Simulizi : Wauaji Walitumia, Chai, Miavuli Na Hata Sumu Kuwaangamiza Wapinzani
Sehemu Ya Kwanza (1)
Daraja la Waterloo mjini London ndio eneo lililotumika kumuangamiza
Hakuna jambo jipya kuhusu mauaji ya mtu maarufu.
Ni miongoni mwa njia zilizotumika kuwaondoa ulimwenguni watu waliokuwa na uwezo mwingi am watu hatari.
Lakini wauaji wengine walitumia njia za moja kwa moja kwa mfano Julius Caesar alidungwa kisu hadi kufa huku Abraham Lincoln akipigwa risasi.
Hivi sasa kuna uvumi kwamba kifo cha Kim Jong nam -ndugu wa kambo wa rais wa Korea kaskazini Kim Jong Un huenda pia aliuawa.
wapo hilo limethibitishwa kuwa kweli, basi uvumi umezuka kwamba wanawake wawili waliomuwekea kitambaa cha kujifutia chenye sumu katika mdomo wake alipokuwa akitembea katika uwanja wa ndege mauaji yake yanaorodhshwa miongoni mwa watu wachache waliouawa kupitia njia zisizo za kawaida
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment