Simulizi : Kiapo (Agano La Damu) (3)
Sehemu Ya Kwanza (1)
IMEANDIKWA NA : ZUBERI MARUMA
********************************************************************************
Simulizi : Kiapo (Agano La Damu) (3)
Sehemu Ya Kwanza (1)
SURA YA KUMI NA SITA
Mh Alfonso Alitamani Sana Kuijua Sababu Ya Isack Kumtaja Zidu Kama Muhusika Wa Kifo Cha Mtoto Wake Je Angekuwa Hai Mpaka Muda Ule Wakati Anakumbuka Yeye Ndiye Aliyetia Sahihi Kitanzi Baada Ya Ushahidi Kuonesha Kuwa Zidu Ndo Kausika Na Mauaji Ya walezi wa mtoto isack mh na mke wake bi Sara!
Akashika Simu Yake Kujaribu Tu Bahati Yake
GUANTANAMO JAIL
Zidu bado akuelewa sababu ilomfanya mfungwa yule aivae kesi yake!
Akiwa Katika Hali Ya Sintofahamu Ghafla Lango Likafunguliwa Maaskar Kadhaa Wakamtoa Tena Kwa Kipigo! Mpaka Kwa Mkuu Wa Gereza Lile!
Mkuu Wa Gereza Lile Akuongea Naye Chochote akamkabidhi kwa maaskari wengine wakamwingiza katika karandika wakaelekea naye mahakamani!
Zidu Alikuwa Katika Hali Ya Sintoelewa Kwa Nini Anapelekwa Mahakaman Anakesi Nyingine Mpya Nin?!
Walifikiswa Kortini Akapandishwa Mmoja Mmoja Hatimaye Zamu Ya Zidu Ikafatia,akasomewa Shtaka Lililo Mshangaza! Shtaka Ambalo Alilikana Kuhusika Na Mauaji Ya Mh...
Mashahidi Wakapandishwa Mmoja Hapo Akiwepo Mlinzi Wa Gereza Lile Alokiri Kumruhusu Zidu Kutoka Ndani Ya Gereza!
Zidu Kwa Vyovyote Vile Alijua Lazima Mh Alex Atakuwa Anahusika!
Kwa Nin Amgeuke Vile?
Chuki Kali Dhidi Yake Ikazidi Kujijenga!
Akaukumiwa Kifo kunyongwa kwa kitanzi mpaka kufa!...
Zidu Akuamini,roho Ilimuuma Hasa Kwa Kuwa Ni Alisingiziwa!
Alama Ya Kifungo Cha Maisha Ikatolewa Katika Nguo Zake Akavalishwa Alama Ya Kifo!
Tena Ilitakiwa Adhabu Yake Itimizwe Ndani Ya Siku Mbili Zijazo!
Habari Ile Kwa Mh Alex Na Mwenzake Kiso Juu Ya Hukumu Ya Kunyongwa Kwa Zidu Kwao Waliipokea Kwa Furaha Kwa Kuwa Walijua Kwa Kufanya Vile Wameficha Kifo Cha Yule Afisa Wa Fbi Kwa Kuwa Wasingepata Sababu Ni Lazima Wangegundulika Tu!
Kazi Ilibaki Sehemu Moja Tu
Isack!
Kile Ndo Kilibaki Kikwazo Kikuu!,tatizo Kubwa Ni Kuwa Yule Alisoma Bording Uwezo Wa Kuingia Kule ulikuwa mdogo! ila kwa kuwapoteza walez wake iliwarahisishia kazi sana tu!
Masaa Yakasonga Zidu Akisubiria Siku Yake Ya Kunyongwa,moyoni Mwake Kukiwa Kumejaa hasira Kali dhidi ya mh Alex!
Kipindi Chote Alichomtumikia,leo Ndo Anamlipa Yale?!
Aliapa Kumlipizia Yale Ikiwa Angepona Ila Je Kwa Pale Angeponaje?!
Anaenda Kumuwacha Mke Wake,Mery akaanza kumkumbuka binti yule alotoka kumuokoa toka mikononi mwa tapeli wa mapenz Erick Sarjion Katika Riwaya Ya Chuki!
Akuwah Kufurah Naye Kutokana Na Kaz Yake Ile Ya Uhalifu Na Usalama Wa Taifa!
Leo Hii Anakufa Bila Kumuona Akubahatika Kupata Mtoto,hapo Akamkumbuka Isack Alitaman Amuone Hata Amuombe Msamaha!
Nisamehe Isack!
Aliomba Huku Machozi Yakimchurizika,akijutia Kwa Mateso Yale Alokuwa Akimpa!
Akunikosea Kitu Nikawa Namtesa Haya Ndo Malipo Yangu Nisamehe Isack!
Alijisemea Huku Machozi Yakizidi Mchuruzika,ni Wakati Ule Ambao Bray Alikuwa Akimwangamiza Alice!
Uchungu Alopata Alice Pindi Kisu Kilipochoma Kifua Chake!
Ndio Uchungu Alokuwa Akiupata Zidu Moyon Mwake Kwa Mateso Alokuwa Akimfanyia Isack!
Embu Fikiria Ndugu Msomaji Jitu Katili,lenye Roho Mbaya Leo Hii Chozi Linamdondoka!,ni Wazi Akuna Asiyekiogopa Kifo!
Alilia Na Bila Kutegemea Akiwa Kabakisha dakika tano geti lilifunguliwa wakaingia watu waloziba sura zao!
hawa ni wanyongaji!
giza kali likamvaa,akajikuta akienda chini!
Zidu Akapoteza Fahamu! Kutokana Na Uwoga!
Wakambeba Na Kumpeleka Katika Hosptal Ya Gereza Lile Kufanyiwa Matibabu Lengo Akizinduka Akaendelee Na Adhabu Yake!
Kule Alipopotezea Ufahamu Alikuwa Katika Eneo Flani Kama La Njia Panda Akawa Akiwaza Aende Wap
"njoo Huku!"
Jitu Moja La Kutisha Lilikuwa Likimuita Huku Njia Aliyokuwepo Kukiwa Na Giza Pia Kulionekana Miyoto Ilowaka Kwa Ukali Na Katika Mioto Ile Aliona Watu Wakilia Kuomba Msaada,wakati Akizidi Kushangaa Ghafla Akashtushwa na sauti nyingine tena hii ilikuwa ya mtoto!
"hapana ba mdogo usiende huko njoo huku bado atujamaliza kazi ety"
alipocheki njia ambayo sauti ile ilitokea akuamini,
alimuona mtoto Isack Tena Kipindi Kile Akiwa Mtoto Akataka Kupiga Hatua Kumfata Ghafla Akashtuka!...
Ilikuwa Ni Kama Ndoto! Ila Ni Ndani Ya Masaa Matano Alikuwa Kalala Pale Katika Kitanda!
"sasa kasharejewa na fahamu anaweza kwenda kuendelea na adhabu yake!"
sauti ya daktari alokuwa akimuhudumiwa ikasikika!
Zidu Akashtuka Kumbe Ndo Anaenda Kukutana Na Kitanzi!
Bila Shaka Ndo Anaenda Kuipita Ile Njia Ya Jitu Lile La Kutisha...
Akashuka Pale kitandani,akaelekea maeneo ya mauaji,akavalishwa nguo maalumu na kupandishwa juu ya stuli!...
ila kabla mnyongaji akatoa stuli ghafla simu yake ikaita kutoa ni mkuu wake
akapokea!
"umeshamnyonga?"
"hapana mkuu ndo naenda kutoa stuli"
"wacha usimnyonge mvue hayo mavazi umlete katika ofisi yangu na maongez naye"
"sawa mkuu"
jamaa yule akaitikia
"shuka hapo"
mtu yule akaongea,sauti ile ikapenya mpaka katika masikio ya Zidu Hakika Akuamini Kile Alichokisikia!
Akajikuta Akiyafumbua Macho Yake Na Kushuka!
"hakika wewe u mkuu,asante Mungu,asante Isack!"
Akajikuta Akimshukuru Mungu na isack kwa pamoja kwa kuwa labda yeye ndo alomuonesha njia sahii ya kupita!
"isack?!"
mnyongaji yule akauliza kwa mshangao lizidu Likabaki Tu Kucheka Kwa Sasa Alijikuta Akimpenda Isack Kuliko Kitu Chochote Kile!
"sitokufa Mwanangu Isack Mpaka Tulipize Kwa Huyu Alex"
Akajiwazia Wakati Wakielekea Kwa Mkuu Wa Gereza Lile!
Japo Akujua Ni Kitu Gani Anachoenda Kuambiwa Kule!
"sitokusamehe Kamwe Zidu Unahusika Kwa Yote!"
Isack Akaongea Tena Kauli Ambayo Polis Wale Hawakuielewa!
Je Nin Kitaendelea?!,Zidu ajikuta akimpenda isack ambaye mtoto yule anachuki kali na Zidu Akimuhisi Ndo Anayemnyima Furaha Kwenye Maisha Yake Nin Kitaendelea?!
Baada Ya Kusalitiwa Na Bosi Wake Alomtumikia Kwa Muda Mrefu Zidu Katili,moyo Wa Majuto Kwa Yale Alomfanyia Mtoto Isack Unamvaa,pasina Kujua Bado Isack Anakisasi Kikubwa Dhidi Yake!...
Anaponea Kitanzi Na Kuitwa Kwa Mkuu Wa Magereza Je Unahisi Nini Kiliendelea?
Twende Pamoja...
NA HII NI SEHEMU YA SITINI NA MBILI
Zidu Alifikishwa Mpaka Ofisi Ya Mkuu Wa Magereza Yale!
Alikuwa Ni Mzee Wa Makamo Alikaa Kwenye Kiti Katika Ofisi Yake Juu Ya Meza Pakiwa Na Laptop Alokuwa Nayo Bize!
Hata Mlango Ulipofunguliwa Akuangaika Kuinua Kichwa Chake Kumwangalia Yule Aloingia!
Akatoa Ishara Tu Aketi Na Kuwapa Ishara Maaskari walomleta Zidu Waloficha Nyuso Zao Kuondoka!
Wakatoka Zao
Mzee Yule Wala Akuongea Chochote,wala Kupepesa Macho Yake!
Nje Ya Jengo Lile La Ofisi Ya Mkuu Wa Magereza,gari La Polisi Lenye Wanajeshi Wenye Silaha Za Moto Liliwasili,wakamshusha Isack Wakamuongoza Kuelekea Kituo Cha Mkuu Wa Magereza,pia Waziri Wa Ulinz Nchini Marekani Mh Alfonce Ambaye Ni Baba Yake Alice Akuwa Nyuma Katika Msafara Ule!
Wakaingia Ndani Ya Ofisi Ile Ambayo Zidu Alikuwa Ndani Yake!
Si Zidu Wala Isack Aliyeamin, baada Ya Muda Mrefu Walikuwa Wakionana Tena!
"je Unahisi Zidu Huyu Ndiyo Aliyemuua Mwanangu Alice?!"
Mh Alfonco aliuliza kwa uchungu,lengo lake ni kujua sababu kwanin Zidu Amuulie Mwanaye?
Kamkosea Nini Au Katumwa Na Nani!
Isack Alikuwa Na Uhakika Muuaji Si Mwingine Zaidi Ya Zidu!
Huyu Pekee Ndo Alikuwa Mbaya Wake Na Katu Akujua Wala Kufikiria Kuwa Zidu Alikuwa Katumwa!
"ndiyo Huyu Ndo Muhusika Wa Kifo Cha Mwanao!"
"nini?!"
Zidu Akauliza Katika Hali Ya Sintoelewa
Alihis Alitaka Kubambikiziwa Kesi Nyingine
"hivi Nimekukosea Nini Ba Mdogo Kwa Nin Utaki Kuniona Na Furaha,wewe Ndo Uliniulia Wazazi Wangu Kwa Tamaa Ya Mali Ukuishia Hapo Ukaniulia Madam Jane,kwa Kuwa tu alitokea Kunipenda Na Kuamua Kuishi Na Mimi,nikachukuliwa na binadamu wengine wenye roho nzuri
Macdonald Na Mkewe Bi Sara Nao Kwa Kuwa Walinipa Furaha Na Kunipeleka Chuo Nao Ukawaangamiza Ikiwa Aitoshi,binti Alotokea Kunsaidia Na Kunipenda Tena Ukaniulia Alice Wangu Kwa Nin Wanfanyia Hivi Ba Mdogo?!"
Isack Aliongea Kwa Uchungu Machozi Yakimchuruzika, mkumbuke Isack Alikuwa Akijua Kuwa Yule Ni Ba Mdogo Wake Mzazi,katu Akujua Ile Ilikuwaga Ni Teknik Ili Zidu Amtoe Kwa Mh Alex Kipindi Kile Ikiwa Moja Ya Kaz Na Hapakuwa Na Undugu Wowote!
"nisamehe Mwanangu Isack,ni Kweli Mi Kwa Kiasi Kikubwa Nimechangia Kuyaumiza Maisha Yako Ila Nilikuwa Kazini! Saivi Najuta!....
"ulikuwa kazini kivipi?!..."
"naitaji tuwe wanne hawa maaskari watoke kwa usalama wa ukwel na unyeti wa habari hii"
Mh Alfonso Akuwa Mbishi Akawapa Ishara Maaskari Wale Wakatoka Sasa Ndani Walibakia Wa Nne Tu!
Mkuu Wa Magereza Mh Luice,waziri Alfonso,Zidu Katili Na Isack
Sasa Zidu Akaanza Kueleza!
"kwa Jina Naitwa Zidu Kite Ila maharufu Zidu Katili Ni Mzaliwa Wa Nchini Kinte...
Kabla Sijawaeleza Historia Nzima Ya Maisha Yangu Mimi Si Muhusika Wa Mauaji Ya Walezi Wako Macdonald Na Huyo Sijui Alice Na Kingine Mi Si Ba Mdogo Wako Wala hatuna Undugu...
Mimi Ni Mlinzi Wa Mh Alex Waziri wa ulinzi Huko Nchini Tanzania na ndoo muhusika wa yote haya,huyo ndo mbaya wako Isack Na Si Mimi!
Isack Akatoa Macho Pasina Kuamini Kile Akisikiacho!
...Yeye Ndo Alowaua Wazaz Wako Ili Viwanja Na Mashamba Viwe Mali Yake,akakuchukua Uishi Naye Mim Nikiwa Kama Mlinz Wake Alintuma Nije Kukuchukua Nikijifanya Bamdogo Wako Ningekataaje?!...
Yeye Ndo Alontuma Nimuue Madam Jane Kusudi Aliamua Kukusaidia,na Hata Ulipochukuliwa Na Mac Yeye Alintuma Nije Huku Kukuteketeza Kwa Bahati Mbaya Nkakamatwa Na Kuletwa Huku!,nilitegemea ataja nitoa Ikawa Kinyume Sikuwah Kutoka Huku Mimi Ila Juzi Usiku Askar Mmoja Wa Magereza Alikuja Kunitoa Seloni Akanipeleka katika chumba kimoja na kuniambia eti mh alex kamtuma aje anambie nitoke gerezani niingie chuoni nikakuue then nirudi huku kwa kuwa nilishajutia makosa yangu sikuwa tayari
ivyo yule askar akataka kuniua katika kujitetea ndipo nlpomuua ila cha ajabu alitokea mfungwa na kusema yeye ndo muhusika sikujua kwa kwel yule mtu kwanin ajivalishe kesi ile bas wale maaskar walokuwa wakintesa wakaniacha! na kumchukua mtu yule sijui iliishaje ila nkaja kushangaa nimebambikiziwa kesi ya kumuua afisa yule wa fbi wakati sikuhusika!,...
Mkuu Wa Gereza Alitoa Macho Ya Mshangao,Isack alibaki kimya pasina kuelewa aamini maneno yale au apuuze!...
kwa upande wa waziri alichoka mwili na roho!,alijua mauaji yale yalihitaji uchunguzi zaidi! tayari alishaelewa kwa nini Isack Alimtilia Shaka Zidu Kuwa Ndiye Aliyemuulia Mtoto Wake,
"kwa Usiri Sana Hawa Wafungwe Vip Jail Wakati Uchunguz Ukifanyika Kutambua Kwanza Haya Aloeleza Zidu Yana Ukweli!"
"sawa Mkuu!,"
"nimepata Picha Uenda Yule Mlinz Wa Getini Alinunuliwa Na Kiso Anausika Kwa Asilimia Flan Kwa Kuwa Yeye Ndiye Alotumwa Kuja Huku Gerezan Kupeleleza Kama Zidu Anahusika! Ivyo Hawa Waendelee Kukaa Ndani Mpaka Ntakapotoa Tamko Lingine"
Maaskari Wale Wakaitwa Zidu Na Isack Wakapelekwa katika selo zingine,hizi azikuwa za mateso,wakipewa chumba kimoja!
Isack Ilimbidi Amsamehe Zidu,baada Ya Kugundua Jitu Lile Kumbe Maskin Alina Kosa Lilikuwa Katika Shinikizo!
Wote Wawili Walikuwa Na Kisasi Kwa Mh Alex!
Tena Kisasi Kikali!
TANZANIA
Mh Alex Alikuwa Na Furaha Siku Hiyo Ni Baada Ya Kuona Taharifa Habari Kuwa Isack Kakamatwa Kwa Tuhuma Za Kumuua Mtoto Wa Waziri Tena Kwa Kumchoma Kisu!
"mwisho Wake Sasa Umefika Guantanamo Atotoka Tena Sijui Atanyongwa Kama Zidu Kabisa ha ha ha ha"
Alex Akazid Kuwaza Huku Akicheka!
*je Nini Kitaendelea Isack Na Zidu Waungana Je Watatoka?,mh Waziri atagundua ukwel katika uchunguz anaoenda kuufanya?
Hatimaye Isack Anaugundua Ukweli Kuwa Zidu Alikuwa Kazini Na Si Mwenye Chuki Na Yeye,anamjua adui Yake Ni Mh Alex,wanaungana Kuitaji Kulipiza Kisasi!
Upande Wa Pili Mh Alfonse Anaitaji Kupeleleza Kugundua Je Kile Alichoelezwa Na Zidu Kinaukwel?,kabla Ya Kuwacha Huru Twende Pamoja Kujua Nin Kiliendelea!
SEHEMU YA SITINI NA NNE!
Bado Moyoni Mwa Mh Alfonsor Kulitawala Mawazo,hasa Msababishaji Wa Kifo Cha Mwanaye Bi Alice,akarudisha Kumbukumbu Nyuma...
"baba yani kuna kijana nampenda anaroho nzur huyu ndo atakayekuja kuwa mume wangu ukija baba utamuona...
Alikumbuka Sifa Mwanaye Alizokuwa Akimpa Isack!
leo hii ushahidi wa mwanzo unamwangukia Isack Alijua Lazima Kuna Siri Nzito Ipo Hapo Katikati Hasa Alipokumbuka Maneno Ya Watu Wote Wawili!
Isack Na Zidu!...
Akuwa Na Shaka Mr Alex Atakuwa Ndo Muhusika Kuendelea Kumkomoa Isack Katu Akujua Muhusika Wa Yale Yote Ni Brayson Mtoto Wa Rais Wa Tanzania,
'kwa Kuwa Wote Ni Wa Tanzania Nitawatumia Hawa Hawa Kulipiza Kisasi Cha Mwanangu'
Akaendelea Kuwaza Akiwa Ndani Ya Ofisi Yake,
*****
St Lucy Collage
Spack Kijana Aliyekuwa Handsome Boy Aliyekuwa Rafiki Pekee Wa Isack Aliketi Mwenyewe Eneo La Uwanjani Akiwa Mwingi Wa Mawazo,hasa Kwa Kitendo Cha Rafiki yake kuhisiwa kwenye mauaji ya mtoto Alice,mtoto Wa Waziri,kwa Vyovyote Alijua Ni Vigumu Kwa Dogo Yule Kutoka Hasa Alipokumbuka Mateso Mtoto Yule Alopitia Na Kumuadithia!
Je Ni Nan Hasa Angeweza Kumtoa Katika Tanuri Lile La Mateso Hali Ya Kuwa Hata Wale Wale Walez Wake Mac Donald Nao Waliuwawa Tena Katika Mazingira Ya Kutatanisha!
Kwa Nin Asiwaze?,akakumbuka Uchezaji Mpira Wake Na Uhodari Alokuwa Nao Katika Kulisakata Kabumbu Ghafla Machozi Yakaanza Kumchuruzika!
"bado Ujalia Eti Lengo Lake Azime Nyota Ya Bray Matokeo Yake Kazimika Yeye"
Akashtushwa Na Sauti Ilomlazimu Ainue Kichwa Chake,mbele Yake
walisimama mabinti watatu,Mery,agnes na Suzan,
Spack Akaachia Kicheko Cha Kujilazimisha! Huku Akifuta Machozi!
"ehe Agnes Kuna Kitu Nataka Kuongea Na Wewe Kama Amtojal Mnaweza Kutupisha!"
Wale Wawili Mery Na Mwenzake Wakaondoka!
"haya Sasa Ndo Uniambie Haraka Icho Unachotaka Kusema!"
"hivi Nikwambie Mara Ngapi Egy Ujue Thaman Yako Iliyopo Moyon Mwangu Nakpenda Plz Nielew...
Egy Akaangalia Chini Kwa Aibu Na Kumpa Mwanya Spack Kuendelea Kumchombeza!
"basi Usijal Ntakujibu Wacha Mi Niende"
Egy Akaondoka,Spack akaachia tabasamu la dharau!
"lazima nijue hasa muusika wa kifo cha alice! na lazima nipate ushahidi wa kutosha!
Agnes Akiwa Na Furaha Akaelekea Bwaloni Kwao Lengo Akamuadithie Dada Yake Juu Ya Kutongozwa Na Sparck!
Alipofika Bwalon Alimkuta Tu Suzy Akamuuliza Alipo Dada Yake Suzy Akamwambia Amemuaga Anamfata Bray Ofisini Kwake!
Mapenz Ni Uchizi,egy Aliwehuka Basi Naye Mbio Akatoka Kuelekea Ilipo Ofisi Ya Bray! Akafika Akafungua Mlango Na Kuingia...
Wakati Huo Sasa Bray Alikuwa Akiongea Na Simu Pasina Kujua Kuna Mtu Nyuma Yake!
"ndo Ivyo Mi Niliona Kumkomoa Ni Kumuulia Tu Mpz Wake,nikamchoma Kisu,naye Alipoingia Tukamfuma Kilicho Mkuta Sasa Atopona Guantanamo...
Ghafla Akahisi Kuna Mtu Nyuma Yake,kugeuka macho kwa macho na Agnes Mdogo Wake Na Mpz Wake Mery!
Egy Alitoa Macho Ya Mshangao...
"Bray wewe ndo umemuua Alice...
Unajua Kila Mtu Mpaka Walimu Chuoni Pale Walijua Aliyemuua Alice Ni Isack Kutokana Na Wivu Wa Kimapenz Labda!
Yani Kwa Sababu Zisizojulikana!!...
"habar Hii Ibaki Siri Yako Hata Dada Yako Asijue Na Ikifuja Sitokuacha Hai!,narudia Habar Hii Nikiisikia Kwa Mtu Mwingine Sitokusamehe Aseee Utamfata Alice Haya Tokaaaa"
Egy Kwa Uoga Akaukimbilia Mlango Na Kutoka Zake!
Wasiwas Ukaanza Mvaa Bray,je Egy Angebaki Kimya Pasina Kutoa Siri Ile Ghafla Akaanza Kujilaumu Angemuulia Kulekule ofisini kwake lakin alipinga wazo hilo baada ya kukumbuka dk chache tu ametoka kuongea na Mery Akimwambia Kwamba Anakuja Humo Ofisini!
Ivyo Kwa Muda Ule Asingeweza Ua,ila Je Na Kama Ndo Mery Angemkuta Akiongea Utumbo Ule Mwisho Akajitupia Lawama Mwenyewe Kwa Kutokuwa Mwangalifu Wakat Akiwa Bado Katika Mawazo Mgando Ghafla Mlango Ukafunguliwa Akageuza Shingo Yake Kwa Woga Na Khofu Nyuma Yake Mery Alikuwa Akijongea Usoni Alipambwa Na Tabasamu Mikono Nyuma!...
Ni Kama Alificha Kitu! Ni Kitu Gani,akazidi Kupiga Hatua Kumsogelea Bray Alipomfikia Akanyoosha Mikono Mbele! Kumkabidhi Kitu Alichonacho Mpz Wake,ulikuwa ni mfuko wa rambo Bray Akaupokea Kwa Furaha...
Ndani Kulikuwa Na Suruali Mbili Za Jeas Na Tshart Zake!
Hakika Ilikuwa Ni Sapraiz Ya Aina Yake,sapraiz Ambayo Katu Bray Akuifikiria!
Chuoni Mule Akukuruhusiwa Watu Kutoka,ni Kivipi Mery Alipata Zile Nguo!
Hili Nalo Likabaki Jambo La Kushangaza Lililokamilisha Sapraiz Kwa Kijana Yule Mwenye Roho Ya Kikatili Kama Ba Mdogo Wake!
******
Ni Katika Habari Ya BBC news jioni ile ilitangaza na kuonesha picha ya watu wawili wakinyongwa ni watanzania waliyoko nchini marekani baada ya ushahidi kukamilika na kukutwa na hatia!
ni Zidu Katili Na Isack John mwanafunz wa st lucy,habar ile ambaye ilikuwa live ilionesha sura zao kabisa wao wakinyongwa baada ya kukata roho wakatolewa kwenye vitanzi miili yao ikaingizwa ndani ya mifuko ya nailoni tayar kwa maziko yasiyo na heshima yoyote!...
Dunia Ilisisimka Kwa Habari Ile,ilokuwa Ya Ghafla,
Nchin Tanzania Mh Alex Alfanya Tafrija Kwa Habari Ile!...
Chuoni St Lucy Pia Katika Darasa Moja Muda Ule Ule Kijana Bray Aliagiza Kret Za Soda Naye Kufanya Pati Kufurahia Hukumu Ile Ya Isack!
Habari Inayosomwa Na Shirika La Habari BBC kuuwawa kwa watanzania wawili ambao ni Zidu Katili Pamoja Na Isack Inaishangaza Dunia,hasa Kwa Kuwa Vifo Vyao Vinaoneshwa Live Tofaut Na Mauaji Mengine!
Jambo Hili Linapokewa Vizuri Na Watu Wawili Mashetani Na Ma adui WaKubwa WA Isack,mzee Alex na Bray Kila Mtu Kwa Upande Wake Anafanya Sherehe Kufurahia Je Ni Kwel Zidu Na Bray Wameuwawa?!
Tusonge Kujua Ukwel Ndan Ya Riwaya Hii
SEHEMU YA SITINI NA NNE
Ilikuwa ni ofisi yenye watu takribani sita! ndani ya ikulu ya rais John Kenny Rais Wa Marekani!
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment