Search This Blog

Thursday 23 March 2023

MTOTO WA KIGOGO - 1

  

IMEANDIKWA NA : EMMANUEL VENANCE

***********************************************

Simulizi : Mtoto Wa Kigogo

Sehemu Ya : Kwanza (1)


Mtunzi: Emmanuel Venance Hatari Kulwa Lugo.

Simu No. 0768753437.

Ndani ya The Kiss Kilub, maeneo ya Kirumba anaonekana Kijana mrefu na Mwembamba wa wastani alikuwa kavalia jeans ya rangi ya bahari na T-shart isiyo na mikono. (singland). Baada ya kuwapita walinzi mlangoni anasimama mbele yao na anaanza kuangaza kulia na kushoto anaonekana kuto kumuona aliyekuwa akimtizama. Kijana huyu alionekana kuwa na mvuto wa ajabu kwani alijependa saana uso wake mpana na mrefu, macho maangavu. Chini kavalia kiatu chake aina ya Timbaland chenye rangi ya udongo, nywele zake zikiwa zimepunguzwa pembezoni jilani na masikio kidogo sana na kuachwa juu zikiwa nyingi, nywele zilionekana zimechanwa vizuri na kupakwa mafuta ya kutosha ziling’aa na kuuongeza mvuto wa kijana huyu. Ninamuona anapiga hatua kuelekea sehemu inayouza vinywaji kama kawaida yake anafika na kuvuta kiti akaketi. “Ninaomba serengeti tafadhali” aliagiza kinywaji chake akipendacho na mhudumu akampatia, alipokea chupa yake wakati mhudumu akisafisha glass ili ampe tayari kijana alikuwa ameesha anza kunywa kwa mtindo maarufu wa kupiga talumbeta yaani kunywea ndani ya chupa. Mziki ulikuwa ukisikika kwa mbali kijana huyu hakuonekana kuujali ingawa watu wengi walikuwa wakicheza kwa stail tofati tofauti, aliendelea kunywa serengeti yake taratibu bila haraka. Huku akionekana kuwa bize akichati sijui alikuwa akiwasiliana na nani. Ndani ya dakika ishilini namuona anatoa noti ya shilingi elfu kumi analipa na kupokea salio lake lililo baki anaondoka. Anashuka ngazi kadhaa alikuwa nje tayari akizubaa asijue pakwenda maana alionekana kama kuna mtu anamtafuta lakini hakufanikiwa kumpata.


Kero za wasichana wanaojiuza eneo hilo zilizidi kumsakama, hili ni eneo maarufu sana kwa wasichana wengi, wadogo na warembo kujiuza usiku kucha, kijana alionekana kutokuwajali pamoja na kelele zao zilizotia aibu hata kuzisikiliza “kaka chukua hii tamu … kavu kabisa!!” kahaba mmoja alilopoka bila aibu huku mwingine naye akadakia kwakusema “kaka elfu kumi tu chukua hii chuchu saa sita, bamsi inalipa” kila mmoja aliongea yakwake huku wakitomasa maeneo fulani ya mwili wa kijana huyu ili kuamuamsha hisia zake awake tamaa ili angalau aondoke na mmoja kati yao kila mmoja alionekana kuipigania nafasi hiyo kwa udi na uvumba, eneo hili lilijaa wasichana warembo na wazuri kupita kiasi, wengine walisitahili kuwa wake za watu sijui tatizo ni nini. Kijana alisha wazoea maana ni zaidi ya siku mbili kila wiki lazima awe maeneo haya. Alipiga hatua akiwaacha na nguo zao za robo tatu uchi wengine maziwa yakiwa wazi ilikuvuta wateja huku kijana akiyafaidi kwa kushikishwa kiganja chake kwa lazima ili kuona ubora wa mabinti hawa wakiamini watamteka kiurahisi. Kijana aliendelea kupiga hatua mbele kidogo anakuta jamaa mmoja na msichana wako mtaroni wakivunja amri moja kati ya kumi tulizo agizwa kuzifata kilikuwa ni kitu cha kawaida eneo hili hivyo hakujali aliendelea na shughuli zake. Baadhi ya magari yaliyokuwa yameegeshwa eneo hili nayo yalikuwa yaki nesanesa nusu yakatike spiringi kutokana na shughuli nzito zilizokuwa zikiendelea ndani baadhi walikuwa wamelewa wanasahau hata kufunga madirisha ungepita karibu ni miguno tuu tena isiyo na kujizuia maana watu wameelemewa na raha ukijumlisha na kilevi waliongea mpaka lugha za kwao na wasijue kuwa walikuwa wakiwakera watu waliokuwa wakipita jilani. Lakini ndo uhalisia wa eneo hili hupaswi kushangaa. Nina muona kijana hajaridhishwa na hali ya nje na tayari alikuwa kamaliza kuongea na simu yake naona anaelekea upande wake wa kulia bila shaka atakuwa anaenda kuingia Villa Park klub.


Baada ya kuuacha mlango tu kijana alijichanganya haraka kuingia kwenye kundi kubwa la watu waliokuwa wakicheza kwa staili ya kufanana zilikuwa zikipigwa kwaito na kuifanya Villa Park kuzizima kwa shangwe, walikuwa ni watu wa makamu, vijana na wazee wa wastani wote walishiriki kucheza kwaito lile kwa staili ya kufanana. Zilibadilishwa ngoma kadhaa kijana huyu alikuwa bize akicheza kwa ufundi alionekena mwepesi miguuni na umbo lake kuwa na balansi ya kutosha alikuwa akimkosha kila mtu maana baada ya dakika kadhaa DJ Fish, alibadilisha miondoko kadhaa kijana huyu alionekana akiimudu miondoko yote kama vile boring, zuku, ragge na zingine nyingi. Huku baadhi ya waliomuiga wakipoteza uelekeo na kutoka ulingoni, akivuna kipato kwa kuwakosha watu wengi alivutia wengi kwa wasio mfahamu ila kwa walio mfahamu haikuwa taabu kwao walibaki kuwa watazamaji tu. Kuna binti alikuwa kasimama mbele ya kaunta akipata kinywaji chake aina ya Redd’s kinywaji rafiki kwa warembo wakati huo wote alikuwa akivutiwa na staili za huyu kijana , taratibu alijikuta akitoka kaunta na kinywaji chake mkononi akiwa kavaa gauni lake fupi halikutosha hata kuifunika nusu ya mapaja yake,kiatu kirefu kiliongeza mvuto wake maana alimudu kukitembelea utazani kazaliwa nacho, nywele yake ya asili ndefu nyeusi tii ili mfanya avutie zaidi,mbali na mapambo mengine kama heleni, mkufu saa na bangili mbalimbali alizokuwa kavaa ni binti mrefu mwembamba, mzuri wakuvutia alikuwa na mchanganyiko fulani wa kimuonekano nusu msomali nusu mnyarwanda alifika na kusimama mbele ya yule kijana. Watu waliduwaa wakajawa na shauku kutaka kuona nini kitatokea. Kijana alimpa kijanja kwa ujasiri yule binti binti alikubali kusogea taratibu walianza kulisakata rumba lililo wavutia mvutia kila mtu. Walizidi kufanana kadri muda ulivyo zidi kwenda staili zilibadilika mpaka mziki wa taratibu walicheza wamekumbatiana kilamtu aliwapongeza. Baada ya mziki ule kumalizika yule binti alimvuta kijana pembeni bila shaka alikuwa na mazungumzo nyeti.

“ninaitwa zainabu Mohamedi ni mwenyeji wa Dar-Es Salaam” binti alijitambulisha kwa mbwembwe.

“nashukru kukufahamu naitwa Tomas Joseph ni mwenye ji wa hapa hapa Mwanza” kijana naye arijibu.

“ooh Tom nice to meet you.” Binti alichombeza kwa Lugha ya kiingereza

“ahsante Zainabu” kijana alishukru.

‘no usiniite Zainabuu call me Zabi, hili ndilo jina maarufu popote uendako”

“hahaa haa hongera Zabi, jina zuli umeli buni vizuri sana” kijana alimsifia

“usijari Tom, sasa mimi nataka kuondoka chukua hii kadi ya mawasiliano yangu nipigie kabla ya kesho nitakutafuta sawa?”


Baadaya kubadilishana namba kijana aliona kama vile ni bahati ya mtende kuota jangwani, alimtizama mtoto akitokomea mlangoni kwa hatua zake ndefu alizotembea kwa madaha na kuishilia mlangoni, kijana bado hakuridhika alienda kuchungulia lakini alikuwa ameesha chelewa alikutana na muungurumo wa Alteza Subaru ikimuachia moshi huku asijue lakufanya. Mziki haukunoga tena kijana alikuwa ndani ya mawazo mazito alijivuta mpaka kaunta akaagiza kinywaji term hii aliagiza castal milk alikunywa ikaisha akaagiza tena, tena, tena na tena lakini hakuona kama anapunguza mawazo, lakini akiangalia bajeti yake mfukoni ilikuwa inaelekea kukata kabisa. Basi kama kawaida yake. Aliamua kuondoka kurudi zake nyumbani, aliaanza kuikatisha mitaa kwa miguu alitoka Villa Park akaja mpaka kirumba sokoni akiuchapa mguu, alikatisha na kujakuishika barabara ya uwanja wa ndege alisonga mbele kuelekea mjini mpaka maeneo ya kliniki ya zamani aliingiandani kidogo mpaka zilipo ofisi za kuleana alikata kulia njia ile mpaka kona ya u-turn supermarket, alijkata kulia tena akasonga kidogo kwenda kuishika barabara ya rufiji na kukatisha mpaka barabara ya uhuru, alizidi kusonga maana alikuwa mwenyeji fika mitaa hiyo na taabu zote hizi alijipa kutokana ka kukwepa vibaka wasimdhuru kwani ilikuwa yapata saa tisa usiku. Hatimaye akaibukia Nata darajani eneo hili siyo salama nyakati za usiku hivyo alijitahidi kupita kwa tahadhali mno akiogopa kutekwa na vibaka.


Mungu ni mwema hatimaye Tom alikuwa aking’ang’ana kukifungua kikufuli chake kibovu na mlango mbovu wa chumba chake alichokuwa kapanga maeneo ya Bugarika mbele kidogo ya Hospital ya Bugando. Eneo hili hukaa walala hoi watu wa kipato chachini, utakuta chumba kimoja wanalala vidume saba mpaka nane chumba chenyewe ni kidogo, madiridha hayatoshi hata kupisisha hewa ndiyo mitaa aliyokuwa akiishi Tom. Tom ungekutana naye alikuwa ni kijana mwenye muonekano mzuri saana hakika ungevutiwa naye lakini alikuwa akiishi maisha duni, Tom hakupenda watu wajue anaishi wapi, maana alitoka saa kumi na moja asubuhi na kurejea usiku wa manane ili watu wasijue anaishi kwa staili gani na wapi. Mara ya kwanza ninamuona nilijua ni mtoto wa bosi fulani maana hakosi funguo ya gari lakini ukimfatilia hana hata baisikeli utaona anatembea kwa muguu tu akibadili sana kapanda daladala ya mia tatu. Kiatu chake cha bei ghali, nguo zake za gharama kubwa wewe mwenye kipato cha chini kama mimi kamwe usinge thubutu hata kuuliza bei ya hizo nguo.


Kama ilivyo kawaida saa kumi na moja juu ya alama Tom alishaamka na ukumbbuke kalala saa tisa kuelekea kumi saa kumi na moja alikuwa anavalia nguo zake tayari kwa kuondoka. Lakini wakati anatoka mlangoni anakutana na Kesi ya baba mwenye nyumba akidai kodi. Jamaa anajitahidi kumlainisha kwa maneno mzee anamuelewa lakini alipopiga hatua mbili tatu mzee akakumbuka kitu akamuita .“we Thomas tafadhali rudi kidogo” Tom alirudi.

“umeme hujalipia huu mwezi wa tatu, maji ndo kabisaa sasa leo utaacha simu sawa kijana?” baba mwenye nyumba alikuwa ni mkorofi haijawahi tokea, asili yake ni wilaya ya Tarime mkoani Mara alikuwa kajazia huku mwili umejaa makovu utafikri alinusulika kwenye vita vya majimaji huko songea enzi hizo vita ilikuwa bado ya mapanga. Hakukuwa na ubishi tena Tom alitoa line yake na kumkabidhi baba mwenye nyumba simu yake kisha akatokomea zake gizani kabla majilani hawajamuona.


Ilikuwa ni juma tatu asubuhi Tom anaenda kwa rafiki yake James Gamba eneo la mlango mmoja kwenye soko la mitumba, hapa kazi ya Tom ni kupiga debe kisha analipwa ujila kulingana na uwezo wake wa kuongea kuvutia wateja na ushawishi wa kuongeza bei ili anagalau aambulie shilingi mia tatu au mia nne itakayo msaidia kujikimu. Kwa siku ya leo biashara inaonekana kuwa mbovu mno hali si nzuri wateja hawaonekani, ni shida tupu. Majira ya saa nane alasili Tom koo limemukauka kwa kupiga kelele za kuita wateja alisikika hivi.

“pata nguo safi, za watoto, akina mama, nepi,taulo,blezia, makabati kwa watoto na akina mama, viatu kwa bei nafuu kabisa. Karibu Gamba mitumba shopu jipatie kila aina ya nguo viatu vya kiume na kike, watoto, na wazee karibuni” sauti ilikuwa ikimtoka kama kakabwa kwani ilikwaruza kutokana na kupiga kelele toka asubuhi bila hata kupata walau maji ya kunywa. Wakati akiendelea na kupiga debe kuna ford ilipaki mbele yake ilikuwa imefunga vioo lakin iliposhusha vioo alikuwa ni Zabi kavalia miwani mieusi ya jua. Tom alichomoka na kwenda kujificha nyuma ya nguo zilizokuwa zimening’inizwa. Zabi alishuka na kwenda dukani alichukua maji na pia alibeba mfuko sikujua kulikuwa na nini akarudi ndania ya gari na kuwasha gari lake akaondoka. Tom alishusha pumzi kwa nguvu akarejea na kuendelea na shuguli yake ya kupiga debe. Pamoja na kujinyima kote bila chai, bila maji, bila chakula cha mchana jion analipwa elfu moja na miatano. Anazitia mfukoni na kuondoka zake akiwa na furaha.


Baada ya kukatisha mitaa kadhaa alikuwa mtaa wa pamba anakutana na mama Mwita mama muuza chakula maarufu maeneo ya soko kuu hapahapa jijini Mwanza. Tom anajaribu kumkwepa lakini ameesha chelewa alidakwa shati na kurudishwa.

“Tom nataka hera yangu baba, staki mchezo na hera yangu” mama aliloloma kwa lafudhi yake ya kikulya. Na kukifanya Kiswahili chake kionekane kibovu kulikokawaida ni matumizi ya R mwanzo mwisho. Tom alikuwa akidaiwa elfumbili na huyo mama yapata miezi miwili sasa lakini anamkwepa mama alimsachi tomu kwa bahati nzuri akatoka na elfu moja ile miatano hakuiona nazani aliingiza vibaya mkono mfukoni, mama akachukua huku akitoa matusi makubwa. Tom alikuwa mpole maana analijua kosa lake hivyo aliondoka taratibu na aibu zake kwa watu walio mshuhudia akikabwa na mama Mwita. Yapata saa moja usiku Tomu alibakiza shilingi miatano tu mfukoni, alikuwa hajala toka asubuhi, alikuwa kaketi sehemu akijaribu kutafakali niliona ananyanyuka bila shaka kapata ufumbuzi wa tatzo lake. Anakwenda kwa mangi anajaribu kukopa lakini inashindikana mangi akakataa maana anamfahamu ni mgumu kulipa haijawahi kutokea. Alifikilia saa mwisho wa siku nilimuona anatoka na mfuko una sikonzi mbili na maji ya mia nilipopiga hesabu ilibalansi kila sikonzi shilingi miambili na maji shilingi miamoja jumla miatano. Tom hakuwa na fedha tena. Aliondoka kwa uficho akaenda kukaa mbali akaanza kula watu wasijue anafanya nini. Dakika tano nyingi alikuwa kamaliza akijaribu kucheua kinafiki ninaamini hakushiba hivyo hata huko kucheua kwenyewe hakukuwa na lolote maana tumbo lilikuwa bado linadai na kumlaumu kwa kutolitimizia mahitaji.


Ni maisha yaliyokuwa yanasikitisha, maisha ya kukwepa uhalisia yalikuwa yakimtesa saana Tom kiasi kwamba ikafika wakati anaaibika sababu ya kutaka kujikweza. Tom anaonekana akilanda landa mitaani akijaribu kukatisha huku na huku akingoja saa zake zifike za kwenda kulala alipo panga. Pamoja na muda kumkomoa maana ulikuwa hausogei alibadili mitaa, mikao kwenye vijiwe vya kahawa na hatimaye saa yake ilisoma saa sita na nusu, “angalau” alijisemea polepole huku akinyanyuka na kuondoka. Ni mwendo wa nusu saa kutoka mitaa ya sahara mpaka Bugalika alikokuwa kapanga Tom alipokaribia alikuta watu bado wako nje alivuumilia tena kama saa moja hivi walikuwa wamelala aliingia na kufunga mlango wake wa bati akapokelewa na kijitanda chake cha chuma kisicho na godoro wala mkeka zaidi aliweka maboksi na matambala. Alijilaza na kupoklewa na kunguni ambao walikuwa wamemmisi kwa muda mrefu wakashughulika naye kama ilivyo kawaida yao.


************************************************

Zabi anajaribu kumtafuta Tom kila mahali hakufanikiwa kumpata ni sikumbili zimepita bila simu wala ujumbe wa maandishi kutoka kwa Tom. Zabi anaingia klabu karibu kila klabu hapa jijini Mwaza, siku hiyo baada ya kumaliza The kiss na Villa alikuja klub Vussion iliyopo Mwanza Hotel, kilimajaro Klub iliyopo Buzurusha, Marsh klub iliyobo Nyakato na zingine nyingi Zabi hakufanikiwa kumpata Tom. Alijitahidi kuulizia kwa kutoa angalau aidia ya muonekano watu walimfahamu saana Tom alikuwa mtu maarufu kuliko alivyo zani Zabi hasa kwenye hizo Klub lakini ugumu ulikuja alipo hitaji kupajua anapoishi. Kila mtu alikuwa hapajui zaidi ya kumchanganya tu mara Kapri-point, sijui Isamilo, mara Nyegezi, wengine Pasians hakukuwa na ukweli wowote Zabi aliamua kuondoka zake bila mafanikio.


Kesho yake kulikucha na harakati za kumsaka Tom maeneo yote aliyokuwa akielekezwa, alianzia Pasians huwezi amini alipofika huko nako walimuelekeza maeneo mengine kama kiloleli, Bwiru, Kitangili, Nyansaka na kumfanya abaki njia panda ni yupi alisema ukweli kati ya hawa watu waliokuwa wakimuelekeza zabi. Alijitahidi kuzunguka bila kuchoka lakini hatimaye iligonga saa mbili usiku pasipo mafanikio aliamua kuondoka akurudi bila mafanikio tena, kwa siku ya pili mfululizo Zab alikuwa akijilaum saana kwanini alimuacha siku ile alikuwa akijilaumu mpaka anabamiza stalingi ya gari kwa nguvu wakati akiendesha mara kadhaa alirudia kuipiga namba ya Tom lakini alikutana na ujumbe wa mtandao.


Usiku ulikuwa ukizidi kushika kasi ni majira ya saa sita usiku mitaa ya Mohamed jilani na stendi kuu ya zamani, Zabi akiwa ndani ya gari anapishana na vijana wawili wanatembea kwa muguu, alilisonga mbele na kugeuza gari maana mmoja kati ya vijana hao alihisi ni Tom. Baada ya kugeuza na kurudikwa kasi aliona gari la polisi mbele yake lililo sababisha wale vijana kugawana njia na kutokomea kusikojulikana. Polisi walikuwa lindo la usiku kama kawaida yao baada ya saa sita hatakiwi mtu kulanda mjini wakikukamata ujue Buntimba inakuhusu. Zabi allijilaum mana anaona kila akijaribu kumnasa Tom inashindikana. Hakukata tamaa siku hiyo alijiandaa kikamilifu kuhakikisha kwa vyovyote vile lazima amnase Tom. Alirudi na kuliegesa gari lake kwenye kituo cha mabasi cha zamani akamkabidhi mlizi noti ya shilingi elfu kumi akavua viatu vyake vilefu na kuvaa laba alianza kumsaka kwa miguu maeneo ya sahala juu ndo uelekeo walio kimbilia. Kwa takribani nusu saa mremo huyu alikuwa akimsaka Tom gizani bila hofu ya kubakwa, kukabwa wala kuibiwa zabi alijikuta akiibukia kwenye makaburi akaamua kurudi. Jamani upendo ni upofu, hakukuwa na mafanikio yoyote yale aliyoyapata zaidi ya kuzunguka akapigwa vumbi na baribi usiku huo wa saa nane kasoro, Zabi aliamua kurudi akiwa kichwa chini. Hakufanikiwa kumpata Tom ilimbidi kuwa mpole akarudi na kuchukua gari lake na kutokomea.


********************************************************


Saa kumi alfajri Tom alikuwa ameesha amka ndani ya chumba chake hali hii ilichangiwa na kuwepo kwa rafiki yake Mose ambaye walikuwa pamoja wakati wakilikimbia gari la polisi mitaa ya Mohamed barabara ya miti mirefu. Katika maongezi yao Tom akaingiza hadithi ya Zabi. Jinsi walivyo kutana na kucheza mziki pamoja kisha akamuachia kadi ya mawasiliano huku Tom akimlaumubaba mwenye nyumba kwa kuichukua simu yake. Tom aliitoa kadi ile kwenye mifuko ya suruali yake na kumkabidhi Mose. Mose alichukua simu yake na kuingiza zile namba simu iliita.

“hallo!” upande wa pili ulisikika .. Mose akampa simu Tom. Hata hivyo kengele ya kuishiwa salio imeesha gonga simu ilikata. Tom alikilaani kitendo kile na kujuta kwanini Mose hakuweka salio la kutosha kwenye simu. Wakati wakilaumiana kitoto ghafula simu iliita haraka haraka Tom alipokea simu hiyo.

“hallo!” sauti iliita tena

“hallo Zainabu… ohn! nani Zabi ni mimi Tom” kigugumzi cha kuongea na binti mrembo kilimuingia Tom.

“ahsante Tom nakutafuta saana rafikia yangu huwezi amini juzi, jana na leo nimezunguka saana sijakupata Tom nahitaji tuonane.” Ni sauti ya Zabi ilikuwa ikisikika kwenye sipika mbovumbovu ya simu ya kichina ya Mose ambayo usinge weza kumsikia mtu anaekupigia au wewe kumpigia mpaka uweke loud speaker.

“Tom hii ni simu yako?” Zabi aliuliza

“Hapana niya rafiki yangu anaitwa Mose, alijibu na kisha akaongeza uongo wa hali ya juu “simu yangu niliibiwa siku ile umeniacha klub” aliamua kutunga uongo maana ni sehemu ya maisha yake.

“Oooh pole ndiyo maana hupatikani, sasa ninaomba kabla Mose hajaondoka naomba tukutane na umuombe nitumie simu hii hii maana bila simu itakuwa ngumu kukutana.”

“sawa Zabi … nina kupata vyema nitafanya hivyo.” Ni sauti ya Tom wakati akifatilia kwa makini maelekezo aliyokuwa akipewa na Zabi.

Baada ya Zabi kukata simu Mose na Tom wanaonekana wenye furaha walipongezana kwa kicheko huku wakigonganisha viganja vyao vya mikono kama ishara ya kupongezana.


Ni saa mbili asubuhi Tom na Mose wako mitaa ya sahara jilani na jengo la Makufuli wamesimama barabarani wakiyachunguza magari kila gari lililopita kwa makini. Lakini wakiwa wanazubaa simu ya Mose iliita Tom alipokea “Hallo” sikujua alichoambiwa ila aligeuka kushoto na kulia akavuka barabara huku Mose akimfuata asijue wanaenda wapi. Baadae anashusha simu Mose anauliza “vipi kasemaje ?” aliuliza kwa shauku ya kutaka kujua “yupo Mid-Land Hotel” Tom alijibu huku akiongeza kasi. Walifika mapokezi wakati wakizubaa kuna mhudumu mmoja mrembo alikuja na kuwapokea. Aliwapeleka mpaka chumba namba 108 kilikuwa gorofa ya 5 mhudum aligonga na Zab alifungua. Uso kwa uso kati ya Zabi na Tom, uhalisia wa uzuri wa Zabi sasa unajidhihilisha mbele ya Tom, Tom anapatwa kigugumizi na kubaki midomo wazi, mose alikuwa akitamani hata kujificha, yule dada hakuwa hadhi yao. Tabasamu liliachiwa kutoka upande wa Zabi hakika hata mbingu, dunia na viumbe vyote vilikili kuwa Zabi ni mrembo. Sina mfano mzuri pengeni malaika husemwa ni wazuri lakini siwezi kukili maana sijakutana nao. Tom alikuwa hana jeuri tena hakika sizani kama huyo ndiye msichana aliyekuwa akimuwazia katika hesabu zake. Anakumbuka alicheza nae mziki ila si kwa muonekano huu. Zab, alikuwa nauso mrefu, kidevu kilichochongoka kidogo, macho makubwa yaliyoruhusu kurembua atakavyo. Kigua chake kilifunga mzigo wa wasitani uliochongoka na kuchomoza mithili ya chane za ndizi. Midomo ya denda iliyopakwa lips stiki ya mafuta na kufanya inone. Sitaki kuizungumzia nguo aliyo vaa sikuhiyo maana ilikuwa nyepesi ikiruhusu kila kitu kionekane huku ndani kukionekana kabati na mikato yake, blezia na mikato yake kiukweni sina neno zuri lakusema ila Zabi alikuwa mrembo.

“Oooh! Tom nice to meet you again” alisema Zabi huku akimkumbatia Tom. Kisha alisalimiana na Mos ekwa furaha aliwakaribisha ndani. Vijana walionekana washamba kwa kila kitu maana macho yao yalikitamani kila kilichoonekana mbele yao, si mapazia , si runinga, wala meza iliyokuwepe sebuleni pale alipokuwa kaketi Zabi.


“Mose nina mazungumzo na Tom tafadhali unaweza kutupisha” Zabi aliongea hayo huku akifungua mkoba wake akampa noti kazaa za shilingi elfu tanotano sikumbuki ilikuwa ni kiasi gapi ilaa kwa kukadilia zilifika noti ishirini maana kalikuwa ka mzigo kakubwa. Mose hakuwa na jeuri ya kubisha maana dawa ya fisi mpe mfupa, dawa ya mbwa mkali mpe nyama choma na dawa ya masikini ni fedha. Mose alishuka ngazi bila kuhesabu sijui ilikuwaje huko mbele baada ya kuipata hesabu kamili ya fedha hizo.Tom na Zabi sasa walikuwa ndani ya chumba wakiangaliana Zabi alikuwa akijaribu kuyaweka sawa mapozi yake ya mitego akilegeza jicho na kubinua binua gauni gauni kabla hajasema chochote kwa Tom.




Ndani ya chumba hiki kilichobaki na watu wawili kilionesha kutawaliwa na hisia za kimapenzi Zabi anaonekana kuwa karibu sana na Tom. Zab ananyanyuka alikokuwa na kumsogelea Tom taratibu anafika nyuma ya kochi alilokuwepo Tom huku macho yamemlegea kama kinyonga aliyelishwa kungu anafika na kusimama nyuma ya kochi lile huku mikono yakee ikitua kwenye shingo ya Tom. Mipapaso ya kimahaba ilizidi kulindima na kuumaliza kabisa mwili wa Tom. Tom alipumua kwa taabu saana. Mara Zabi anazunguka nakuja kuketi juu ya miguu ya Tom huku asijue namna ya kuiweka sawa nguo aliyokuwa kava. Namaanisha gauni lile jepesi lilikaa vibaya nayeye akaketi juu ya miguu huku kufuli lake ndilo lililo gusana na suruali ya Tom. Hali kuwa jogoo tu kihisia lililo wika kwa uchungu naweza kusema ni lijogoo liliwika kwa hasra na wakazidi kulitia hasira. Ukijumlisha na ugumu wa maisha na kukosa mahusiano nikama walichochea mtungi wa gesi kwenye nyumba iliyokuwa ikiteketea. Wakakati huu walipokeana na miguno ilikuwa ikishika kasi kila mtu alinung’unika ajuavyo. Hawa kuwa tena kwenye huu ulimwengu. Taratibu walianza kuzichomoa nguo zao huku Tom akijawa na nguvu mithili ya simba na alihuwa haraka Zaid kwenye zoezi la kuzitoa nguo za Zabi, hakujua anazitupa wapi huku akiwa kalemewa na utamu wa ndimi zilizokuwa zikishindana kutomasana ndani ya vinywa vyao hakuna aliyetamani kumuachia mwenzie nafasi ndo uhalisia ulivyokuwa. Penzi lilikuwa tamu mara mia ya asali. Walipinduana huku na kule hatimaye Tom alimunyanyua taratibu Zabi na kumpeleka kitandani, kilikuwa ni kitanda kikubwa mi nakiiita uwanja wa taifa, kilitandikwa vizuri kwa masuka ya pinki mablankenti mawili ya rangi ya dhahabu mchanganyiko na nyeupe.


Walikuwa kitandani nikama wamepewa uhuru kila mmmoja alicheza na mwili wa mwenzake kuzitafuta hisia popote ajuapo. Kila mmoja alikuwa huru na kamuamini mwenzake. Shughuli ilikuwa nzito Zabi alikuwa karegea baada ya kukutana na fundi wa mtaani wa haya mambo. Pengine mwili wake ulisulubishwa kuliko matarajio, ninaamini kwa kazi iliyopigwa na Tom lazima Zabi alikuwa ameesha safari na kufika aendako kwa safari kadhaa na hazikuwa fupi nindefu. Ulimi wa Tom ulicheza popote ulikuwa hauzuiliki taratibu ukianzia kwanye paji la uso unashuka unapita ndani ya masikio ya zabi na kuamsha kelele unahama sikio la mkono wa kushoto na sasa ni zamu ya sikio la mkono wa kulia, taratibu Tom anashuka na kuja kutua kifuani anafanya yake sehemu Fulani hivi za kifua cha Zabi upande wa kushoto nakulia, miguno, kelele, shangwee la mahaba lilipigwa. Zabi alikuwa hajiwezi mbwembwe za ufundi alizoonesha mwanzo sasa zilififia na kutoweka kabisa alibaki kuwa mtizamaji akiisubili hukumu lakini hakimu hakumjali alikuwa kama vile kasafairi kikazi. Tom alikuwa kama kapandishwa mori wa kimasai sasa aliusulubu na kuusulubu mwili wa Zabi huwezi amini Zabi alikuwa akilia kama mtoto anahitaji huduma wakati huo ulimi wa Tom ulikuwa umefika sehemu hatari zaidi na umekaa huko kwa zaidi ya dakika kumi ni mwendo wa kujigeuza kurudha mateke kuinuka kwa furaha na kuangua kicheko. Ni mayowe ya hisia huku Zabi akitamka maneno magumu hata kuyarudia akiomba akuhudumiwa lakini Tomu alikuwa kaweka pamba masikioni. Hakumjali aliendelea na shughuli yake. Zabi aliona kama hatendewi hali alitisha mkono wake na kutaka ajihudumie lakini Tom alipoguswa tu alikuwa mjanja alikwepa na kumuacha akizidi kuwaka tamaa. Zabi alijuta kumjua Tom, kihelehele kilimponza alilia saana lakini hakupata msaada wa aina yoyote ile.

Hatimaye muda wa kutoa huduma ulikuwa umewadia Tom alinyanyuka na kusimama kando huku akionekana misuli imemusimama ungeambiwa kumchora kwa wakati huo lazima angekuwa na tofauti ya kimuonekano maana staki kusema saana kimaumbile alikuwaje ila hali ilimvutia Zabi huku akimeza mate kwa hamu. Kijana alionekana kujiamini sana na kwa uzoefu ilionesha hii haikuwa kazi yake ya kwanza.

“Zabi mipira iko wapi ? Tom alihoji bila kigugumizi

“Aaah Tom jamani please sijachukua, usijari just come” zabi alikuwa na hali mbaaya mno hakujua alichokizungumza zaidi ya kuhitajipenzi.

“nionyeshe mipira nije bila mipira siwezi, nimekujua leo hatujapima, hunijui mimi hapo kabla nimefanya yapi so unapaswa kuwa makini nipe mipira tuendelee la sivyo naondoka” Zabi alijitahidi kumbembeleza Tom lakini Tom msimamo wake ulikuwa palepale.

“Zabi alijaribu kupiga simu ili angalau mhudumu amuwahishie lakini simu haikupokelewa nadhani wahudumu wengi walikuwa wakiendelea na usafi.

“Zabi ahsante mi naondoka!” Tom aliaga kama anatania na kweli akaanza kuvaa nguo moja baada ya nyingine mpaka zote zikakamilika huku zabi akimshuhudia kwa macho yake mawili, akijitahidi kumshawishi pasipo mafanikio. Zabi alikuwa akilia tu na kujuta kuzaliwa.

“jamani Tom subili nivae nikanunue au wewe umeesha vaa tafadhari kanunue basi babaangu” zabi alikuwa akitetemeka, kalegea kwa hisia machozi yalikuwa yakitoka tu bila sababu.

“hapana hata hivyo nimeesha ahilisha kwaheli baadae” Tom aliondoka ndani kama anatania na ndiyo ilikuwa safari.


Zabi aliumizwa saana na kitendo alichofanyiwa na Tom lakini hakuwa na jinsi ndo alisha mpenda tena. Hakuchukua muda Zabi harakaharaka anavalia suruali yake ya bluu mpauko na T-shet nyeusi anashuka ngazi na kuamua kumfatilia Tom kwa nyuma. Anashuka na kuangaza huku na kule pale nje Mid-land Hotel akijaribu kubashili njia aliyopita Tom anakatisha barabara ya vumbi iliyokusanya machinga wakutosha wanouza viatu mabengi na vitu vingine, kuelekea juu standi ya magari ya kwenda nyegezi, buhongwa anapandisha na kibarabra cha mvumbi tena kilichokuwa ni eneo la Sahara, msako ni mtaa kwa mtaa Tom hakuonekana. Mizunguko kibao bila mafanikio baadae Zabi anakata tama na kuamua kurudi alikuwa akitokea mitaa ya libert akakatisha barabara na kuifata barabara ya Pamba. Maeneo ya sahara ni mzozo wa jamaa mmoja mwenye lori la mizigo vijana walijaa hapo wakipiga kelele Zabi alivutiwa na ule mzozo akaamua kusogea. Alipokaribia alimkuta Tom akidai shilingi elfu tatu ni ujila aliotakiwa kulipwa baada ya kumuelekeza jamaa sehemu ya kupaki, mzozo uliletwa na jamaa kuwa jeuri alitaka amlipe Tom shilingi elfu mbili tom hakukubaliana na hatua hiyo ndipo akaamsha mzozo. Zabi aliumia saana, hakujua Tom anaishi maisha gani. Mzozo ulizidi kuwa mkubwa watu wakajaa Tom alikuwa kamkunja shati yule jamaa asikimbie huku jamaa kwa nguvu hafifu akijaribu kujinasua mikononi mwa Tom. Zabi alichukizwa na kile kitendo hakujua alifikaje ila nakumbuka alikuwa mbele ya Tom na akamwamuru amuachie mara moja yule jamaa. Penzi ni kitu kingine Tom alimwachia yule jamaa huku Zabi akimpa kiganja cha mkono Tom, Tom naye akakipokea wakashikana mkono na waliongozana huku watu wakiwapisha kwa mshangao wakishindwa kuelewa yule dada ni nani na kwanini kamzuia Tom kudai haki yake.


Siku ilikatika ndani ya Tilapia Hoteli iliyopo Kapri-Point, maeneo ambayo Tom hakuwahi kuyaota, walipata kifungua kinywa kule, wakala chakula cha mchana kule, mazungumzo ya Zabi yalikuwa dhidi ya kitendo alichofanyiwa na Tom alilaumu saana tena saana akasema ni kitendo cha kinyama. Wakati huu Tom alikuwa kimya kama vile hasikii kinacho zungumzwa na Zabi lakini Zabi alizidi kunung’unika na kunung’unika, Tomu alikuwa kajiachia kwenye kiti chake cha mbao kilicho mruhusu kulala. Huku Zabi akiwa kaketi kihasarahasara kwenye mchanga msafi huku wakizitizama boti zilizokuwa zikipita jilani yao upande wa maji. Zabi alizidi kulaumu.

“Tom wewe ni mbaya, unaroho mbaya huwezi kumfanyia hivyo mwanamke kisha ukamuacha na hisia kali kiasi kile, umeniudhi mno Tom sikutegemea kama unaweza kunifanyia unyama mkubwa kiasi hiki? Zabi alikuwa akilaumu ilionesha wazi hakutendewa haki na Tom, hakuna haki aliyo ipata na ndiyo maana anadai haki kwa nguvu.

“Zabi inatosha … “ Tom alimkatisha kwa amri.

“No bwana siyo fear Tom hujafanya vizuri huwezi nizuia nisikwambie, kwasababu wewe ni nani? Au kwakuwa umejua nakupenda saana siyo?. Lazima niseme ukweli kama hujutenda haki hujatenda tu.”

“mimi na wewe nani hajatenda haki ?. Zabi kumbuka hatujaingia kwenye mahusiano.. unajua sijakuuliza wala kuniuliza juu ya swala hilo, hivi unajua kuwa hatujatongozana ?, nitamuamini vipi Mwanamke anaejipendekeza kwangu tena kwa kukutana klabu tu tena kwa siku moja bila maongezi, bila kutongazana, bila mawasiliano tukutane na kushiriki tendo la ndoa tena bila hata kinga. Zabi tumia akri hili siyo swala jepesi kiasi hicho, shida yako ni kuona nakufa kwa Ukimwi ningali mdogo, au ni kuona natibu magonjwa ya zinaa kwasababu yako. Pengine ni kukuona Ukiugua ukimwi kwa sababu yangu, au Utibu magonjwa ya zinaa kwaajili yangu, mimba isiyo na baba unaihitaji siyo?. Hujui historia ya maisha yangu hata siku moja hatuja kaa tukaongea, Zabi sijui historia yako hata siku moja sijakaa na wewe tukaongea. Fikria mara mbilimbili then unipe jibu kama nimekosea ila kama sijakosea chunguza tabia yako. Leo umekuja hivi kwangu sijui huko nyuma umekutana na wangapi kwa staili hii hii uliyokutana na mimi hapa Mwanza”. Maneno kuntu, busara maonyo na ushari unatua vyema kwenye sikio la Zabi. Zabi anajiona mpumbavu na kuangua kilio, hakujua kama alikosea bali alipelekeshwa na tamaa za mwili na sasa anagundua na kuomba ladhi.

“Tom nisameee, nisamee najua nimekosea hivyo ninakuomba usinichukulie mi Malaya, usinichukulie ninajiuza, usinichukulie kama wanawake wasio jiheshimu. Najua utanijua vizuri tukiwa pamoja Tom nikweli ulinipagawisha mapema nikajisahau hata kufata taratibu na mila zetu za kiafrika ila kisiwe kigezo cha kunihukumu. Najua hukumu uliyonipa asubuhi ni funzo tosha katika maisha yangu. Nakupenda nipe nafasi Tom.” Zabi aliongea kwa uchungu mno Tom hakujibu lolote ila Zabi alionekana kuumizwa saana na maneno ya Tom hivyo alizidi kumuomba msamaha akaenda kumkumbati, wakakumbatiana taratibu. Na kujikuta wote wakilia machozi ya furaha, nilihisi upendo umezaliwa kati yao maana mazungumzo, yalibadilika tofauti na awali walikuwa wameketi jilani tofauti na mwanzo namuona Tom akimpiga picha Zabi kupitia simu ya Zabi ya mkononi wana furahi na kukumbaltiana selfie ya pamoja pia ulikuwa ndo mpango mzima Zabi na kamera yake ya simu akinyanyua mkono huku kamkumbatia Tom alipiga picha kadhaa. Vinywaji vilibadilishwa kila aina gharama yote alisimamia Zabi.


Majira ya saa tatu usiku Tom anakataa kulala Hotelini Zabi alimkubalia na sasa Zabi alisema atampeleka nyumbani. Tom alikataa maana alijua kuna uwezekano mkubwa wa kuuumbuka. Pamoja na Tom kukataa bado Zabi alilazimisha basi Zabi hakujua Tom anaishi wapi Zabi aliwasha gari lake aina ya alteza muungurumo mkubwa uliowakela wengi ulisikika haikuwa mbovu ila ni muundo wake. Safari inaelekea maeneo ya Bugando hospital Tom alikuwa akimuongoza Zabi mpaka kwenye eneo la maegesho ya magari kwenye Hospital ya Bugando. Tom alishuka na kumuaga Zabi, Zabi alibaki njia panda kwanini Tom anafanya hivi maana baada ya kufika eneo hilo Tom hakutaka mazungumzo alionekana kukunja ndita akashuka na kuondoka. Basi Zabi alikubaliana na hali lakini akiwa na moja kichwani alisubiri kidogo baada ya Tom kuondoka, alianza kumfata kwa nyuma. Taratibu ulikuwa ni mwendo wa kama dakika tano hivi Tom alikuwa aking’ang’ana na kufuli lake kama kawaida hatimaye anaufungua mlango wake mbovu uliotengenezwa kwa bati na kuingia ndani. Anavua viatu vyake na kuinama uvunguni kutoa ndoo yake ya maji yakuoga lakini wakati anatoka kwenda bafuni kama ujuavyo uswahilini bafu nila nje akaoge mlangoni anapishana na Zabi.

“aaah! Eeeh! Zabi karibu” pozi lilikata kigugumizi kingi.

“nisha karibia usijali Tom wangu” zabi alisema huku akipita ndani bila kukaribishwa wala kujari hadhi ya nyumba aliingia na kuketi kitandani.

“aah!.. nilitaka kuoga .. eeh kuoga zabi” sikuwa namuelewa Tom maana alikuwa kapoteza uelekeo wa kufikri maana ameumbuka hakutaka mtu ayajue maisha yake alikuwa na kigugumizi hakuweza hata kuongea na alipoongea hakujua anaongea nini. Kichwani mwa Tom aliwaza kutoroka tu hakuwa na kingine, lakini kabla hajafanya maamzi aliwaza hilo linaweza kuwa suluhisho la matatizo yake jibu lilikuwa hapana akaamua kubaki. Baada ya kuona siyo suluhu aliamua kuwa mpole akaenda zake kuoga na baadae akarudi chumbani kwake alimkuta Zabi Alisha jilalia kitambo kwenye kitanda kisicho na godolo bali mabox na matambala ambacho kilitandikwa shuka mbovumbovu.


Joto kali lililosababishwa na nyumba kukosa madirisha yakutosha hali iliyoleta harufu ya uvundo ndani lakini. Halikuwa tatizo kwa zabi pamoja na kupiga chafya mala kadhaa kabla hajaizoea hali yam le ndani, aliendelea kuvumila pamoja na kupata taabu mwanzoni. Baada ya Tom kurudi Zabi anaaamka kitandani anasuimama na kuanza kuchojoa viwalo vyake taratibu kuanzia suruali zika fata zingine na zingine mpaka nguo ya misho alikuwa ndogo kuliko zote na akabaki kama alivyozaliwa. Tom alikuwa kasimama akimkodolea macho huku hali ya mwili wake ikibadilika taratibu kutoka baridi na kuwa moto huku mate yakianza kumtoka



Taratibu Zabi ananyanyuka na kwenda kusimama mbele ya Tom kiukweli ungewaona kila mtu macho yalikuwa mekundu, huku upole ukizidi kuliko kawaida Zabi anasogea na kuipitisha mikono yake shingoni kwa Tom huku akimkodolea kwa makini usoni, Tom aliachia tabasamu bila shaka alikuwa karuhusu tendo Fulani litokee. Taratibu bapa za kingo za midomo yao zilianza kusogeleana na hatimaye kugusana ni mabusu ya nguvu juu ya midomo na mashavuni taratibu wanaanza kupoteza uelekeo. Vinywa vilikuwa wazi kuruhusu ndimi kufanya kazi yake hakika ilipendeza iilikuwa ni miguno ya kimahaba, amabayo ilitia hamasa ya kuisikiliza hakika mapenzi ni upofu. Hisia za miili yao zilitawala na kukata mawasiliano ya ubongo naamini uwezo waowa kufikri ulikuwa umepungua na unyama wa binadamu hapo ndipo ulipojidhihilisha. Zabi alianza kuzitoa nguo za Tom akianzia shati, kaptula alilokuwa kava wakati wa kwenda kuoga na hatimaye anaitoa nguo yamwisho ambayo pia ilimpa shida kidogo kuitoa kutokana na buguza za mzee wa kazi kwani alikuwa katika hali fulani tete na ngumu zaidi kwani alikuwa kasimama wima kwa hasira.


Kazi ya mikono pasipo maneno ndimi zilicheza sehemu tofauti ya miili ya kila mmoja akionesha ufundi na kutumia udhaifu wa mwenziye kujichukulia ujiko. Kitanda kilikuwaa kidogo hakikutoa nafasi ya kujibilingisaha watakavyo, hakikuwa na godoro lakini mapenzi ni popote ilimradi mmeamua kuyapa nafasi mtayafurahia. Taratibu Tom na Zabi wanazidi kuiacha dunia na kuhamia katika ulimwengu mwingine kabisa, ulimwengu wa mahaba, ulimwengu wa kutukuza hisia, ulimwengu wa kujiachia, ulimwengu wa furaha, asikwambie mtu ni mwendo wa kutomasana na kupeana ufundi adimu. Ndani ya dakika ishilini sijui Zabi aliwaza nini ila ninaamini alikuwa hajiwezi hata kuunyanyua mkono wake si mkono tu hakuweza hata kukitikisa kidole chake na shida yake ilikuwa imebaki moja tu nayo nikutimiziwa hitaji lake la msingi. Taratibu Tom ana ushika mkoba wa Zabi baada ya kuoneshwa kwa isara anaufungua na kukutana na box lililoandikwa salama >> . Tom analifungua taratibu na kuchukua moja na kuifungua tayari kwa kuivaa na taratibu anarudi kwa Zabi kukamilisha hitaji lao mhimu. Usiku huo ulikuwa tofauti kwa hawa watu wawili ulikuwa ni mwendo wa bandika bandua, kwani waliendana ni kubadili mikao tu hakukuwa na nafasi ya usingizi, hakuna aliye mchoka mwenzake pamoja na kuwa katika kitanda kibovu, ilifika wakati kitanda kikawashinda maana kililalamika mno mpaka wakahisi kero na walihisi wangesababisha majilani waamke maana nyumba yenyewe ilikuwa haina hata siling-bordy hivyo waliamua kuyatoa yale mabox na matambala na kutatandika chini shughuli iliendelea kwa utulivu mno kila mtu akafurahia kuilamba asali ya mwenzake aliyo iota kwa siku kadhaa, hakuna aliyejutia kumjua mwenzake kwani walipeana vitu vitamu vilivyo mkosha kila mmoja.


Asubuhi kunakucha ni majira ya saa mbili asubuhi Tom na Zabi wanaonekana wamekumbatiana wakiwa wamelala usingizi wa pono kwa usingizi ule njia pekee ya kuwaamsha ulikuwa ni mjeledi wa kiyahudi. Naangaza macho yangu ninaona mipira imetapakaa kila kona, kwa hesabu ya haraka haraka ninapata idadi ya mipira tisa ukijumlisha na makasha yake duh! ulitosha mzigo wa kukijaza kiroba cha rambo. Sura ya Zabi inaonekana kujawa na furaha pamoja na kuwa usingizini kwa muda mrefu uso ulikuwa umetakata na kuonekana una mvuto machoni kwangu, uso ulidhihirisha upole wa nafsi na moyo wake. Zabi alikuwa kamkumbatia vilivyo Tom utafikri anaogopa kutorokwa alikuwa akipumua taratibu huku kichwa chake akiwa kakilaza juu ya kifua cha Tom kifua kilicho pambwa na vinyweleo mtelezo na kuunogesha muonekano wa kijana huyu masikini jeuri. Mwanga hafifu unapita taratibu kutoka kwenye kidirisha kidogo cha chumba cha Tomu kidirisha kilicho funikwa kipande cha gunia hakukuwa na nondo wala wavu, mwanga ule unatua vyema kuwenye paji la uso wa Tom anajitikisa na kujirekebisha huku akimng’unya midomo yake kama amepewa big G. Kadri mwanga ulivyozidi kumsakama hatimaye anaamu alikurupuka usingizini bada ya kushituka anajinyoosha na kupiga miayo kidogo.


Anajaribu kuchungulia nje kupitia kisehemu kilichokuwa wazi kwenye kingo za mlango, majilani walikuwa wameamka ni umbea mtupu. Maana nyumba za uswazi hukusanya kila aina ya wajuaji ni mwendo wa mipasho maneno ya kuwasema majilani kwa mafumbo, kanga moja ndizo zilitawala hapo nje huku zikiwa na maandishi ya kejeri ambayo Tom alikutana nayo baada ya kuchungulia. “kama kasusa nipe mie”, “nipesa yako tu ukiomba utapewa” , “nimejiegesha ukitaka nihamishe”, usikalili upewacho onja na kwingine” hao ni wapangaji wenziye na Tom na kanga zao zinavaliwa toka saa kumi na mbili asubuhi mpaka saana nane mchana bila kitu kingine ndani ni kushindana kushusha na kupandisha gia, kuna wakati huenda mpaka kwa mangi kufata sembe ni uswazi huku ni wake za watu hawa, ukiuliza kwanini mpaka mida hiyo kavaa kanga unaambiwa ndo nataka nikaoge. Tom alichanganyikiwa maana alijua umbea utakao tokea hapo mungu ndiye anajua. Asiye bebeka habebwi Tom anatoka kwa kasi na kwenda kumwamsha Zabi huku akimwamru aondoke. Zabi anashindwa kumwelewa Tom lakini Tom anazidi kufoka huku akionekana kujilaum.

“Zabi ondoka bwana .. nisha kwambia ondoka tafadhali ona sasa umesha niharibia siku yangu dah! Tafadhari ondoka Zabi” Tom alizidi kumsisitizia Zabi aondoke huku akimtupia nguo zake ili avae. Zabi anashindwa kabisa kumuelewa Tom anajaribu kuzungumza nae kwa upole lakini Tom anakuwa mkali hajali na anaonekana kuwa na hasra.


Ugomvi ulizidi kushika kasi mle ndani Zabi anajitahidi kusihi mpenzi wake Tom kwanini anakuwa katili kiasi kile lakini Tom anaonekana kutojali. Alionekana kuto jali maana hata wapangaji wenziye asilimia tisini hukutana nao njiani wakimjua tu kwa umarufu wake lakini hawajui anaishi wapi. Leo kulikuwa na kila dalili za kuumbuka maana kama kawaida yake huondoka saa kumi na moja alfajiri ila leo kashindwa kutokana na kazi ngum aliyopigishwa na Zabi. Matumizi ya nguvu hasira na ugomvi ulisababitsha watu kujaa mlangoni kama unavyojua uswahilini kuna mambo, basi ndugu zangu wale na kanga zao wengine zikiwafunguka na kudondoka walijaa mlangoni wakichungulia ili wapate umbea. Tom aliishiwa nguvu na kukubaliana na hali aliamua kufungua mlango na kumtoa Zabi.

“nyooo! Shost na uzuri huu wote wewe niwakung’ang’ania mwanaume heheeeeya!” mama sadick alijaribu kumshushua Zabi hali iliyosababisha wapangaji wengine kuangua kicheko kwa pamoja “!Heheeeeeeeee kanitangazeeeeee!” ni aibu na ilikuwa aibu kubwa kwa Zabi alijikaza kushuka kwenye ngazi za mlango na hatimaye akaikanyaga aridhi huku nguvu zikishamiguuni nusu aanguke.

“hahaa wengine wanatalakiana na kuomba bora wafe wewe unalazimisha kuolewa makubwaa!, na anaye kuoa kwa nyumba ipi uliyo ipenda ?” Duh! Bado zabi anazidi kusakamwa na wapangaji wenziye Tom, mimama na midada ya uswahilini iliyoshindikana, ni hatua kwa hatua mtaa kwa mtaa, Zabi hakujibu kitu bali alijiondokea kimya kimya.


Alikuwa akizomewa watoto na mimama ya uswahilini ilimzomea akatamani aridhi ipasuke immeze kuliko aibu inayompata. Anajikongoja huku akilia kwa uchungu hakujali nini kimemtokea alifika kwenye pakingi ya Bungando Hospital alikuta magari yamejaa mpaka basi alizunguka saana mpaka kulifikia gari lake alifungua na kuingia. Alifunga mlango akaketi na kuanza kutafakari huku akiyakumbuka masaibu yaliyompata. Zabi alilia sana na akajuta kumjua Tom. “kwanini Tom yuko hivi ? kwanini Tom jamani kwanini ananifanyia hivi au kwakuwa anajua kuwa ninampenda ?” ni miongoni mwa maswali aliyojiuliza Zabi. Zabi anaamua kuwasha gari na kuondoka aliamua pia kuhama hoteli mara tu baada ya kufika hotelini alipokuwa amefikia maeneo sahala Mid-land hotel akaamua kuhamia Victoria Hotel maeneo ya kapri point nyuma ya majendo ya B.O.T jijini mwanza. Masaa machache alikuwa kakabidhiwa chumba na alisaidiwa na wahudumu kuweka mizigo yake vyema kisha alioga na kujipumzisha.


ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog