aukwepo!,je gambi alipanda nini!,akazidi kusonga mbele kwa lengo la kuendelea kumsaka Gambi,ambaye Mpaka Muda Ule akujua kama ni mzima au,
Walibakia wawili tu!
Upande wa Gambi baada ya kutua chini,akujaribu kuyasikilizia maumivu aloyapata haraka akajinyanyua pasina kujali ameumia kwa kiasi gani akaanza kukimbia,nyuma yake alisikia kishindo kikubwa ile kugeuka akuamin alipo ona ule mti ukimkimbiza tena kiajabu sana,
Kwan Ulikuwa Umejichimbia Chini Kama Kawaida Na Wala Kitendo Cha Kujongea Kwake tena kwa spidi ukuvunja ardhi wala kufanya mmonyoko wa aina yoyote,
Yani Kwake Gambi ilikuwa ni kama kiini macho kwa yale ayaonayo,alihis yu ndotoni na punde kungepambazuka, wawe pamoja na wenzake olomy,odovy na fatma waendelee na harakat zao!...
Lakin Ile aikuwa ndoto,kwa sasa akujua wenzake walipo kilichopaswa apiganie tu uwai wake akamalizie kisasi chake!
Wakati akiendelea kukimbia ghafla akapata wazo, kutotumia tena njia ile ya kawaida akaonelea akatize katikati ya miti ile ilofungamana kwa kuwa ule mti ni mnene ungeshindwa pita kwenye ile miti ivyo angenusurika!
Haraka Sana Akaiacha barabara na kuingia vichakani katikati ya miti cha ajabu ule mti ukasimama na kiumbe cha ajabu chenye muundo wa mti kikatokea katika ule mti mkubwa ila kiumbe kile
kilikuwa dizaini ya mtu kikaanza kumkimbiza gambi! huku kikitoa mluzi kwa sauti ya ajabu...
Ghafla Kikasimama baada ya kusikia kama mdundo wa ngoma na kelele zisizoeleweka,palepale kikatoweka,ngoma zile zilikuwa ni mwito maalumu ambao upigwa na viumbe vyote uitajika kufika mara moja katika wito ule na kuacha shughuli yote uifanyayo,hapo ndo ikawa pona ya Gambi!...
Gambi alizidi kukimbia ila alipogundua akimbizwi tena na kwa kuwa alikuwa amechoka akaenda kuketi kwenye mti mmoja huku akihema jasho likimtiririka...
Bado Mwili Ulimtetemeka, nywele Kumsisimuka Ishara Ya hatari!...
Fatma alizidi kukimbia kuifata barabara ghafla akajikwaa na kwenda chini ile anainuka tayari alishazingirwa na viumbe ambavyo akuvielewa...
Vikamuweka Kati,vingine Vikaanza Kupiga Ngoma,ngoma Zilizowavuta Wenzao Na Kuzidi Kuongezeka,fatma Alishindwa Kuimili Kashikashi Ile Akajikuta Akidondoka Na Kupoteza Fahamu!
Viumbe Vile Huku Vikitokwa Na Mate Meusi Kama Mkaa Uchu Wa Kumnyonya Damu Binadamu Yule Wakamnyanyua Juu Na Kutoweka Nae...
Walienda Nae Wapi?!,kujua Ni Kuendelea Kufatilia Riwaya hii
*GAMBI ATAFANIKIWA KUTOKA SALAMA MSITU PANDE?,VIPI ZIDU ATAWEZA KUMLINDA RAIS NA NIN HATMA YAKE NA MR X TUWE
PAMOJA MPAKA MWISHO KUJUA HATMA YA YOTE HAYA*
Shere na like kwa wingi kwa wale kumi watakaoshre mara nyingi zaidi wataweza kuisoma riwaya hii mpaka mwisho pale ntakapoikatisha
Cha kufanya shere then njoo katika inbox ya page andika umeshare mara ngapi kisha mwisho wa siku washindi kumi watapata vipande vya mwisho wengine watanunua..
Fatma alizidi kukimbia kuifata barabara ghafla akajikwaa na kwenda chini ile anainuka tayari alishazingirwa na viumbe ambavyo akuvielewa...
Vikamuweka Kati,vingine Vikaanza Kupiga Ngoma,ngoma Zilizowavuta Wenzao Na Kuzidi Kuongezeka,fatma Alishindwa Kuimili Kashikashi Ile Akajikuta Akidondoka Na Kupoteza Fahamu!
Viumbe Vile Huku Vikitokwa Na Mate Meusi Kama Mkaa Uchu Wa Kumnyonya Damu Binadamu Yule Wakamnyanyua Juu Na Kutoweka Nae...
**********
UPANDE MWINGINE
Kwa Mbali alisikia sauti za nzige na ndege,pia sauti za upepo,akajaribu kuyafumbua macho yake akapiga mwayo,wa uchovu...
Maumivu Makali Yalipiga Katika Kichwa Chake,akajaribu Kuvuta Kumbukumbu Pale Yupo Wapi,ghafla akakurupuka,alikumbuka
Ndiyo,alikumbuka Kila Kitu,jinsi Alivyopanda Kwenye Mti Na Mara Mti Ule Ukaanza Kutembea,akawa Kaukazia Macho,ghafla Akaskia Kama Kilio Cha Fatma,haraka Akasimama Na Kuanza Kukimbia Kuelekea Kule Aliposikia Yowe,alikimbia Muda Mrefu Ila Akufika Na Sasa Sauti Zile Azikusikika tena
alichoka sana!
Akaketi Sehemu Lengo Lake Apumzike,kwa Muda,kwa Sasa Akujua Anaelekea Wap kwa mganga ndumbwendumbwele aliyowah kuzipata sifa zake au njia ya kutoka katika msitu ule usioeleweka,wakati akiwaza ghafla akasikia kama mchakacho kuangalia vizur mbele yake aliona kajitu kafupi ila kichwa chake kikubwa kikija tena si mwendo wa kawaida,kilikuwa kikija huku kikiruka ruka!
Gambi Akakumbuka Ana Mafunzo Ya Kupigana Na Binadamu Wa Kawaida Ila Si Viumbe Kama Vile Haraka Sana Akajinyanyua Na Kuanza Kukimbia,alipogeuka Kiumbe Kile Kilizidi Kumfata Japo Akikuwa Na Spidi!...
Mwanaume Akazidi Kukiacha,na Mwisho Akakipotea Kabisa, akaenda Chini Ya Mti Mmoja Na Kuketi Lengo Ni Kupumzika Ndo Aendelee na safari yake asiyo ielewa!
***
"Usijali Rais Wangu,niliapa Kulitumikia taifa langu japo nimetoka kwenye matatizo makubwa ila umensaidia tena ukinpeleka katika hosptal kubwa umepambana na mimi mpaka leo hii nimepona lazima niyalinde maisha yako kwa gharama yoyote ile,Kafanikiwa kwa wale ila kwako atoweza kamwe,huu ndo mwisho wa Gambi Nawa Ahidi Ndugu Zangu"
Zidu aliongea kwa kujiamin pembeni yake upande wa kulia aliketi mke wake katarina,upande wa kushoto aliketi Jonathan,mwanausalama Machachari,na Mbele Yao Aliketi Mh Rais Na Viongozi Wengine Wa Juu Wa Serikali Ile!
Kitendo Cha Rais Wake Kumpeleka india,na kusimamia maisha yake binafsi aliona kuna umuhimu wa kumtia nguvuni Gambi...
Katika Kitengo Cha Upelelezi,kuna Sheria Moja Inayosema Mpelelez Yoyote Ana Wajibu Wa Kumpeleleza Kwanza Alompa Kazi Pengine Angeweza Kupata Kiini Cha Tatizo Na Kujua Alisevu Vipi!
Ivyo Kwa Siri Sana Akaanza Kuchora Raman Yenye Hesabu!
Alianza Na
X=?
Y=?
Z=?
Chini Ya Kakitabu Chake Kale akaandika x ndiyo alopaswa aanze nayo ambayo ndo rais y=gambi Z=(mr X ) ambaye mpaka muda ule akumtambua ni nani wala akulitambua ilo jina la mr x ila alijua katokea Tanzania Na Alishamshambulia Mara Kadhaa,hata India Aliwah mtuma mtu wake amuue,katu akumjua kama ni Isack Na Wala Kufikiria Ivyo Siku Ambayo Angejua Sijui Angejisikiaje Na Angechukua Maamuz gani!...
x= akaanza kwa kuelekea kitengo cha mawasiliano ya simu,na internet ikimaanisha email,whatsupp na vyote mh alivyo kuwa akitumia!...
"si ruhusa kutoa mawasiliano ya rais...
"sh sh sh ishia hapo hapo,mim ni usalama wa taifa ni kwa faida ya rais,.."
Zidu Akaongea Kwa Ukali Sambamba Na Kutoa Kitambolisho Chake,yule 'castomer Care' akamruhusu na simu yoyote itakayopigwa yapaswa kabla ijamfikia ipitie kwangu..."
"ina maana tu icall divert mh"
"sijui ila namaanisha wakati rais anazungumza mi niyanase hayo mazungumzo kwa kuwa huyo Gambi Anaweza Piga Kumtisha Ivyo Akifanya Ivyo Siye Kirahisi tu tunamdaka hapo hapo kwa kutumia gprs au rgms fastar tu!"
"ha ha ha kwel wewe ni geniuz wa haya mambo wacha tushughulikie mkuu hyo namba yako kuiunga na ya raisi"
"ok vizur wacha mimi nipitie voice na hz sms za nyuma kama naweza gundua chochote kitu"
Mwanaume Akakaa Kitini,akavaa Ear Phone Maskion Akaanza Kusikiliza Voice Moja Moja...
"vipi Isack Zidu Kafika Salama Kutoka India?"
"hapana Mh Ajafika Ametekwa Na Mtu anayejiita mr x wa kundi la mafia na amenipigia simu kunijulisha kuwa wao ndiyo walo mteka"
ITAENDELEA
mulizi : Kiapo Cha Mfungwa (6)
Sehemu Ya Tano (5)
"embu nitumie namba zake"
Zidu Akashtuka Hapo Ndipo Kwa Mara Ya Kwanza Akagundua Kumbe Walo Mteka Na Kumshambulia Mpaka Kupelekwa India Ni Kundi Hatari La Mafia!
Pale Katika Kakijitabu Chake Kwenye
Z=mr X(mafia)
Ikiwa Na Maana Ndo Walomteka,je Alikuwa Na Bifu Nao La Nin?,alikumbuka Akuwa Na Bifu Na Watu Hao Kivipi Sasa Watake Kumuua Akaweka Pale Alama Ya Question Mark Na Mshangao!
Raman Yake Sasa Ikawa Ikisomeka Hivi
X=rais(uchungz)
Y=gambi(jinsi Ya Kumpata)
Z=mr X(?!)
Akazidi Sikiliza Audio Zile Za Maongez Ya Rais Na Watu Wake...
Ghafla akayanasa maongezi ya Rais Na Huyo mr x,kama mwenyewe alivyojiita,yale ambayo alielewana na Rais Kumuwachia Huru Yeye Kisha Ela yake ya kumuua gambi walipwe wao Mafia,kwa hiyo kumbe mafia walimwachia kimtego, akakumbuka alipopigwa na kitu kisogon kutoka kule kwenye lile jumba ambalo akulijua alipozinduka walitupwa sehemu nyingine na ukupita muda ndege ya jesh ikawasili...
Komandoo Zidu Akuamin,kumbe hata yule rais pia ni msaliti?! ina maana kuwa niya yake nikishamfanyia kaz malipo yangu awalipe mafia then anawaruhusu aniue ms*ng* huyu!...
Hasira Zilimpanda,akajikuta Akiweka Head Phone Chini Akutaka Kuendelea Kusikiliza Audio Zingine Alishamua kuiachia mbali ile kazi Gambi tu amuue!
akaingia ndan ya gari yake akiwa na hasira kali,mpaka baa akatupia bia za kutosha akawa bwiii,mwanaume akaingia ndan ya gar yake barabara yote ilikuwa mali yake,huo mwendo alotoka nao ni hatari...
Alikuwa Akielekea Ikulu,lengo Akamtandike Risas Za Kutosha Rais...
Alikuwa Akiongozwa Na Akili Za Pombe!
DAAA ZIDU AGUNDUA RAIS HANA NIA NZUR NA YEYE APANGA AKAMMALIZE YEYE YUPO TUNGI JE ATAFANIKIWA?!...
FATMA KATIKA ULIMWENGU MWINGINE KATEKWA NA VIUMBE WA AJABU LENGO WAMLE NYAMA WATAFANIKIWA?!
GAMBI APOTEA,NJIA YA KUTOKA MSITUNI AU KUFIKA KWA MGANGA IMEKUWA NGUMU UTATA UTATANI TUONANE KESHO KWA MWENDELEZO
Zidu anagundua Rais kamuokoa kutoka kundi hatari la mafia liliyopo chini ya kiongoz wao mr x kwa minajil amsake Gambi Na Akimpata Basi huo ndo uwe mwisho wake naye auawe!
Hasira Zinampanda,anakunywa Pombe Kwa fujo,anaingia Ndan Ya Gari Lake Analiondoa Kwa Kasi Kuelekea Ikulu Lengo Amwangamize Kabisa Rais...
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment